nchi

  1. Rais Samia: Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani

    Kifo cha Mafuru kimeibua mambo mengi kwa kweli kwenye eneo la uchumi. Huyu Mzee alifanya yake kwenye kipindi cha changamoto wa upatikanaji wa dola. Pumzika kwa amani Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza namna, Lawrence Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani hatua...
  2. L

    Hapo hamjapewa nchi je mkipewa nchi itakuwaje CHADEMA

    Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema, ukisema hakukuwa na makubaliano ya nusu mkate wakati Lissu kiuongozi anafuata baada ya Mbowe utakuwa ni...
  3. CHADEMA haifai kabisa kuongoza nchi kwa sasa Tujipange haswa! Kuna Mkanganyiko

    Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA 1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema. 2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili hamjalifanyia press. 3. Ufafanuzi huu umetolewa kwa mujibu wa kikao kipi cha kamati kuu? Kwani...
  4. D

    Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

    Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors. Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
  5. M

    Nchi yetu siyo salama, Tujifunze mbinu za kujikinga na watekaji

    Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji . Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania siyo ya kuaminika katika suala hili, Kiufupi imeshindwa kusimamia usalama wa raia. Wananchi wamepiga...
  6. Watanzania inabidi tuwe wazalendo tuipende nchi yetu kwanza halafu vyama baadae

    Wakuu Ipo siku sisi kama watanzania tutaruhusu nchi yetu iingie katika kipindi kigumu zaidi Cha kiutawala ambapo tutajikuta tumeruhusu kutawaliwa na mtu asie mtanzania halisi bila sisi kujijua kwa sababu tunaonekana hatuna uzalendo kabisa. Imefikia wakati watu Wanapenda vyama kuliko kuipenda...
  7. I

    Ugunduzi wa zaidi ya tani 2,000,000,000 za madini adimu ya Dunia yaliyopatikana Marekani unaweza kuifanya nchi hiyo kuwa 'kiongozi mpya wa dunia'

    Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na kumtaka Rais Donald Trump kuzingatia Bitcoin kama suluhu la deni linalozidi kuongezeka nchini humo...
  8. Hivi nchi za NATO hazina nguvu kabisa ya kijeshi?

    Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za maangamizi, wakipeana sifa kiasi hicho. Mara nyingi utasikia, "Korea itamshambulia Marekani," na...
  9. Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

    Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
  10. Ajira ya Elon Musk aliyopewa na Trump katika serikali yake je ni funzo katika nchi yetu kuwaajili akina Mo au Bakhresa ?

    Je tunajifunza nini hapa ktk serikali zetu kuajili matajiri ? Ikumbukwe matajiri wa nchi zetu wengi huwa ni indirect involves in political funding japo kuna means of blackmailing n.k na kuna mafungu wanatoa, mana kwa nchi kama zetu raia wa sisemu akiona Mo anasupport CHADEMA kesho humkuti...
  11. L

    LGE2024 Wagombea wengi wanaowekwa na upinzani ni makanjanja watupu, hawawezi kusaidia kuleta maendeleo ya nchi hii

    Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika...
  12. G

    PreGE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
  13. Hakuna nchi iliyopata uhuru ki-ligend kama Haiti (saint-Domingue)

    Haiti ndo nchi iliyopata uhuru kimafia kuliko nchi yeyote duniani na mara nyingi huwezi sikia watu au hata mashuleni ikifundishwa Haiti ilikua inajulikana kama saint-Domingue (sandoming inavyotamkwa kifaransa) lilikua ni koloni la ufaransa ambalo ililichukua kutoka kwa wakoloni wahispania...
  14. Ni nishati safi ipi ya kupikia ambayo Samia anasifiwa kuipambania na kufanikiwa?

    Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana? Nani asie jua matumizi ya Mkaa bado yako juu sana? Nani asie jua hata huko Serikalini kwenyewe taasis zake wanatumia mkaa kwa...
  15. Kwanini CIIE yanavutia nchi za Afrika

    Maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE) yanafanyika mjini Shanghai, na kuzishirikisha nchi za Afrika. Kwenye maonesho hayo, Tanzania imekuwa mgeni wa heshima kwa mara ya kwanza, huku Benin, Burundi na Madagascar zikishiriki kwa mara ya kwanza katika maonyesho haya ya...
  16. Natafuta masoko ya uwakika ya nafaka ndani ya tanzania na nchi Jirani

    Habari za mapambano wanajamvi kama mada ilivyo hapo juuu. Nimekuwa nafanya biashara ya mazao (mahindi, maharage,mpunga,alizeti) kwa mda wa miaka zaidi mitatu yaaani mimi natafuta mzigo vijijini maeneo ya songwe na Rukwa napeleka soko la tunduma mataifani pia soko la mbalizi. Kuna baadhi ya mambo...
  17. L

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima. Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu...
  18. M

    Kweli nchi yetu bado ni ya ulimwengu wa 3, kwa sababu umeme tu bado ni tatizo

    Ni ndani ya jiji muhimu la kibiashara la Dar es Salaam, lakini umeme unakata bila taarifa je kwa mikoani yawezekana karibia kila siku umeme unakata. Soma pia: Tatizo la umeme mkoani Tabora
  19. K

    Israel inapata nguvu kutoka nchi za Ulaya Magharibi na Marekani

    Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,… Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu wa Marekani sio Israel ambayo pekee yake sio kitu ingeteteleka muda wa wiki moja...
  20. Maana ya maneno

    Nahitaji kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili na tofauti zake Nation Country State
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…