nchi

  1. JamiiForums Tanzania Chagua nchi Moja ya kufanya kazi kati ya Misri, Israel,South Africa, Brazil au Indonesia

    Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kujenga Nchi ni Pamoja na Kukaa Meza ya Mazungumzo Kujadiliana na Kukubaliana

    Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini? Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini? Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda anazunguka Nchi Nzima na Kuweka Mikutano kama nani?

    Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia. Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
  5. JamiiForums Tanzania Siku tukifuta posho zote za Wabunge wakabaki na Mishahara tu ndo siku tutakua tumekomboa nchi

    Sehemu pekee iliyobaki ina pesa za bure ni Bungeni ndo maana watu wanapambana kwa kila namna siko kwamba wana wapenda wananchi au kutumikia wananchi hapana. Ila ndo sehemu pekee bunge unapata utajiri wa haraka sana bila kutumia nguvu ni vigumu sana kupata wawakilishi wa wananchi wa kweli wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Tuwambie vijana vijiweni uko nchi hii ni mali yao wana haki yakupata mgao wao kama wanavyogombania kodi za nyumba ya familia za urithi

    Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Kuna watu wanalipwa hela kwaajili ya kuichafua nchi

    Na mimi namuomba Mwenyenzi Mungu amlinda Dkt Samia aingie kwenye uongozi wa miaka yake mitano. Na ukisikia kelele zinazopingwa hizo ni ule wivu wa kuona mwanamke anaweza? Wanampa maneno ya kumkatisha tamaa ili akasirike au asuse, na wengi pia wanatamani kuichafua Tanzania yetu huko duniani ili...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini ya Kikristo wanazidi kuwindwa, wengine wameshakimbia nchi, SHIDA NI NINI??

    Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??. Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua ya mange kimambi japo Msigwa aliikanusha lakini sasahivi yanatendeka yaleyale.
  9. JamiiForums Tanzania Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

    Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha.
  10. JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinaongoza kwa rushwa duniani

    Ukichunguza vizuri nchi hizi utaona ndiyo vinara wa rushwa duniani. Rushwa zao wamezifichaficha na kuzihalalisha kwenye makaratasi. US wanapeana rushwa kubwa kubwa wanazoita lobbying. Unakuta wafanyakazi wengi wa serikali wakistaafu wanaenda kupata kazi nono kwenye makampuni yaliyokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona amani kwenye hii nchi inazungumzwa kuliko nchi yoyote duniani?

    Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh! Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au? Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
  12. JamiiForums Tanzania Tafadhali Sana tunaomba mwacheni Polepole hii Nchi yetu sote

    Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake. Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote. Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
  13. JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kulizuia Jeshi kuchukua Nchi halipo kipindi hiki

    Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi. Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Damu ya Polepole isipoelezewa nchi imepasuka Rasmi

    Ndani ya masaa 24, kama Serikali haitatoa taarifa kuhusu hali ya Polepole, Tutamobilize vijana kati ya 5000-20,000 nchi nzima, kila mmoja atatumiwa maelekezo ya kujilinda kwa kila hali dhidi ya watekaji kupitia Whatsapp/Telegram na SMS za kawaida, hili tukio litatokea ndani ya dk 10 nchi nzima...
  16. JamiiForums Tanzania Heche: Muachieni Polepole na viongozi wetu wote haraka

    Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya....... "Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii. Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia...
  17. JamiiForums Tanzania Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

    Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake. Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha. Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hata Capt. Traole awali alipingwa sana na wahuni wanaoitafuna nchi lakini Mungu almsaidia: Hivyo Msiwashangae hawa

    Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo! Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
  20. JamiiForums Tanzania Taasisi zinazopaswa kufutwa siku nchi itapata demokrasia

    Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa. 1. Jukwaa la Wahariri(TEF) 2. BASATA 3. Chama cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…