ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

    Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP. Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe mwanamke hafai kupewa uhuru kamili ndani ya nyumba?

    leokunasehemu nimeshinda nimerudi saamoja jioni nakuta nyumba iko pekeyake shemeji yenu hayupo😐 nimesubiri hadi saa tatu ndio akarudi nimekasirika kishenzi. Namuuliza umetokawapi haeleweki nimempiga vibaya sana nakesho namtimua nyumbani kwangunilitaka nimuone nimeahirisha hilozoezi sijui...
  3. JamiiForums Tanzania Ndani ya CHADEMA tupo Waumini wa Ufufuo na Uzima, Naomba Chama kitie nguvu kwenye Ibada zetu Kila Jumapili, kama ni mabomu tupigwe pamoja!!

    Niwaalike wanachadema wote Kwa ujumla,na watanzania wote na Wakristo, Kila Jumapili tuwepo , tuungane, tutie nguvu , Tupige kelele, tupaze sauti, Wacha wao watulige mabaomu, watuue, sisi tukusanyike, tufanye Ibada za Amani, tudai haki yetu ya kuabudu, TUIAMBIE DUNIA kua Tanzania Kwa Sasa Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

    Hili liko wazi kabisa. Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha. Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi. Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
  5. JamiiForums Tanzania Nauza Wazo la Kampeni Litakalokufanya Upendwe na Jimbo Lako Ndani ya Muda Mfupi!

    Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao. Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote! Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
  6. JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kuhusu Posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani: Warumi 13:1–5 na Maudhui Yake Katika Siasa za Tanzania

    Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuvimba ndani ya masikio(otitis)kwa mbwa

    🦴📌 Elimu kwa Wamiliki wa Mbwa – Fahamu Ugonjwa wa Otitis (Maambukizi ya Masikio) Habari za leo wapendwa wafugaji wa mbwa! Leo tunakuletea somo muhimu kuhusu ugonjwa wa Otitis – ugonjwa wa sikio unaowapata mbwa wengi bila kutambuliwa mapema. --- 🔍 Otitis kwa Mbwa ni nini? Ni hali ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hamkani si shwari ndani ya klabu yetu ya Simba ila nachojua Mangungu anapigishwa shoti na wasiompenda

    Mimi sio mshabiki wa Murtaza Mangungu na simpendi kabisa kabisa, kwa sababu hana lugha nzuri, hata sijui kwa wananchi wake jimboni pale Kilwa Kaskazini anawajibu kama anavyowajibu wanachama, viongozi na mashabiki au vip. Najua kesho Mangungu atakuwa Kilwa kuchukua fomu, tumuombee kwa mungu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania China yaweka rekodi ya Dunia kwa kukamilisha ujenzi wa barabara pana zaidi chini ya maji ndani ya siku 110

    Jinan, China – Juni 2025 Katika hatua ya kushangaza dunia, China imekamilisha ujenzi wa barabara ya chini ya maji yenye upana mkubwa zaidi duniani ndani ya siku 110 pekee, chini ya Mto wa Njano (Yellow River) katika jiji la Jinan. Barabara hiyo ya ajabu ina urefu wa kilomita 3.3 (sawa na maili...
  10. JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Utopolo msijisifu saana, wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana

    Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji. Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atutajie miradi iliyotekelezwa kwa trilioni 50 zilizokopwa ndani ya miaka minne!

    "Tanzania haikopi fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Hatujawahi kukopa fedha ili tulipe mishahara, hatujawahi kukopa ili tuendeshee magari, tulipe posho. Fedha inapotoka inakwenda kwenye mradi mahsusi." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha Naomba waziri Mwigulu aainishe miradi ya kodi...
  13. JamiiForums Tanzania RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na fedha, asipokuja nazo nitamuweka ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

    Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran. Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana. Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni...
  15. JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi takribani 19, Israel imepigana vita na nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Wakati Israel ina watu 9,523,978 tu

    Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Nchi ni: 1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623 2. Lebanon 5,848,354 3. Iran 92,417,681. Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978. Yaani ni sawa...
  16. JamiiForums Tanzania Misimamo ya Ndani ya Vyama vya Siasa: Changamoto kwa Demokrasia, Uwajibikaji na Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
  17. JamiiForums Tanzania Iran sasa yajipigia tu maeneo ndani ya Israel.Trump hashikiki anataka kuingilia

    Raisi Donald Trump wa Marekani hashikiki kwa hasira na kiwewe anatoa majibu yasiyo na mpangilio maalum wala hadhi za ikulu ya White House. Kisa cha hali hiyo ni kutokana na Iran kuwa na huru wa kupiga maeneo anayotaka bila kizuizi.Maeneo muhimu yaliyopigwa na Israel kukubali kipigo ni pamoja na...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

    Hesabu hazidanganyi. Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani. •Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele. •Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania siyo kisiwa: tusiseme tena watuache na mambo yetu ya ndani

    Dunia tunamoisha imeweka taratibu zake ili kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa. Inapotokea kwamba kuna uvunjifu wa haki za binadamu, ni wajibu wa jumuhiya ya kimataifa kuingilia kati. Approach iliyotumika ku deal na wanaharakati kutoka nchi jirani ilikuwa mbaya sana na ilichafua taswira ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuitambua nguvu yako ya ndani

    Nguvu ya ndani ni mali ya thamani sana inayomuwezesha mtu kuhimili changamoto za maisha, kufanikisha malengo, na kuishi kwa furaha na amani. Hata hivyo, watu wengi hawajui jinsi ya kuitambua na kuitumia nguvu hii iliyopo ndani yao. Somo hili linakusudia kukuongoza hatua kwa hatua jinsi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…