nchi

  1. JamiiForums Tanzania Dawa ya mitishamba kutibu COVID-19 kutoka Madagascar yaonesha mafanikio makubwa, Nchi kadhaa za Afrika kuanza kutumia

    Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya Corona, hivi karibuni rais wa Madagascar Andry Rajoelina alizindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' ugonjwa wa Covid-19. Kwa wiki mbili sasa, rais Andry Rajoelina amekuwa akifanya mazungumzo na viongozi wenzake wa nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Vigogo wengi walikuwa na Clinic zao za magonjwa sugu nchi za nje mipaka imefungwa hawana pa kukimbilia tena ndio maana wanateketea

    Ukifika kwa daktari kuna kitu kinaitwa Historia ya mgonjwa Mgonjwa kumtibu lazima ujue historia yake in detail ili ikusaidie kumpa tiba sahihi Ndio maana watu wengi wenye uwezo wana family Doctors Family and private Doctors anasaidia kujua akupe dawa gani na anajua dawa mbaya na hatarishi...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ni nchi ambazo hazina kesi za Corona Virus

    Comoros Kiribati Lesotho Marshall Islands Micronesia Nauru North Korea Palau Samoa Solomon Islands Tajikistan Tonga Turkmenistan Tuvalu Vanuatu #CoronaVirus wametangazwa kuwa janga la dunia, lakini bado kuna baadhi ya nchi hazijaguswa na janga hilo Kwa mujibu wa Chuo Kikuu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Diamond: Tayari tumepata leseni ya kurusha Wasafi FM nchi nzima

    Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani. Amefunguka "Mwanzo tulikuwa hatujapa leseni ya Serikali kurushwa redio nchi nzima ila kwa mwaka huu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Best speech ya Makonda, tumekaribia nchi ya ahadi, hii video inanipa moyo sana

    The best speech ever kutoka kwa mkuu wa mkoa bora kabisa tangu hii nchi ipate uhuru,tumekaribia kufika nchi ya ahadi TUPO PAZURI MNOO,NARUDIA TUPO PAZURI MNOOO Watakuja hapa vibaraka wa mabeberu kupinga lakini nakuhakikishia KISHINDO CHA AWAMU YA TANO kimegonga kote duniani na heshima ya nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Taratibu za Kuagiza Pikipiki kutoka nje ya Nchi

    Wakuu Habari. Naomba kujuzwa taratibu za kuagiza pikipiki kutoka nje (Mfano Japan). Kwa magari tunaona kuna website kama Beforward Tradecarview Autocom etc, sasa kwa pikipiki kuna utaratibu huo? Na ikishafika bandalini, wakati wa kuitoa ushuru una kadiriwaje au unafuata taratibu gani? Shukrani.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Bei elekezi ya Barakoa ni sh 1500 nchi nzima

    Waziri wa viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema bei ya barakoa zinazotengenezwa hapa nchini hazitakiwi kuzidi Tsh. 1,500. Yoyote atakayekwenda kinyume na agizo hili hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake. Chanzo: Clouds tv!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kweli usiwaamini wanasiasa. Kwenye kampeni wanagawa bure kofia, tisheti, kanga nchi nzima, lakini wameshindwa kugawa barakoa hata kwa Dar pekee.

    Wanasiasa mnatuangusha. Tulitegemea hata chama kimoja kijitokeze kugawa bure barakoa kwa nchi nzima Kama ambavyo mmekuwa mkifanya kipindi Cha uchaguzi, ambapo huwa man uwezo wa kugawa tisheti, kofia, kanga na vitu vingine vingi nchi nzima. Huu ndo wakati wenu tunawaomba mjitokeze.
  9. JamiiForums Tanzania Naomba tupate maelezo ya kina ya kisayansi, hivi inakuwaje mtu anashangilia na kupata furaha kali pale nchi yake au wenzake wanapopata matatizo?

    Mfano hai kabisa ambao nimeshuhudia kwa macho yangu mitaani na pia katika mitandao, ni ile hamu na shauku waliyokuwa nayo baadhi ya waTz kuona ugonjwa wa Corona ukiingia Tz, na unamuona kabisa mtu huyo anaumia kila walipoambiwa kuwa ugonjwa bado haujafika. Ile siku yule dada wa huko Kaskazini...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kiongozi wa Nchi kutofautiana hadharani na watu wake

    Mimi napenda kuongea pasipo mtaja awaye yeyote ila kuweka kumbukumbu vizuri. Awali ya yote namshukuru Mungu nipo hai na kuwa na bahati kuona tawala zote tano. Ndugu zangu Watanzania nikiwa kama Raia wa taifa hili aka mzawa napenda kuwaambia tuzidi kusali tena tusali sana lipo jambo hatulioni...
  11. JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Ndugu WanaJF, Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi. Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
  12. JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kuiweka Dar es Salaam kwenye “lockdown” ni sasa

    Tunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19. KWANINI NIMEWAZA HIVYO...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kwa sasa ijikite kwenye kuuza bidhaa nje ya nchi zaidi na kupunguza matumizi kwenye miradi ya maendeleo

    Kutokana na janga hiki la Corona serikali ijikite kwenye uuzaji bidhaa nje kwa bidhaa kuanzia vyakula nk Vikwazo vyote viondoldwe upesi kodi ,ukiritimba nk viondolewe kwa spidi ya haraka ili Ku encourage mtanzania yeyote ana yetaka kuuza chochote auze nje na yeyote wa nje anayetaka kununua...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 yanavyoongezeka natoa ushauri Serikali iagize hii dawa kwa wingi toka nchi za nje inapotengenezwa

    Mimi binafsi sio mtaalamu wa mambo ya afya,ila kidogo napenda kusikiliza ushauri hasa wa wataalamu. Tokea janga hili baya la ugonjwa wa Covid -19 kulipuka nimekuwa nikishinda katika luninga na kuangalia ushauri wa wataalamu wa afya jinsi ya kukabiliana na ugonjwa huu. Mfano Cnn mara nyingi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiafrika kupewa unafuu wa kulipa madeni bila mashariti,kuna hatari malengo yasitimiea na nafuu hiyo kutumika kutimiza vipaumbele vya watawala

    Nashauri nchi wahisani na taasisi za fedha za kimataifa kuja na mpango maalumu wa kuhakikisha unafuu wa kulipa madeni ulitolewa unakuwa na mashariti maalumu kwa nchi zote zilizopata unafuu huo. Nasema hivi kwasababu inawezekana kabisa kwa baadhi ya nchi zetu za kiafrika kutumia unafuu huo...
  16. JamiiForums Tanzania Jina langu surya, nchi yangu india

    Ni mwanajeshi kamili,tena tegemezi kwenye idara ya usalama..ni kijana mdogo mwenye kipaji cha ajabu pengine kuliko wote chini ya jeshi la india..amepikwa kwenye kujilinda akaiva.. ..Kipaji chenyewe ni ngumi...ndio surya anatoka jeshini akiwa na medali ya mapambano ya ana kwa ana..amepewa adhabu...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Frederic Mwakalebela wangapi nchi hii?

    Habari za mda huu wadau wa JFsport, Naomba anaefahamu hili suala atudadavulie kidogo kuna mwakalebela wangapi hapa Tz? Je, huyu makamu mwenyekiti hovyo wa yanga ndio yule aliekuwa kijana smart pale TFF ya mzee Tenga? Kama ndio yeye kalishwa nini, mbona kawa mpuuzi hivi? Hivi kweli yule...
  18. JamiiForums Tanzania IMF yazisamehe madeni nchi 25 kama hatua ya kuzisaidia katika juhudi za kupambana na Covid-19. Yatabiri mdororo mkubwa wa Kiuchumi duniani

    IMF Executive Board Approves Immediate Debt Relief for 25 Countries Washington, DC – Ms. Kristalina Georgieva, Managing Director of the International Monetary Fund (IMF) issued the following statement: “Today, I am pleased to say that our Executive Board approved immediate debt service...
  19. JamiiForums Tanzania Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ?

    Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ? Na kiwango cha mwisho cha kutoa ni tsh ngapi kwenye ATM mashine kwa siku?
  20. JamiiForums Tanzania Ni lini nchi yetu itaanza kulipa watumishi kwa masaa badala ya malipo kwa mwezi?

    Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake. Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki. Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi. Sasa hivi watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…