china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa.
Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja na mazao ya kilimo, madini na bidhaa nyinginezo; badala ya kuwa mazao yaliyoongezwa thamani, hatua...