Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia...
NAIBU WAZIRI BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI NCHINI NAMIBIA
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano kati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Namibia uliofanyika Jijini Windhoek, Namibia tarehe 10 Machi 2023.
Pamoja na mambo...
WABUNGE 35 KWENYE MAFUNZO YA APSEZ NCHINI INDIA
Wabunge 35 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kamati mbalimbali za Bunge hilo wapo katika ziara ya mafunzo Nchini India, kujifunza kuhusu ushirikishaji wa Sekta binafsi katika Uwekezaji, Usimamizi na Uendelezaji kwenye shughuli za...
Habari wakuu.
Naomba msaada kama mtu anataka kwenda nchi za umoja wa ulaya ubalozi unataka proof of willingness to return.
Kwa mtu asiye na ndoa Wala ajira anaweza kuwasilisha nyaraka ipi kama uthibitisho kwamba baada ya miezi 3 atarejea tena nchini?
Shukrani.
Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele ya Kinzhal hypersonic missile system.
Russian forces have delivered a massive missile strike on...
Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM.
Hapo nikapokea simu kutoka kwa Salah (C.E.O) au Simba wa Bahari akinitaka ndani ya wiki moja niwe nimetimiza...
Taarab ina historia ndefu katika muziki wa Tanzania kama ulivyokuwa muziki wa dansi. Wapenzi wa taarbu wa zamani waliiweka taarabu katika vyanzo kama Taarab ya Tanga, Taarab ya Dar es Salaam,Taarab ya Zanzibar na Taarab ya Mombasa.
Taarab ya Zanzibar wakati huo ilikuwa ni ile yenye kundi kubwa...
Na Bwanku M Bwanku.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema ameacha ujumbe wenye maelekezo manne wakati wa kuhitimisha ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Sekretarieti yake mkoani Singida.
Mjema ameacha ujumbe huo kwenye mkutano mkubwa wa...
Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.Akiwa kwenye gari ya wazi akiwaoungia mkono maekfu kwa maelfu WanaDares salaam waliouja kumlaki,akiwa na Winnie Mandela na...
Baada ya Lema kupata mapokezi makubwa Arusha nimependezwa na Kauli ya wananchi wa Arusha kutaka Roma arejee home. Ikumbukwe Roma siyo mkazi wa Arusha Bali ni Mtanzania aliyetoroka nchi.
Wananchi wa Hali ya chini wanamkumbuka Roma na kumwombea usalama arejee nyumbani lakini wasanii wenzake...
Bei ya mafuta ya taa imeongezeka kwa wastani wa Sh39 kwa mikoa mitatu ya Dar es Salaam, Mtwara na Tanga mwezi Machi ikilinganishwa na Februari 2023, huku uhaba wa bidhaa hiyo ukitawala.
Katika taarifa ya bei mpya za mafuta iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za...
baba askofu Hilarion Heagy baada ya kusilimu amechagua jina "Said Abdul Latif"
alisema kwamba "Baada ya miongo kadhaa ya kuhisi kuvutiwa na Uislamu kwa viwango tofauti, hatimaye niliamua kusilimu", "Sikuwa na chaguo lingine isipokuwa ni kusema Laailaha illa Allah Waanna Muhammad...
Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania?
Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali.
Tukutane baada ya Mechi Usiku Ok?
"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi...
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetengaza fursa kwa wakulima na wauzaji wa mbaazi nchini, matokeo ya kupatikana kwa soko hili ni kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na India. Ikumbukwe mbaazi hizo zitaingia nchini India bila ushuru.
SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo vikuu ambapo zaidi ya mitaala 300 ya vyuo vikuu iko katika hatua mbalimbali za kufanyiwa mapitio...
China ni nchi inayoendelea ambayo imepata mafanikio makubwa sana katika maendeleo ya teknolojia, hususan katika teknolojia ya mawasiliano.
Simu janja zinazotengenezwa nchini China zimekuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wa kidijitali katika nchi nyingi zinazoendelea hususan za...
Kampuni ya Greenchain ya Shanghai, nchini China itatembelea Tanzania mwezi Machi 2023 kwa ajili ya kukutana na wazalishaji wa Pilipili aina ya Tajin (Sweet And chili pepper au kitaalamu Capsicum annuum.)
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika mkutano wa Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa...