nchi

  1. JamiiForums Tanzania Kwa Zanzibar ni nchi ya kidini, kwa nini wapiga urabu kwenye Ramadhani wakamatwe?

    Zanzibar ni nchi yenye watu wenye Tamaduni na Imani mbalimbali ikiwemo Waislamu na Wakristo. Kuweka katazo la unywaji pombe au uuzwaji pombe ni kuingilia faragha za watu. Kama biashara ya mtu haikubuguzi au unywaji wa mtu hausumbui watu wengine kwa nini mtu anayekunywa pombe Ramadhani akamatwe...
  2. JamiiForums Tanzania Ronald Lamola: Siasa za Ulimwengu zinaathiri nchi za SADC

    Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni ujumbe tosha kwa nchi zetu kuchukua hatua Madhubuti za pamoja kujinasua. Kauli hiyo imetolewa na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mzee unaona kabisa Nchi za Wenzetu watu wako serious na Masilahi ya Nchi zao

    Kweli anaizungumzia Nchi na kuijali kama familia yake , Afrika tuhubiri kwanza Uzalendo tuko nyuma sana . https://youtube.com/shorts/7bpZjoxy2Lg?is=zPTHUjErKG4H9MSd
  4. JamiiForums Tanzania Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni

    Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni. Kwa hii serikali haramu sishangia kusikia star tv imekataliwa iuuzwa kwa wahuni na hakuna utawala wa kisheria ndio sababu kuu ya kuanza kuiba na...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

    Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi. Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Vibaraka wanaisambaratisha nchi lakini CCM wapo bize na CHADEMA

    Wakati vibaraka wa mabeberu wanasaini mikataba ya hovyo hovyo inayowatia hasara watanzania na Tanzania, chama kinachoongoza nchi Kiko bize kuishambulia CHADEMA. Wakati mabilioni ya fedha za umma yanaibwa ama na watumishi wa umma au watu binafsi, CCM iko bize kupambana na BAWACHA. Tanzania...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Trump atishia kuichukua Cuba, anadai nchi haina hela wana hali tete

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki ya pili sasa tangu Februari 28, 2026. Akizungumza Jumatatu, Trump alisema Wizara ya Mambo ya Nje ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kulingana na Uislamu, nchi ya Waisraeli/Wayahudi ni ipi?

    Wakuu. Kulingana na Uislamu, yaani Quran na Hadithi-nchi/eneo la Waisraeli/Wayahudi ni ipi?
  9. JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu: Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi wizi wa house boy ulivyoisababishia nchi hasara kubwa za kiuchumi

    Mnamo 1989, house boy wa ki-Thai aliyekuwa akifanya kazi katika jumba la kifalme la Saudi Arabia huko Riyadh aliiba mamia ya pauni za vito, ikiwa ni pamoja na almasi ya bluu ya karati 50. Alisafirisha nyara hizo hadi Thailand ndani ya vacuum cleaner kupitia kampuni ya usafirishaji ya DHL. Saudi...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Waisreal wanakimbia nchi yao kuukwepa moto wa Iran

  12. JamiiForums Tanzania Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mambo yanayoendelea duniani yanaweza kuwaathiri watu hata kama hayafanyiki kwenye nchi yao moja kwa moja.

    Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana. Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana. Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga. Ilipokuja ugonjwa wa COVID-19,biashara nyingi zilishindikana kutokana na mipaka. Ilipoingia vita...
  14. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  16. JamiiForums Tanzania Mawaziri EAC Wakutana Kukamilisha Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika leo tarehe 5 Machi 2026 jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya hiyo utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026. Mkutano huo ambao umepokea na...
  17. JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi

    Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25 Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya mkutano wa 25 wa wakuu wa nchi

    MAKATIBU WAKUU EAC WAKUTANA KWA MAANDALIZI YA MKUTANO WA 25 WA WAKUU WA NCHI Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna nchi Afrika inazifikia Iran, North Korea kwenye maendeleo ya kiteknolojia?

    Kuna nchi Afrika inazifikia Iran na Korea Kaskazini nchi zilizoishi kwenye vikwazo vya kimataifa kwa muda katika maendeleo ya sayansi na teknolojia ?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yani kiongozi wa nchi anaejitamba ana jeshi bora anauawa ndani ya sekunde 60, kuna jeshi kweli hapo ?

    Ni ngumu kuamini kiongozi anaejisifu ana jeshi bora kauawa ndani ya sekunde 60 katika mashambuliz ya ufunguzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…