Habari wanajamvi,
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kudeclare my interest. Katika maisha yangu yote sijawahi hata siku moja kujihusisha na siasa kwa namna yoyote ile. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, wala sikuwahi kufungamana na itikadi za kisiasa za upande wowote. Mimi si...