nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JD Vance Akiwa nchini Israel

    JD Vance yuko njiani kuelekea kituo cha kijeshi cha Marekani huko Kiryat Gat,Israel.
  2. JamiiForums Tanzania Tumefika Salama Bondo Nchini Kenya kumzika Baba

    Salaam, Pamoja na pukurukushani za Polisi na uhamiaji kutukamata na kuzuia Mipaka tusiende Kenya, Walio wengi tumefanikiwa kufika Bondo, Kaunti ya Siaya Nchini Kenya kuhudhuria Mazishi Pia tutarudi salama muda tunaotaka iwe mchana au usiku. Kwa kutumia Boti, Boda au Gari.. Haikuwa kazi...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

    Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme. Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani...
  4. JamiiForums Tanzania Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

    Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba He who alleges must prove
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda anazunguka Nchi Nzima na Kuweka Mikutano kama nani?

    Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia. Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amenikera sana POLEPOLE! Alijiaminisha na nini kuwa hapa nchini! Umesaliti mapambano! Sterling hafi, anadumu movie iendelee. Sasa Umekufa!

    Ni hilo tu! Shujaa mfu! Ilibidi uhakikishe hufi mpaka uone mwisho wa mapambano yako! SHUJAA MFU, HAIJATUSAIDIA
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kenya wapata ufadhili wa kusoma lugha ya Kichina nchini China

    Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ni yetu sote, mbona ndugu zetu wazanzibari hawapazi sauti kwa yanayoendelea nchini?

    Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania. Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  12. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi biashara ya dawa za kulevya imeisha nchini?

    Nauliza si kwa ubaya. Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja kwa majina wazi wazi. Ila tangu afariki sijasikia tena zile harakati zikiendelea. Nini kipo nyuma...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Polepole alikuwa nchini miezi yote hiyo tangu alipojiuzulu, Intelijensia za Polisi na TISS zinanipa mashaka

    Intelijensia ya vyombo vya ulinzi na usalama vinanipa mashaka. Polepole yupo zake Ununio siku zote wao hata hawakujua!! NB: Tafadhali mfikisheni mahakamani, msimuhukumu nyie
  15. JamiiForums Tanzania Sidhani afande Tesha yuko nchini

    Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini. Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga. Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
  16. JamiiForums Tanzania Mlinogewa sana kuua waTanzania nyie watu, nyie ndiyo sababu hakukuwa na amani nchini

    Na kila aliyehusika na haya mauaji ya ndugu zetu atalipia. Haijalishi kama ulitubu, ulichangia ujenzi wa makanisa, ulichangia misikiti, ulifuturisha, ulianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Kama umehusika kwenye kupora uhai wa mtanzania yoyote lazima utalipia. Hakuna muda tena wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Viwango vya udumavu na ukondevu vimepungua nchini

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022. Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano kimepungua...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Copper Cathodes trader nchini genuine supplier ?

    Msaada anaefahamu supplier au trader wa Copper Cathode nchini
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Kisenge: Wastani wa Watoto 10,000 huzaliwa nchini wakiwa na matatizo ya moyo kila mwaka

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza siku mbili zaidi za upimaji bure wa afya ya moyo, hatua iliyochukuliwa kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupima na kupata ushauri wa kitabibu katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge...
  20. JamiiForums Tanzania Uthibiti wa Matumizi ya Mapanga/Machetes Nchini Tanzania

    ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu wengi wa hovyo(wasio fuata taratibu na sheria/( kujichukulia sheria mkononi)). ili jamii nzima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…