Huyu sio feki, ni fekeroWametengeneza Nchimbi fake
Wamechukua picha ya Spika wa Kenya Moses Wetangula na Waziri wa Mambo ya nje wa Kenya Musalia Mudavadi. Wakapromt sura ya Nchimbi na mlinzi wake.
Kwanza huyo sio nchimbi.
Nchimbi na Mvi zote zile.
Huyu nchinbi Wa Crone ana mapiko kibao.
AIUnataka Nchimbi yupi zaidi ya huyo gentlemen 🐒
ha ha ha wamemtumia yule MNAIJERIA wao wa KUSAMBAZA uongo!