nchi

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kama Nchi ziliweza kutoa nguvu za Wafalme, iweje sisi wenye Rais

    Ndugai usikubali kufa kindezi (Misemo ya vijana), Wewe ni Kiongozi wa Muhimili wa Bunge na Kikatiba una nguvu za kusikiliza Hoja za kumtoa Rais au hata kuchana speech yake. CCM wachache wanataka nafasi ya Uspika ili na wao wale kama wewe ulivokula, lakini usikubali kuiacha kizembe. Sio Lazima...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ukali wa Rais Samia ni mzuri kwa nchi yetu kwa sasa

    Raisi ameanza kuamini tuliyokuwa tunamwambia kwamba asiwaamini wote wanao mzunguka. Lakini vilevile amegundua kuna watu walikuwa wana mfitini na kuwaelekeza upinzani kuhusu kukamatwa kwa Mbowe na kuhakikisha wapinzani anawaona kama wabaya. Ndugai " Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nao sawa waje...
  3. JamiiForums Tanzania Kuhusu Deni la Nchi yetu Tanzania

    Ndugu Mheshimiwa Rais, Mama Samia, najua unasomoga humu, au kama husomagi najua wapo wanaokusomeaga comments za humu za watapika nyongo. Niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari hapo juu... 1. Anzisha utaratibu mpya wa ku-service deni la taifa bila kusibiri liive ndio tuanze kutafutana...
  4. JamiiForums Tanzania Tupo tayari kuisaidia nchi yetu kukuza uwekezaji kutoka nje (foreign direct investiment)

    Habari wakuu, katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha tunakuza soko la uwekezaji nchini Tanzania, sisi vijana kupitia kampuni yetu ya BlU company ltd tunaongeza 'ubunifu' na maarifa katika nyanja mbali mbali lengo likiwa ni kumpunguzia muda na gharama mwekezaji kwa kiasi kikubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Angalizo: The state nyie ndio mtakaolaumiwa nchi yetu ikiyumba

    Kelele zimeanza kusikika mapema kabisa kuhusu deni la Taifa! Hadi sasa ndani ya miezi michache ya Mama tena tisa tu tayari trillion 10 na zaidi ya nusu ya mkopo huo ukielekea visiwani Zanzibar wakati bado kuna miradi mikubwa ya bara kama stiglers na Bwawa la umeme haijakamilika Hadi sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

    Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na...
  7. JamiiForums Tanzania Ndugai shughulika na Tanesco Wanakata umeme hovyo pasipo ratiba Kibaigwa achana na malumbano ya mikopo ya nchi

    Wanabodi salaam, Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini. Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama binadamu ana mapungufu ila ana sifa zote za kuwa Kiongozi wa Nchi yetu

    Hakuna binadamu aliyekamikika, hivyo hata Mama Samia hajakamilika. Ila kiuongozi nitakuwa wa mwisho kukosoa na kusema Hana sifa ya kuwa Rais wa Nchi. Urais wa Nchi unaongozwa na sifa Moja kuu, Rais ni Mzazi Kwa Taifa bila kujali ana umri Gani. Mama anasimama kama mzazi kwetu. Jambo la pili...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuwaunganisha Watanzania na ajira nje ya nchi warejeshwa

    Jamaa nchi inazidi kufunguliwa hukuu. Fursa hiyoo kwa watafutaji. Wale mawakala wa dubei, Qatar n.k na wale watafuta kazi nje ya nchi mambo yamenoga huku. Mimi nataka nikafanye zangu kazi dubei, nimechoka kupambana na wachina na wahindi wa Bongo 😁😁 Habari Kamili πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ======== SERIKALI...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi hii, kiini cha kila tatizo tulilo nalo inaonekana ni katiba mbovu; mlio kwenye system, naomba mtujuze, inabadilishwa lini?

    Kiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme hivyo na awajibishwe endapo hatoifuata. Mfano leo ukaniambia kwamba tunakupa madaraka fulani, na...
  11. JamiiForums Tanzania Full Text: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya kufunga mwaka 2021. Kirusi kipya cha Corona cha Omicron kimeshaingia Nchini Tanzania

    Rais Samia Suluhu anahutubia Taifa kuuga mwaka 2021 na ameanza na mfumuko wa bei. Rais Samia ametaja changamoto ya mfumuko wa bei ulioshuhudiwa 2021 kuwa ni zao la ongezeko la bei za mafuta kwenye soko la dunia. Aidha Rais Samia amelitaja janga la COVID19 kuwa sababu nyingine ya ongezeko la bei...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la Nchi Hii ni CCM

    CCM wanavyohandle maoni ya Ndugai, inaonyesha kabisa kwamba hata tukiwa na katiba mpya na katiba ya CCM ikabaki kama ilivyo; bado haratakuwa na demokrasia katika nchi. Wabunge wetu wataendelea kuwa waoga wa kuisimamia serikali ndani ya Bunge la JMT na nje ya Bunge. Kwa CCM wengi, wanachama...
  13. JamiiForums Tanzania Makusanyo ya nchi ni trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara tu bilioni 600,Baki bilioni 600,stiglers,SGR trilioni 30, bila kukopa ni ngumu kumaliza miradi!

    Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi? Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Nchi tusilale hasa vyombo vyetu vya huyo dogo anajitanua kwa kasi ya ajabu

    Andiko hili na walione wahusika. Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani. Si wa kupuuzwa tena! Amewekeza sana kwenye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwanini mnakataa nchi Kukopa, wakati Kukopa Kwetu kumesaidia kujenga Darasa Zuri linaloonekana katika Gazeti la Nipashe la Leo?

    Ni Darasa zuri sana ambalo Kitaaluma litawafanya Watoto ( Wanafunzi ) Wetu wawe na Akili Kubwa za kuweza kuwafanya Wajenge nchi ili huko mbeleni tusiwe Wakopaji tena. Hongera mno kwa Mpiga Picha hiyo Shaaban Njia ( wa Gazeti la Nipashe ) kwa Picha hiyo nzuri wa Darasa la Wanafunzi kwani Value...
  16. JamiiForums Tanzania Party animals: Jiji lipi lina night life amazing na usalama kwenye nchi zinazotuzunguka

    Nchi zinazotuzunguka - Kenya, Uganda, Rwanda, Congo, Zambia, Malawi, Mozambique. Wengine tukisafiri nje basi nightlife huwa inapewa uzito sana. Tukifika kwenye miji ya watu huwa tunapenda kufanya upopo. Unatoka club A unaingia club B, Totoz kama zote zinamulika. Ukija kucheki muda unakuta...
  17. JamiiForums Tanzania NEMC, mnashughulikia mazingira ni nchi kavu pekee?

    Baraza la Mazingira (NEMC) nawauliza hamuoni Uchafuzi wa mazingira baharini na kwenye vyanzo vya maji? Uchafu unatiririshwa baharini, na ziwani kwa Hali ya kutisha. Public beaches (fukwe za umma) eg. Coco, Kawe, Jangwani zimejaa uchafu Wala hamchukui hatua. Why? *Huko baharini mna hata Boat ya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jenga Nchi na Wasogeze wenye Maarifa wakuongezee na wewe umalize salama.

    Habari za jion wanajamii wote. Kwa bashasha kbsa naomba nitoe Rai kwa Rais Samia, Tanzania ina watu wazuri wenye unafiki, makelele na kupoteza maboya watu hasa wasiojiamini na wasionamaarifa mapana kwenye ngazi ya uongozi, kwako Samia kundi la Kikwete na wanamtandao kwa ujumla wao nyakati za...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Je unawajua wafanyakazi ndani ya Balozi zetu huko nchi za nje ??

    Kama mnawajua watajeni majina yao ,ndio mtawafahamu ni akina nanni na wanahusiana ni ndugu au watoto wa wakuu wakuu ,nyie andikeni majina yao hapa ,mtazidi kuzinduka.
  20. JamiiForums Tanzania Mauzo ya Bidhaa nje ya nchi (export)yameshuka kwa dola milioni mia sita sawa na trilioni moja.

    Kulingana na data za world Bank. Ukilinganisha na mwaka 2020 muda kama huu mauzo ya bidhaa nje ya nchi yameshuka kwa dola milioni miasita sawa na trilioni moja za kitanzania. Hii ukiachana na uhalisia kwamba chanjo imepatikana na biashara zimeanza kurejea katika hali yake. Nini chanzo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…