Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.
Yani uwe adui wa mfumo kwa kusema waTanzania watafute Katiba mpya???
Hukujiuzuru kipindi wanasiasa wanatekwa kila siku, wafanyabiashara wakiwa wanatekwa, miili zilipokuwa zikiokotwa kila siku, ulishuhudia Samia akivunja katiba ya chama chenu na ukazunguka kufanya naye kampeni nchi mzima alafu...
Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani.
Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya.
Kila mtu atafikiwa si mlisema anaupiga mwingi.
Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima.
Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani ambayo CCM hawawezi kucheka naye, Ima hamna kitu, yani kisa kusema “Pambanieni katiba”???
Yuko sehemu...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko makubwa katika safu ya watendaji wake wa mikoa, hatua ambayo imeacha maswali kuhusu sababu ya kubadilishwa kwa karibu makatibu wote wa mikoa ya kichama wakati chama kikijiandaa kuingia katika mchakato wa uchaguzi wa ndani.
Katika mabadiliko hayo...
Nchimbi amekuwa Muumini wenu miaka yote na kutokana na Vyeo alivyokuwa kuwa navyo akifika Kanisani mlikuwa mntambua kipekee hivyo mlikuwa mnampa viti maalumu vya kukaa pengine pale mbele kabisa.
Kama mlimtambua kwa cheo chake, kwa nini sasa haji Kanisani kwenu na nyie mmenyamaza kimya...
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
Kweli dunia ni uwanja wa fujo,
Kila mmoja anapiga zake zikipasuka anatoweka.
Wapo waliovuma mitandanoni na kwenye siasa.
Wako wapi akina Humphrey Polepole Mdude,, Nchimbi na wengine waliovuma kwenye uringo wa siasa?
Wako wapi akina Rachael Dangwa na mitusi na vimbwanga vyake?
Wako wapi akina...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Emmanuel Nchimbi, amefanya ziara ya kushtukiza na ya faragha usiku wa manane katika Ikulu ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali na kumpa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Ziara hii imefanyika...
Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari...
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Mimi kama mtaalam wa psychology naona facial expression na body language inaongea mengi kuliko maneno
Toka yatokee ya Nchimbi naona moto wake umepoa mno
Kejeli, majigambo na kiburi cha madaraka ameacha
Tutarajie jambo jipya?
Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa msaidizi wa Raisi yuko wapi? Tunajua hayuko busy na kazi