nchi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na wife, nikazira kula chakula,na yeye wala hajajisumbua kunibembeleza,hapa nilipo nasikia ubao sio wa nchi hii

    Za kwenu wakuu? Jana usiku tulizozana na wife,nikaudhika nikazira kula msosi,nikajua labda angekuja chumbani kunibembeleza kula.matokeo yake naona mtu kaja chumbani kaingia bafuni kaoga kapanda kitandani kulala.hapa nilipo nina hisi ubao sio wa nchi hii wakuu. Is there any idea...
  2. JamiiForums Tanzania Urusi imekuwa nchi ya kwanza kutambua serikali ya Taliban ya Afghanistan

    Urusi imekuwa nchi ya kwanza kuutambua rasmi utawala wa Taliban, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan Amir Khan Muttaqi akiuita uamuzi wa "ujasiri". Alikutana na balozi wa Urusi nchini Afghanistan, Dmitry Zhirnov, mjini Kabul siku ya Alhamisi, ambapo Bw Zhirnov aliwasilisha rasmi uamuzi...
  3. JamiiForums Tanzania waandishi wa habari ni wanasiasa Wana vyama vyao ndio maana wanaandika habari za upande mmoja nchi yetu Haina Tena hazina ya waandishi tuna machawa !

    Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilichompeleka Nchimbi Kwa mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya

    Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu. Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo. Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nchi ya laana: why? Mbunge anayejua kusoma na kuandika 17,000,000/month, Tabibu (CO) laki 7! Mwalimu laki 4..............hala

    Nchi ya laana
  6. JamiiForums Tanzania Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

    Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi yangu

    Nchi yangu ya Demokrasia 🤣🤣🤣🤣🤣
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu' - Makamu Rais wa zamani wa Burundi

    Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau. Habari kamili: Katika mkutano na...
  9. JamiiForums Tanzania Elon Musk alaani utawala wa Trump kwa kutengeneza bajeti mbaya ya nchi kihistoria, aapa kuwanyoosha wabunge wote walioipitisha

    Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na...
  10. JamiiForums Tanzania Term hii Nchi itakua inachekesha zaidi duniani kama hawa wabunge wote wakishinda😎

    Ninao ona wanachukua form nashindwa kuelewa au ni maigizo Yaan ni kama bongo movie itaongoza nchi
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna Jipya Juu Ya Uso Wa Nchi. Kumbe Machawa Walikuwepo Tangu Kale, Na Walikwishalaanika

    Siku zote tumekuwa tukisema wale machawa wa mama mama mama, ni watu waliokosa akili maana hakuna mwenye akili anayeweza kukubali kuwa chawa, kumbe machawa wamekuwepo tangu kale, na Bwana, Mfalme wa Mbingu na nchi alikwishawalaani. Leo nimelifikia neno la Mungu linaloweka wazi kuwa uchawa ni...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi hailindwi Kwa Bunduki ,inalindwa Kwa UMOJA na Mshikamano wa Wananchi kupitia Haki ! Wairan wameishinda Israel na Marekan si Kwa Uwezo wa kijeshi!

    Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

    Hili liko wazi kabisa. Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha. Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi. Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu

    Ndugu Wakristo wenzangu, kesho ni siku ya Dominika, hivyo nawakumbusha kuandaa sadaka mbili. Moja ni sadaka ya KANISANI na nyingine ni sadaka ya UKOMBOZI wa Nchi yetu. Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu iingizwe kwenye Account ya chama cha siasa kilichosimama imara bila kuyumbishwa kupigania...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania haiwezi kuwa kama Ulaya, Marekani, China hata CHADEMA wakichukua nchi

    Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida. Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tujikumbushe: Hivi CHAUMMA kilifanikiwa kuzunguka nchi nzima kwa siku 16?

    Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo) Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana...
  18. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya: Nchi 27 wanachama wa EU zakubali kurefusha vikwazo dhidi ya Urusi

    Viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanaokutana katika mkutano wa kilele mjini Brussels, wamekubali kurefusha vikwazo vyao dhidi ya Urusi kwa muda wa miezi sita, kwa mujibu wa duru za kidiplomasia.EU tayari imepitisha "vifurushi" 17 vya vikwazo tangu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...
  19. JamiiForums Tanzania B-2 Spirit: Ndege Inayoweza Kuiangamiza Nchi ya Iran Kwa Siku Moja

    Inasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa. Kwa nini B-2 Spirit inaweza kuangamiza nchi ya Iran kwa siku moja? 1. Uwezo wa Kusafiri Kila Kona Bila...
  20. JamiiForums Tanzania Eti wakuu, kweli bado nchi za Kiafrika katika uongozi thabiti zina nafasi ya kufikia prosperity? au muda umeisha tukimbia, tutakuwa tunafukuza upepo?

    Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana. KARIBUNI:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…