nchi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Dhana ya utaifa imefeli Afrika, nchi nyingi zigawanywe upya kuwa kingdoms za kikabila, viongozi wapo loyal zaidi kwa makabila yao kuzidi utaifa

    Mataifa ya ulaya yamegawanyika kwa misingi ya kikabila, Pengine ni factor mojawapo ya maendeleo Katika kitu walichokosea wakoloni kwa baadhi ya nchi ni kuunganisha makabila yawe nchi moja, Pengine walifanya maksudi kabisa kwa nia mbaya. Tushukuru sana hapa Tanzania kutoka kwa Mwalimu Nyerere...
  2. JamiiForums Tanzania Tathmini zinasema Lissu ana nguvu nje ya chama kwa wapiga kura za Urais wa nchi, kwa nini aliamua kugombea ndani ya chama ambako ni dhaifu?

    Kwa maoni yangu, Lissu angejikita katika kujiimarisha katika kugombea nafasi ya urais (japo asingeshinda). Hata watu wake wa karibu wanasema Lissu ana nguvu sana nje ya chama kwa wananchi wa kawaida ambao wanapiga kura za urais. Kwa nini aliamua kujidhoofisha kwa kugombea Uenyekiti wa chama...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni nchi ya hatari kama Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore ilivyoeleza?

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore imeandika maneno makali sani kwa wanachi wao wanapotaka kutembelea Tanzania, Tanzania inayojulikama na wanachi wengi kwamba ni nchi ya amani umoja na upondo ni tofauti ni iliovelezwa na Wizara ya mambo ya nje ya Singapore. Unaweza kujisomea hapa...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kwa wale wenye ndoto za kuhama nchi kwa ajili ya utafututaji

    Habari zenu wanajukwaa, Lengo la huu uzi ni kupeana Connection nje ya nchi hususani Fursa za kazi na ushauri kwa watu ambao wameshaishi nje ya nchi na ambao wako nje ya nchi Kwa hiyo kwa wale wenye michongo nje ya nchi basi tupeane coz humu JamiiForums kuna Diaspora wengi tunaweza saidiana...
  5. JamiiForums Tanzania Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

    Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji...
  6. JamiiForums Tanzania Katika nchi zote za Afrika Mashariki, William Rutto anamaliza mwaka 2024 akiwa Rais dhaifu kisiasa kuliko wote.

    Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir. Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka. Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Life expectancy kwenye nchi zetu

    Ukichunguza kwa makini nchi nyingi zilizopo kusini mwa Sahara umri wa kuishi upo kwenye range ya kuanzia 62-67 kwa wenzetu wa ulaya wastani wao ni miaka 77 na kuendelea.hata zile nchi za kaskanini mwa Africa wao Wana wastani mzuri zaidi compared na mataifa ya watu weusi.sijui tunakwama wapi wakuu
  8. JamiiForums Tanzania Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

    Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe, Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe. Naomba unijubu maswali haya, 1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Waislamu, Kwanini Waarabu Wanakimbilia Kwenye Mataifa ya Makafiri Badala ya Nchi za Kiarabu Kama Saudia na Qatar?

    Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna idadi kubwa kutoka nchi zenye Waislamu wengi, wakiileta tamaduni zao mbalimbali na mitazamo tofauti...
  10. JamiiForums Tanzania Vituo vya kijeshi nchi za nje na ndege za kizazi cha 5 na 6

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani. Kwa mujibu wa Umoja wa mataifa, duaniani kuna nchi 195. Katika nchi zote hizo, jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora. Maana yake ni kwamba Tanzania imezipita nchi 189 kwenye ubora wa kijeshi. Hakika Tanzania iko juu sana. Ubora...
  11. S

    JamiiForums Tanzania NI Imani potofu kuhubiri kuwa kanisa limekufa Yesu hakuhubiri kuwa Lazaro kafa.akizunguka nchi nzima alimfumfua

    Kuna changamo kwa kanisa sasa hivi kuna wahubiri huhubiri kuwa kanisa limekufa Mfu hasikii sauti yeyote kinachotakiwa ni hao wahubiri kuwa na nguvu ya kufufua Fikiria Yesu angekuwa anazurura uyahudi yote na samaria akihubiri kuwa Lazaro kafa Mchungaji Magembe ajitathimini mahubiri yake
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti ACLED: Nchi 10 za Afrika zilizoongoza kwa Vurugu na Migogoro ya Kisiasa kwa mwaka 2024

    1. Nigeria 5 2. Sudan 8 3. Cameroon 9 4. DR Congo 13 5. Ethiopia 20 6. Somalia 21 7. Mali 22 8. Kenya 23 9. Sudan Kusini 24 10. Burkina Faso...
  13. JamiiForums Tanzania Msumbiji itakuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani miaka 30 ijayo

    Katika nchi ambazo Mungu ameweka rasilimali nyingi ardhini ni pamoja na Msumbiji, Kongo, Zimbabwe, Zambia, Angola na Tanzania. Lakini hizo nchi tajwa zina watu wenye maisha magumu mno. Kinachohitajika ni akili mpya, mtazamo mpya, watu wapya na hari mpya. Nchi ya Marekani ilipata hari mpya...
  14. JamiiForums Tanzania Utabiri wa shekh Yahya - "baada ya Raisi mwanamke upinzani kuchukua nchi"

    Nimeikuta hii mahali wakuu, ni kweli hii au wanazengo wamejiongeza?
  15. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya umoja wa mabaharia Tanzania yampongeza waziri Kombo kwa kazi nzuri ya kuhudumia mabaharia wa Tanzania nje ya nchi

    JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi atengue uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Idara Maalum za SMZ

    ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kuuliwa kwa watu wawili na Kikosi cha KVZ cha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mtu mmoja...
  17. JamiiForums Tanzania Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab

    Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab ikiwemo watu wa Palestina
  18. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Mafuta Duniani, bado USA kaziacha by Far nchi za Gulf States

    Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi Arabia, Russia kwa mbali Sana. Bado USA ni kinara kwenye Uzalishaji wa gesi duniani. Ukijumlisha na...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Huenda bwana Dudu Baya akawa ndio akawa ndio Mshauri mashuhuri wa NCHI!

    Heri ya Xmas Niende kwenye mada kwa Tanzania asaiv huenda bwana DUDU BAYA akawa ndio MSHAURI mashuhuri wa NCHI hii ni baada ya kuona ikitokea sintofahamu yoyote nchini waaandishi mara moja hukimbilia kumuomba ushauri au maoni iwe kisiasa kimapenzi nk...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

    #Repost @mwananchi_official —— Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo. Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…