ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ukoloni ndani ya uhuru wa mtanganyika.

    mitaba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI 1.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini 2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba yenye vyombo ndani inapangiswa mbeya

    Nyumba yenye vyombo.ndani/ full furnished house for rent at Mbeya inapangishwa Mbeya mjini Tshs.1.5m kwa mwezi. Ni nyumba nzuri ya kusasa. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  3. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (M) Kagera ifanyiwe Ukaguzi wa Ndani wa Dharura ili kudhibiti Upotevu wa Fedha za Umma Unaoonekana Kukithiri hivi sasa

    Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4. Mapema mwaka huu Halmashauri hii iliwasilisha Rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti kwa Mwaka 2025/2026 huku wadau wengi wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hili neno freemanbase lina siri gani ndani yake

    Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube 👈Kijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa...
  5. JamiiForums Tanzania Utalii wa ndani pamoja na familia zetu

    Habari, wapendwa Watanzania! Ningependa kuwajulisha jinsi utalii wa ndani ulivyo na raha na fursa nzuri kwa kila mmoja wetu. Kama mtaalamu wa utalii (Professional Tour Guide), Planner wa Likizo (Holiday Planner), na mmiliki wa Shirika la Utalii (Travel Agency), mimi ni tayari kukusaidia kupanga...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Magufuli akimtumbua Kangi Lugola, 'kama kuna wizara inanitesa ni wizara ya mambo ya ndani, kusainiwa kwa mikataba ya ajabu ajabu'

    Alhamisi ya Januari 23, 2020 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli alionesha kusikitishwa na kitendo cha waliokuwa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuachilia nguvu za kiroho ndani mwako wakati unapitia magumu.

    Mwanadamu ana nguvu mbili ya ndani na ya nje . Mwanadamu ameumbwa akiwa kamili au kwa mfano wa Mungu, uungu u ndani mwake,hivyo haitaji nguvu toka nje ili aweze kujiendesha labda tu kwa asiyeelewa jinsi ya uuungu ndani mwake unafanyaje kazi,kila kitu kimo ndani mwako uhitaji mganga,nabii wala...
  8. JamiiForums Tanzania Athari za makundi ndani ya CHADEMA ,ukata ,katiba mbovu inayoelekeza chaguzi zao kufanyika mwaka wa uchaguzi mkuu wa nchi wapelekea "No reform.."

    CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"... Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kiwango maalum cha damu ndani ya mwili?

    Habari zenu wana jamiiforums Nimeleta mada apo juu katika kujiskia vibaya na kuumwa na kichwa nilienda hosptal katika vipimo doctor alinambia nina damu nyingi ambayo ni 17.4 akanishauri niichangie ipungue hadi 13.0 ili mwili wangu niache kujiskia vibaya na kuumwa kichwa je hakuna madhara...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Mamba wanafugwa au wameachwa ndani ya Bwawa la Mwalimu Nyerere? Kiufundi wana Kazi gani labda ya Kimkakati?

    Tafadhali wale mliosoma mambo ya Civil Engineering si vibaya mkaja kutupa Elimu ya uwepo wa Mamba wengi JNHPP.
  11. JamiiForums Tanzania Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi. Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
  12. JamiiForums Tanzania Huu mtindo unafanywa na makampuni yanayoshughulika na miamala unaambiwa utaunganishwa na huduma ndani ya saa 48

    Wakuu kwema? Kuna haka kamtindo kameingia na kanashamiri. Huu mtindo unafanywa na makampuni yanayoshughulika na miamala. Fikiria kampuni yoyote ambayo itakudai hela kupitia mitandao ya simu. Sasa mashaka yangu yanakujaje? Unakuta unanunua huduma aidha ya maji, umeme, au kisimbuzi. Umeweka hela...
  13. JamiiForums Tanzania Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya push up 200 kwa siku ndani ya mwezi mmoja

  15. JamiiForums Tanzania Kagera: Serikali yaingiza Tsh. Bilioni 3 ndani ya Miezi 8 kupitia Sekta ya Madini

    Makusanyo ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Kagera yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni 3.2 Kagera ilipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 5.8 na mpaka mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye vitabu hivi

    Habari humu ndani. Nahitaji vitabu vifuatavyo: JANGA SUGU la WAZAWA, Vuta nkuvute, nzowa kama sijakosea pamoja na Nagona
  17. JamiiForums Tanzania Ushahidi; ndani ya CCM bado kuna watu makini, "smart"

    Wasalaam Huu ndio ukweli mchungu.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa ya Tanga( Bombo)

    Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu demu wangu kaondoka na nguo zangu za ndani tu?

    Habari Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Quick_connecttz fanya delivery zako na sisi ndani ya Dodoma

    HELLO QUICK _CONNECTTZ inakusogezea huduma nzuri ya delivery kwa watu walikosa nafasi na walio bizy tunafanya delivery maofisini na hata mahitaji ya nyumbani kama vile mboga mboga na nafaka kwa beii nafuu na haraka zaidi . Una mzigo unataka kupokea kutoka stendi kukufkia ulpo tupo kwa ajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…