ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Benchika njoo utuletee mpira wa kasi ndani ya Msimbazi

    Karibu kocha mpya wa simba na nakutakia mafanikio katika safari yako ya kuja kulibadilisha soka la simba kutoka kuwa soka la konokono (polepole) na kwenda kucheza mpira wa kisasa wa kasi kubwa. Usiwachekee wachezaji ambao hawataki kuvuja jasho uwanjani.
  2. F

    Unapoona juhudi za kuwapiga chapuo makandarasi wa ndani zimeshika kasi ujue kuna mtu amefungua kampuni lake la ujenzi

    Wakati wa awamu ya nne tuliona kampeni kubwa za kugawa tenda za ujenzi kwa makandarasi wazawa. Tuliona kampuni ya Mayanga Construction ilivyomwagiwa tenda mpaka ikashindwa na kuishia ku-subcontract kwa makampuni ya nje! Leo tunajua Mayanga Construction ilimilikiwa na nani. Kampeni za kunyanyua...
  3. Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

    Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba. Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu...
  4. Ndugu wa mateka wapambana vikali na wabunge ndani ya Knesset nchini Israel

    Vita vikali vya maneno vimetokea kwenye bunge la knesset nchini Israel baina ya wabunge wahafidhina wa kiyahudi na makundi ya ndugu za mateka wanaokisiwa 247 walioko Gaza. Mapambano hayo yamesababisha kushindikana kupitishwa sheria ya kifo kwa wafungwa wa kiarabu walioko kwenye magereza ya...
  5. Hii Hapa Kamati ya Kuratibu Tuzo za Muziki Tanzania (TMA), P Funk, Seven Mosha Ndani

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Damas Ndumbaro amefanya uteuzi wa Kamati itayohusika kuratibu Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa mwaka 2023-2024. Baraza la Sanaa la Taifa BASATA kupitia Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Kedmon Mapana limetoa baraka zake leo kwa kamati hiyo mpya ambayo...
  6. Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

    Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina. Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la...
  7. Hivi ndivyo soko la ndani linavyotengenezwa na kukuzwa

  8. Kijana mpya ndani ya WCB Wasafi

    Dvoice_Ginnii Congratufuckinlations kid Hakika hii ni nafasi ya kipekee ambayo maunderground artists wengi huitamani sio kwamba hawana vipaji, hapana Ila Kila mmja anapata kwa wakati wake kwahiyo itumie vizuri nafasi hii mdogo wangu 👏 Wanajamii support kipaji kipya hiki. #SwahiliKid #WCB4LIFE
  9. CHADEMA ikemee Uwepo wa Taasisi ndani ya Taasisi; unaleta mgongano wa kimaslahi

    Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo. https://www.youtube.com/live/M1HNMuJN6mU?si=RKFzHIKMCwmmn5Gq Hoja zake ni nzito sana lakini...
  10. K

    Israel yaumbuliwa kwa kupandikiza silaha zake ndani ya hospital ya Shifah na kuhadaa Ulimwengu- kua ni zaHAMAS na makao makuu ya HAMAS!

    Israel iimefanya mauaji ya watoto, wanawake na raia wasio na hatia kwa kuipiga mabomu hospital kuu Gaza kwa kisingizio kua ni chini kuna makao makuu ya HAMAS,wamefichwa mateka na ni hifadhi ya silaha za HAMAS. Tazama uongo wa Israel ambayo yenyewe binafsi imepandikiza silaha na kutengeneza...
  11. UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

    Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa   Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU Bwana Yesu alisema " Mathayo 10:16 Angalieni, mimi nawatuma...
  12. Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

    JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako. NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.
  13. Kiafya, nguo ya ndani inataka kuvaliwa siku ngapi?

    Kwema Ndugu zangu, Naomba kufahamu jambo hili muhimu tunalo linalofanya sote kila siku na linalofahamika pakubwa na Jamii duniani pote. Kiafya, nguo za ndani za kike na kiume, mathalani chupi, boxer, sidiria, singland socks na kadhalika zivaliwe siku ngapi kisha ubadili au kuzifanyia usafi ili...
  14. Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

    Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula. Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
  15. Kuchapiwa ni siri ya ndani

    Ndugu zangu, Hivi kwanini ukihisi au kubaini kuchapiwa mke au mwenzi wako huwa inaumiza sana mutima na kuvuruga akili, maisha, uelekeo na mipango ya wababa wengi na hata kufikia hatua kusababisha kujeruhiana na hata maafa na vifo? Kuna mwenye uzoefu alieweza kupitia sahibu kama hili na kutoka...
  16. T

    Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

    Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba kupumzika na kwa upande wa Katibu Mkuu inasemekana Mama haridhishwi na utendaji wa katibu mkuu wa...
  17. MTAZAMO: Makonda kuchukua jukumu la Majaliwa, Dotto Biteko, ndani kwafuka!

    Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa : Baada ya...
  18. Aliyebuni hili Tangazo la Mama mwenye Mtoto Mgonjwa ndani ya DalaDala Buza - Kawe alitumia Akili zake sawa sawa kweli?

    Hivi inawezekana kweli DalaDala za Mbagala - Kawe au Tegeta - Kivukoni lililojaza hadi Milangoni ( huku wengine Wakijambiana bila Aibu wala Huruma kwa kwenda mbele humo ndani ) eti atokee Mama ambaye Mwanae kapatwa na Joto Kali la Homa au Malarial halafu Kondakta amuamuru Dereva wake ageuze Gari...
  19. Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

    Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni. Kwa muktadha huo, boss lady ameamua kama mbwai na iwe mbwai na rasmi ameamua awarejeshe kundini wale wote...
  20. T

    Mwenezi Makonda awatibua wasaka Urais ndani ya CCM

    MAKONDA ANAWADISTURB WASAKA URAIS NDANI YA CCM NA HILI NI JAMBO JEMA Watu wengi huwa hawajui kwanini huwa tunawachapa wasaka urais.Pale tunapobaini pasi na shaka kuwa kiongozi fulani ndani ya serikali na Chama anatengeneza mtandao wa kusaka urais huwa hatumuachi salama. Wasaka urais ni watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…