nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang’ara katika mkutano wa wakaguzi wa majitaka migodini nchini Sweden

    Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Luleå, nchini Sweden. Mkutano huo wa kitaalamu unahusisha nchi saba...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru nchini umepitiliza mipaka mpaka akina Heche wanatukana Polisi na Wanaharakati wakivuka mipaka kuja kuleta uchochezi nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini kuna wimbi la wakenya wameingia nchini kwa lengo la kufanya uchochezi na fujo kwa lengo la kuharibu amani ya nchi yetu

    Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wawe makini na raia wa kigeni wanao ingia nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu, wengi wao ni Wakenya ambao ni wazoefu wa kuhamasisha vurugu wapo wengi sana. Na baadhi yao ni wataalamu wa IT wanafuatiliwe kwa makini hadi chooni. TCRA kuweni macho, wadukuzi...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wanaushawishi kuliko G55. Hii ni kusema G55 ni Liability na sio tishio kwa chama chochote Kikubwa hapa nchini.

    Wanakwenda Kuumia! Hiya ndio salamu inayoendana na Uzi huu. Kwenye hii nchi hasa ukiwa mpinzani hakikisha chama tawala kitamani kuwa na mtu dizaini yako ndani ya CCM. Lakini kama wewe ni Mburuja, ambaye uwezo wako mdogo, elimu duni ta kuungaunga, huna kipaji wala karama yoyote. Vijana wengi...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja sita juu ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia nchini

    Na Adv. Heche, Dodoma Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote...
  6. JamiiForums Tanzania Umafia umeanza kukomaa nchini; je, kuna watu bado wanaamini JPM alikufa kwa ule ugonjwa?

    Hili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari. Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna watu bado wanaamini rais wa awamu ya 5 alikufa kwa covid au heart disease kama walivyodai?
  7. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
  8. JamiiForums Tanzania Mfano wa Kuigwa: Papa Leo XIV aliongoza kuupinga Utawala wa Kidikteka wa Fujimori nchini Peru miaka ya 1990. Hongereni TEC kwa kupinga Udikteta wa CCM

    Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje. Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
  9. JamiiForums Tanzania Fursa: Wanahitajika madereva 800 watanzania nchini Qatar

    Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, kwa kushirikiana na Mawakala mbalimbali wakiwemo kampuni tanzu ya Mkapa Foundation (Imara Horizon), Connect General Supplies Co. Ltd, Sassy Solutions Co. Ltd, pamoja na Larali Global Solutions, inawatangazia Watanzania wenye sifa kutuma...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Finland, Alexander Stubb kufanya ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia leo Mei 14 hadi Mei 16, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Finland na Tanzania zina mahusiano ya miaka 60 na zimekuwa zikishirikiana...
  11. JamiiForums Tanzania Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama wala utawala wa haki na sheria tena nchini

    Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini. Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
  12. JamiiForums Tanzania Manipulation: Mbinu iliyotumika na CIA kukichukua kisiwa huko Ufilipino na Sakata la Sumu Ofisi za Chadema huko Mbeya.

    Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino. Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore.

    Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore na kuhimarisha ulinzi nchini Burkinabe.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  15. JamiiForums Tanzania Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani

    Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni tukumbushane kuna waziri wa nishati alitoa maelezo Tanesco kusambaza nyaya nchini ya ardhi sio misitimu.

    Tanesco wanaproject nyingi kama za kununua umeme ethiopia na mengine. Kuna project ilitokaga na waziri fulani sikumbuki alikazia kuwa dar umeme usambazwe chini ya ardhi. Sasa ni kawa na waza hivi yale mafuriko ya dar,mabomba ya maji yana pasuka ovyo. Kwa mvua hizi DAR mngechezea shoti za...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Huu mjadala wa jamii gani nchini inaongoza kwa wasomi muumalize wenyewe, ingieni humu mjihakikishie wenyewe, kelele na kujisifu viwekwe pemebeni

    Muumalize wenyewe
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mradi unaodhaminiwa na China waibua maisha mapya katika Hifadhi ya Jiolojia ya Ngorongoro Lengai nchini Tanzania

    Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden

    Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden.
  20. JamiiForums Tanzania Jasusi hatari nyuma ya NGO nchini Burkina Faso.

    Jasusi hatari nyuma ya NGO nchini Burkina Faso. Jasusi Joe Bassey kutoka Perrot Island nchini Cana ameachia nyaraka za siri zinazofichua kwamba Bi Claire Dubois, mwanamke Mfaransa katika miaka 30 iliyopita aliwasili Burkina Faso akijifanya kama mkurugenzi wa NGO ya Magharibi iitwayo Hope...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…