nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wasira: Hakuna nchi isiyokuwa na manung'uniko

    Hakuna nchi ambayo haina mtu anayenung’unika- hakuna, hata ungelifanyaje kutakuwa na mtu pale ana matatizo yake na atanung’unika kwa wakati wake na mahali alipo. Ukisema watu wananung’unika nchini nitakuuliza wangapi wananung’unika maana tupo wengi. Wakati nafanya kazi kwenye serikali ya awamu...
  2. JamiiForums Tanzania Mabadiliko yatakayoiponya nchi

    Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi, Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa NIKIWA...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchambuzi kuhusu ustawi wa watu ,taifa, na Uongozi/viongozi wetu na matumizi ya fedha zetu na uhalisia wa mipango yetu ya maendeleo 2050

    Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye nchi ya kusadikika mtamlaumu Malikia bure

    Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu", kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa Order Na Kila mmoja wenu Ni Shahidi wa mkaidi wa order alie kwenye Hekalu Nini kinampata".
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

    Salaam! Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani, Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi kama Pagala lililotelekezwa

    Kila mtu analitumia kwa muda wake. Wengine wanaenda katika hilo pagala kujisaidia. Wengine kufanyia matucy na wale maskini humo wanaenda kulala. Wanaishi humo. Wenzao wanaenda kufanyia haja zao. Wengine wanachomoa vifaa vilivyopo kwenye hilo pagala kila kinachowezekana na wameanza hadi kuondoa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuuliza ndiyo kujifunza nisaidieni hili swali mliokwisha fika nchi za wazungu

    Swali langu ni fupi tu,je nchi za wenzetu uko majuu yaani uko kwa wazungu kuna makabila kama ilivyo nchi za afrika? Mfano Tanzania,wajita,wagogo ,wasukuma,wajaga ,wanyakyusa,nk * ukitaja nchi unitajie na makabila yake ili nasi tusiojua tujifunze Shukrani.
  8. JamiiForums Tanzania Nchi yetu na taifa letu Tanzania

    Tulipo sio tulikotoka kisiasa, kielimu na hata kiuchumi. Yapo mazuri yamefanyika lakini yapo mabaya yamefanyika na kuacha majeraha katika mioyo na fikra zetu. Hatuna taifa lingine isipokuwa Tanzania tunayoweza kujivunia na kuona fahari kwayo. Nini kifanyike angalau kufanya mioyo yetu iwe na...
  9. JamiiForums Tanzania Kibiashara hapo napo tumekula hasara kama nchi.

    Hili dude kila mara napoliona hapo kwenye karakana ya mameli,naona kabisa hii ni hasara nyingine baada ya likichwa limoja kufanya maamuzi ya kutumia pesa za watanzania Kidogo angekuwepo yeye angeweza force mambo mpaka ya kawa,nazan angepiga marufuku malori kusafirisha mizigo kwenda huko uganda...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kinachoitesa Nchi ni mfumo wa Urais Usiodhibitika na yeyote wala kuhojiwa

    Nani wa kuisaidia kama kila anayestahili kufanya lolote kulinda Nchi anapewa rushwa anyamaze ,asipotii analazimishwa kutii ,wazee wanaotegemewa wamepewa sega wanalamba ,,,wanaothubutu kutokq wanapewa vifungo vya nyumbani na mambo yanaratibiwa na walafi wenye mission zao kwa kulindwa na mfumo...
  11. JamiiForums Tanzania Waswahili wanasema Muhuni hasusiwi,na akisusiwa yeye hajali anakula tu

    Waswahili wanasema Muhuni hasusiwi,na akisusiwa yeye hajali anakula tu! Ila muungwana akisusiwa anauliza,kwa nini mmesusa,ebu tuwasikilize na tufikie muafaka.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye raia wanaopenda shari mdawote

    Watanzania tunapenda kukaa pembeni na kushadadia mambo kiushabiki tu mfano Mbowe alitaka aendelee kuwa mwenyekiti watu wakatia fitina hadi akashindwa😁 paten kakosewa kidogo tu wabongo wakashadadia hadi watangazaji wakafukuzwa kazi😐wabongo wamefurahi sana.sijafurahishwa na watangazaji kumfosi...
  13. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli ninayosikia basi nchi inaelekea kupona

    Leo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni. Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi...
  14. JamiiForums Tanzania Ukubwa na umuhimu wa ccm katika kuiongoza nchi wajidhihirisha wazi kwa umma wa waTanzania

    Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Cuba na Urusi kuna nini, zama zilee za mwalimu, wasomi wetu walio enda kusoma nchi hizo walirudi wakiwa wamechanganyikiwa (data)

    Huo ndio ukweli, watu wa miaka ya zamani watakumbula kuwa, wasomi wetu walio somea Cuba au Urusi walikuwa wamechanganyikiwa! Kwa miaka ya hivi karibuni mtamkumbuka Dr. Shika sasa marehemu, ambaye pia alisomea huko Urusi alirudi akiwa amedata. Wapo wengi tunawajua wengime wametangulia mbele za...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu kuwa na mtu au kikundi kidogo kinacho controll uraisi haikwepeki, Nashukuru tu remote haiko kwa kabila kubwa.

    REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI? Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi kinachoshikilia "remote." Malalamiko kuhusu nani yuko nayo remote kwa sasa yanaweza kuwa ya msingi, lakini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nikija kuwa Rais huko mbeleni.

    Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4. 1. Kulinda mipaka ya Nchi. 2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu. 3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa kuhakikisha hakuna mhimili au chombo chochote kinatumia mabavu na vyombo vyake kupora HAKI za Watanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

    Team! Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani. # Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
  19. JamiiForums Tanzania Waliokusudia kuinajisi Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais waanza kujitokeza

    Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado..... Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Nimemuelewa Polepole kutotaja nchi aliyokimbilia uhamishoni na kudanganya yuko Tanzania

    Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…