nchi

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ijaribu sera ya madaraka mikoani, yaweza kabisa kuibadili nchi yetu ndani ya kipindi kifupi

    Makamu mwenyekiti yupo ziarani mikoa ya magharibi mwa Tanzania, ambapo tayari kapita Kagera na mkoa mpya wa Geita. Hapo Kagera kakutana na mkuu wa mkoa bwana Chalamila ambae juzi kaongea maneno ambayo yamekosa mwongozo wa kitaaluma kwa kujaribu kulinganisha uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza...
  2. JamiiForums Tanzania Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi tano zenye unafuu wa tozo

    Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani Chanzo: Getty images Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo...
  4. JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani

    2 Septemba 2022 By Yusuph Mazimu, BBC Swahili Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo miradi. Hoja inakuja ni tozo...
  5. JamiiForums Tanzania Solidarity fund/uzalendo vs kujenga nchi

    Habari Watanzania, Baada ya kusoma na kusiliza hoja za waziri wa fedha mheshimiwa Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, naona kama hajaelewa msingi wa manung'uniko au kelele anazozisikia. Naomba kumweleza yafuatayo, manung'uniko ya wananchi si neno kodi au Tozo. Manung'uniko ni jinsi haya yote...
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa maswali haya Chebukat anaweza kukimbia nchi

    TOUGH QUESTIONS ASKED BY JUDGES AT THE SUPREME COURT THAT NEEDS 15MINS RESPONSE....👇👇 1. How many votes were stray and how were they distributed? 2. Did you have any instance where voters walked in and voted for the president alone? 3. 225 stations didn't use kiems, how many were they in...
  7. JamiiForums Tanzania Nina sebule ina urefu wa 6m na upana wa 4m, je, ninunue TV (screen) ya nchi ngapi na brand gani ni nzuri?

    Habari wakuu? Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality nzuri za picha na inadumu kwa muda mrefu bila kuleta matatizo? Natanguliza shukran za dhati wakuu!
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nchi yangu katika mapinduzi ya kiuchumi

    JE INAWEZEKANA KUAHURU KIUCHUMI Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Huru wa Kiuchumi ni uwezo wakua huru katika shughuli za uzalishaji kwaajiri ya kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa...
  9. JamiiForums Tanzania NHIF mjue kwamba jinsi nchi inavyoendelea ndivyo magonjwa ya kuambukiza yanavyopungua na yale yasiyoyakuambukiza kuonekana zaidi

    Inashangaza kusikia NHIF ikilalamika kuwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza (NCDs) yameongezeka sana, gharama ya matibabu yake ni kubwa sana na yanafilisi mfuko. Na kwamba NHIF inakusudia kuacha kugharimia matibabu ya magonjwa haya yasiyo ya kuambukiza. Kama tetesi hizi ni za kweli, basi hakuna...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

    Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha. ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kupata work permit nchini Uingereza

    Habari wakuu, nipo Tz kwa Sasa, naomba utaratibu wa kupata work permit nchini Uiingereza. Niliomba kazi huko kupitia agency online ambayo iko registered na home affairs ya UK, nikafanya interview na nimetumiwa job offer na kutakuwa kuisaini, Kisha niwafowadie work permit ili watume nauli na...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kitu kipi ambacho serikali inakifanya kisichotegemea kodi? Kwa nini watoa kodi, tunanunua huduma zetu wenyewe?

    Mtanzania, umewahi kujiuliza kuwa, vioongozi wa serikali, wafanyakazi wote wa umma, v8, na magari yote wanayotumia viongozi, hospitali na madawa yake, majengo ya shule, vyuo na vifaa vyote, miundo mbinu yote, maofis yote ya serikali n.k, matokeo ya hayo yoote ni kodi ya watanzania Maswali ya...
  13. JamiiForums Tanzania Presss ya Mawaziri leo, wanamaanisha nchi inajengwa na tozo tu?

    Kwanza wamefanya press kwa kukurupuka tu. Hatujaelewa jambo lolote. Pili, wamepunguza kodi ya madini toka 6% hadi 3%. Wakatutwisha mizigo hadi kwenye tumishahara ambato tusharipia kodi. Huu ni wizi na kukosa usimamizi wa rasilimali. Kwa nini sasa tozo zinafanya kazi kubwa kuliko hata PAYE...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Elimu ya wanasheria wa Tanzania vs wa nchi jirani

    Je, mwanasheria wetu Bongo wana jua vizuri hesabu au ndio kula lala faulu background, kuachana na wazamani kama akina Issa Shivji? Making of a senior counsel: Prof Tom Ojienda You are one of the top lawyers in the country. Was this your childhood dream? I never intended to be a lawyer. I...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Ustahimilivu kwa Wakulima dhidi ya mabadiliko ya Tabia Nchi

    USTAHIMILIVU KWA WAKULIMA DHIDI YA MABADILIKO YA TABIA NCHI. Utangulizi Mabadiliko ya Tabia nchi ni jumla ya mabadiliko ya hali ya hewa ya eneo fulani. Kilimo ni jumla ya shughuli zinazohusisha uzalishaji wa mazao mbalimbali kwa ajili ya chakula ama biashara. Shughuli za kilimo zimekua na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nchi ya Jamhuri

    Nchi ya Jamhuri ilikuwa inaongozwa na katiba ya vyama vingi, katiba hio ilikuwa inaruhusu kila chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika nyanja mbalimbali za uongozi ili kurahisisha maendeleo ya nchi hiyo ya Jamhuri Ila ifikapo mwaka 1980 kulikuwa na migogoro mingi sana kati ya jamii...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China yazifutia deni nchi 17 za Afrika, lakini vyombo vya habari vya Magharibi viko kimya

    Na Fadhili Mpunji Hivi karibuni mkutano wa uratibu wa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya China na Afrika kwenye mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, ulifanyika kwa njia ya video chini ya uenyekiti wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

    Nawasalimu kwa JMT, Mnyonge hanyongwi na haki anapewa. Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika. Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi. Ni nadra sana hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
  20. JamiiForums Tanzania Mafuriko yaigharimu Pakistan zaidi ya Tsh. Trilioni 23

    Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mipango, #AhsanIqbal inasema makadirio ya awali yanaonesha mafuriko makubwa yaliyoikumba nchi hiyo, yamesababisha uharibifu wa karibu Tsh. Trilioni 23. Tayari Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetoa msaada wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukabiliana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…