Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.
Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust and Safety" na "Live". Wafanyakazi hawa walikuwa wakihusika na usimamizi wa maudhui na usalama wa...
Mahali ni jambo la maana, alisema Rais wa Marekani Donald Trump, aliyewahi kuwa mfanyabiashara wa mali isiyohamishika. Dakika chache baadaye, alitangaza kuwa Alaska, eneo ambalo Urusi iliuza kwa Marekani miaka 158 iliyopita kwa dola milioni 7.2, ndiko Rais wa Urusi Vladimir Putin atajaribu kuuza...
Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba.
Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali.
Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv.
Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
Kwa sasa, hii nchi yetu ya umoja ni nguvu haina ladha tena kwenye mambo mengine.
kwa mimi binafsi sasa labda habari za soka pekee kwa hapa kisiwa cha AMANI
Zilizobaki zote naona siwezi kufatilia
namaanisha zote,iwe politics, uchumi, teknolojia nk.
Mungu atufumbue wabantu bado tuna safari ndefu...
Hili jambo lilianza kama mzaa vile lakini naona linaendelea kuota mizizi
Zamani ilikuwa mtu akiaga Dunia watu hukutana uweka tofauti zao pembeni Kisha hufarijiana ,hula chakula pamoja na kumuombea marehemu pumziko la aman
Lakini kwa Tanzania mambo yameanza kuwa ndivyo sivyo nyakati hizi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini.
Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
Serikali kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Ujerumani Hellen Keller, imewatibu wagonjwa wa vikope na kutoa tiba ya upasuaji wa mtoto wa jicho kwa watu wapatao 100,000 katika Halmashauri 64 nchini.
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe ameyasema hayo Agosti 4, 2025, mara baada...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi maandalizi ya kuanzisha huduma ya upandikizaji wa moyo, hatua hiyo imeelezwa kuwa inatarajiwa kuendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya huduma za juu za moyo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Akizungumza Julai 30, 2025 kuelekea...
Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili.
Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
Haya wanawake muda WA kupiga hela huu
Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome
Kuna ya miezi mitatu
Miezi sita
Miezi Tisa etc
Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
Kumekua na malalamiko na mijadala juu ya uwepo wa utitiri wa raia wa kigeni, hususan Wachina, katika baadhi ya biashara, especially zile ndogondogo hadi zile za kati hasa katika maeneo ya Dar Es Salaam, na hata masokoni ya mikoani. Wengi wamehoji namna wageni hawa wanavyoingia sokoni kwa nguvu...
Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...