nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba Majina ya wilaya kongwe nchini

    Wakuu naombeni mniambie wilaya za zamani zaidi hapa nchini yaani zile kongwe ambazo labda wakoloni walizianzisha mara tu walipofika au labda sisi baada ya kupata uhuru tukazianzisha.
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Dimitri Payet kuchunguzwa na polisi nchini Brazili baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji

    Mchezaji wa mpira wa miguu, gwiji Dimitri Payet anaripotiwa kuchunguzwa na polisi nchini Brazil baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji wa kimwili na kisaikolojia' dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake mwanadada Larissa Ferrari wakati wa mapenzi yao ya miezi saba. Nyota huyo wa zamani wa klabu ya West...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Video: Zipi zitakuwa faida na changamoto za chombo hiki kuingia nchini kwetu

  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Angola

    Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Zijue barabara kubwa nchini

    Zingatia T1 ndiyo barabara kongwe na inaanzia Dar Es Salaam mpaka Tunduma Border na kwajina lingine huitwa (TANZAM) T1 ➡️ Dar es Salaam – Morogoro – Mbeya – Tunduma – Mpaka wa Zambia inapoendelea kama T2 (Zambia) (km 930) T2 ➡️ Chalinze – Segera – Arusha – Namanga – Mpaka wa Kenya (km 650)...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Urusi nchini Kenya

    Ubalozi wa Urusi nchini Kenya ulipost hii picha Facebook 🤣🤣🤣
  8. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hatulalamiki kuboreshwa miundombinu ya magereza na vituo vya Polisi nchini Tanzania?

    Ukipata bahati ya kutembelea magereza na vituo vya polisi vya hapa kwetu Tanzania hali ni mbaya majengo yamechoka, huko mahabusu sasa ndio balaa yaani ni ovyo ovyo as if huko ni mateso tu ebu serikali ikumbuke kuboresha mazingira kama inavyofanya kwenye afya na elimu basi hawa watu nao...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHAKAMWATA kwenda Mahakamani kuzishtaki Halmashauri nchini kwa kutowalipa Walimu Tsh. Bilioni 12

    Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu zaidi ya Tsh. Billion 12. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya, Aprili 08, 2025, Katibu Mkuu wa...
  10. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji wa Tanzania USA rudini bongo mbona kuna maendeleo mengi yanafanywa na Rais Samia

    Salaaam... Nikiri wazi namsikilozaga EBM sana kuna mambo anaongea "how to survive hizi nchi" kama upo legally sio wewe mzamiaji ni lazima utamtukana Sasa majuzi nikamsikia Watanzania ambao "WAMEZAMIA" hawana means ya kupata vibali wanamtukana kisa yeye ni timu TRUMP Yaani uombe B1/B2 uzamie...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usaliti unaofanywa na genge la Mbowe iwajulishe wananchi kuwa Mbowe alikuwa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko ya kweli nchini.

    Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa! Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebano yasema imeshaujua ujanja wa Marekani na Israel.Hawataki kuletewa fujo nchini mwao.

    Raisi wa Lebanon na waziri wake mkuu wote wamekuwa wakali dhidi ya nja za Marekani na Israel kuwalazimisha kufanya mambo ambayo hayana maslahi na taifa. Kwanza ni kuhadaiwa kurejesha uhusiano na Israel na pili ni kuwanyang'anya silaha kundi la wapiganaji wa Hizbullah. Viongozi hao wamelalamika...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

    Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile. Silaha pekee alizonazo LISSU...
  14. Alubati

    JamiiForums Tanzania Majaji wa mchezo wa ngumi wanachangia kuufanya mchezo huu kupoteza mvuto hapa nchini

  15. ITR

    JamiiForums Tanzania Masoko ya hisa nchini Marekani yameporomoka na kupata hasira ya $6 trion ndani ya siku mbili tu.

    Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
  16. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, tunao wataalam (Pharmacists) wa kutengeneza dawa hapa nchini Tanzania ?

    Sekta ya afya ni moja ya eneo nyeti linalogharimu pesa nyingi za serikali inaponunua madawa toka nchi za nje kwa pesa za kigeni. Wakati huo huo,. serikali inasomesha maelfu ya wafamasia ngazi za stashada (diploma) shahada (degree) masters mpaka PHD. Najiuliza tu, ya kwamba katika maelfu ya...
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara/serikali wanatumia mabilion kuagiza bidhaa nje wakati bidhaa kama hizo zinapatikana nchini

    Wachumi naomba mnisaidie, nimeona juzi diamond platinum anajisifu ameuza kontena 30 za sabuni ndani ya week, at the same time ukienda kigoma- sido wanazalisha sabuni zenye mfanano kama ulivyo, na ukienda utakuta godown yamejaa sabuni za kutosha, soko lake likiwa dogo, ivi kwanini tusikuze uchumi...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wito watolewa kwa wapenda amani duniani kupeleka vikosi Gaza ili kuwaokoa wapalestina wasiuliwe na kuhamishwa nchini mwao

    Kasi ya kuuliwa wapalestina na kuvunjiwa utu wao imeongezeka sana huko Gaza. Kazi hiyo kwa sasa imekuwa nyepesi kwa mayahudi kuifanya kwani Hamas ambao ndio waliokuwa watetezi wamedhoofika sana.Sambamba na hali hiyo ule mori wa kuua na kuharibu umeongezeka kwa Israel kama inavyokuwa kwa mtu...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke Kutoka Kenya Akamatwa Na Kilo 1.7 Za Kokeine Nchini India

    Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300 milioni. Kwa mujibu wa The Indian Express, mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Emily Rodha...
Back
Top Bottom