nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Maneno haya si mageni nchini

    Maneno haya pengine siyo mageni sana kwako "The one who got you here won't get you to the next level" yanabeba maana ya kina katika muktadha wa maendeleo ya mtu binafsi, kazi, uongozi au mafanikio kwa ujumla. Tafsiri yake ya moja kwa moja ni: "Yule aliyekufikisha hapa, hawezi kukufikisha ngazi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wasifu kamili CV ya Shehe maarufu nchini Kipozeo

    Amebobea kwenye eneo gani hasa? Karibuni
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania jijini...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Tuongee tu ukweli, Humphrey Polepole kabadilisha kabisa upepo wa kisiasa nchini

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Kwetu sisi ambao tunashinda kitaa hapa na pale wote tutakubaliana kabisa kuwa pole pole alichokifanya ni kama kugonga msumari kwenye geneza Kawafanya watanzania wote wamuone mama kizimkazi kama kibaka Yaan huo ndo ukweli hata wale kobazi wachache ambao...
  6. JamiiForums Tanzania James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

    MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu. “Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Mpox watua nchini Kenya. Kesi 226 zaripotiwa

    Wakuu, Ugonjwa wa Mpox wasambaa Magharibi mwa Kenya Kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega zimeathiriwa na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox, unaosababishwa na virusi. Busia ni ya pili kwa athari nchini Kenya, ikiwa na maambukizi 56 yaliyothibitishwa, wagonjwa wawili wamelazwa, wanane wanatibiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wizi wa mtandao watikisa, benki 7 nchini zapoteza Sh bilioni 150

    DAR. Watu wanaotajwa kuwa wezi mtandaoni kutoka ndani na nje ya nchi, wameiba zaidi ya Dola za Marekani milioni 49 sawa na takribani Sh bilioni 150 kupitia mtandao wa benki kubwa saba nchini gazeti la Raia Mwema limeeleza. Tayari Serikali kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, imekamata baadhi...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Mambo muhimu aliyofanya Hayati Benjamin Mkapa kuimarisha Demokrasia nchini

    Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania, aliweka mkazo katika mambo sita (6), yafuatayo; ‬ ‪1. Lengo la demokrasia ni kurejesha nguvu na madaraka kwa wananchi kutoka katika mikono ya watawala.. ‬ ‪2. Demokrasia ya uwakilishi inatakiwa kutupatia viongozi wanaoamua kwa niaba yetu na...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini

    Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kampuni kubwa zaidi ya Madini Duniani yaachana na mradi wa Nickel wa dola bilioni 2.5 nchini Tanzania

    Kampuni kubwa zaidi ya uchimbaji madini duniani, BHP Group (BHP.AX), imeamua kuuza hisa zake kwenye mradi wa nikeli wa Kabanga uliopo nchini Tanzania kwa mshirika wake, Lifezone Metals (LZM.N). Mradi huo una thamani ya takribani dola bilioni 2.5, na Lifezone imethibitisha kuwa itanunua hisa hizo...
  12. JamiiForums Tanzania Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini

    Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
  13. JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nini mkoa wa Tanga ni wa 3 kwa kuwana maghorofa mengi nchini?

    Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha majengo ya ghorofa, Ukija wilaya za handeni,korogwe na Lushoto,mjerumani alipapenda sana na kuacha...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha Dawa na Zana za Kilimo Nchini Belarus

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, leo tarehe 22 Julai 2025, ameendelea na ziara yake rasmi nchini Belarus kwa kutembelea maeneo muhimu ya uzalishaji na ushirikiano wa kimkakati. Akiwa katika mji wa Minsk, Majaliwa alitembelea kiwanda cha Belmedpreparaty, ambacho ni maarufu kwa utengenezaji wa dawa...
  15. JamiiForums Tanzania Huwezi Mtenganisha MULIRO na Matendo ya kiovu yanayoendelea Nchini. Maelezo yake ynaonyesha pia kuwa Jeshi la Polisi limeshindwa KAZI ya kulinda Taifa

    Huyu Jamaa kama ni Roho mbaya, basi ni Shetani ,amejawa Kiburi, jeuri ya Mamlaka kiasi kwamba Licha ya kua anajua anaongea Upumbavu anaelewa fika hamna wa Kumfanya kitu chochote. Huyu Jamaa kama tutapata Taarifa zake Binafsi za Akaunti za Benki ni wazi atakua na Mabilioni Kadhaa ya Fedha ...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mulilo: Ushirikina, Kudaiana ni miongoni mwa sababu za watu kupotea

    MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA Mheshimiwa Kamanda Mulilo, Soka et al nao walikuwa wanadaiana? Mdude naye alikuwa anadaiwa, Mawazo naye alikuwa anadaiwa, Kangoye naye alikuwa anadaiwa? Na wengine wa kundi hilo la chadema Pili Mbona wote ni wa Chadema...
  17. JamiiForums Tanzania Ukubwa na umuhimu wa ccm katika kuiongoza nchi wajidhihirisha wazi kwa umma wa waTanzania

    Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

    Salaam Wakuu, Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu. Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini. Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa. Watu...
  19. JamiiForums Tanzania Bandari ya Eilat Nchini Israel Kufungwa Mpema Jumapili Hii Kwa Kujiendesha Kwa Hasara Kutokana Na Mashambulizi ya Houthi Huko Bahari Nyekundu

    Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Dennis huongelei mambo ya sasa ya siasa nchini au unaogopa

    Hizi ni aina ya sms nazoipata nyingi sana kutoka kwa watu tofauti tofauti wakiuliza kwanini siongelei mambo ya siasa ya sasa ya nchini yafuatayo ndo majibu yangu 👇👇👇👇👇👇 Fahamu kwamba katika point ya historia ya dunia Tanzania itakuwa super-power sio milele hapana kwa miaka kadhaa miaka 300 au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…