nchi

  1. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania kusambaza huduma ya M-PESA nchi za SADC

    Watumiaji walio na M-Pesa ya Vodacom sasa wataweza kutuma na kupokea pesa kwa urahisi kwa nchi nane mpya zilizo na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc), kutokana na upanuzi wa jalada la mfumo wa uhamishaji pesa wa kimataifa (IMT). Nchi mpya zitakazotumika katika upanuzi huo ni...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Mwezi Mmoja tumekopa Trillion 7, Kuna siku nchi itapigwa mnada

    Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada. October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi. October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki ya Dunia. October 26: Billion 380 Kutoka Umoja wa Ulaya (EU). October 27: Billion 310 Kutoka Korea...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China ni ishara ya kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

    Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23. Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua...
  5. JamiiForums Tanzania Hii tafsiri mbaya sana kwa kiongozi wa nchi

    Hali ngumu Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki Maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa Maduka yake kufanya Biashara Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni Miezi 12 ya kujaribu kuuza Maduka yake kwenye Nchi za Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii mengi yanatokana na kutoheshimu ujuzi na nidhamu

    MATATIZO YA NCHI HII MENGI YANATOKANA KUTOKUHESHIMU AKILI KUBWA. Na Thadei Ole Mushi. Morogoro wametangaza Mgao wa Maji, Dar wameshatoa ratiba ya mgao wa maji, Huko mjini kila mahali Majenereta yananguruma kuashiria kuwa kuna tatizo la Umeme japokuwa waziri January hajatutangazia. Tuliwapa...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Nchi hana huruma kwa raia wa hali ya chini? Hali ya Chakula nchini ni mbaya

    Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22. Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000. Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu. Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
  8. JamiiForums Tanzania Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
  9. JamiiForums Tanzania Marekani ni nchi moja ya raha sana. Wakiishiwa pesa wanachapisha tu

    Ukisikia nchi ni superpower usichukulie jambo dogo. Kuna faida nyingi sana. Mfano Marekani wakiishiwa pesa wanachapisha tu na kununua vitu kokote. Wanasafiri kutalii nk. Anachofanya ni kuhakikisha anaendelea kuwa superpower na kumdunda yoyote anayeleta fyokofyoko. Ukiwa raia wa nchi kama hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

    Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso. Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini. Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".
  11. N

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na Azam katika hadhi ya nchi tatu za E. Africa

    Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania Azam = Uganda Karibuni.
  12. JamiiForums Tanzania Kama kweli ni chaguo la Mungu, tusisingizie vita/ tabia nchi

    Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo. Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk! Binafsi kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nimeona mabadiliko makubwa ya tabia nchi tofauti na kipindi...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi inaenda vizuri, wazee wa kulalamika siku zote wapo tu hawakosi

    To be honest Huu uongozi ni Sahihi kwa ustawi wa Taifa . Nipo DSM naona miradi ya kuchagiza uchumi ikianzishwa , simaanishi madaraja no hapa nazungumzia Mambo muhimu tu. Vijana wanapambana life goes on Vitu vimepanda Bei Sana lakini hela ukijituma unapata and you can afford to pay bili zako...
  14. JamiiForums Tanzania Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

    Kwa mda wa miaka mitano tu Kila mmoja kaonja joto la jiwe, si mkuli, si graduate, si mfanyabiashara, mwajiliwa wa serikali na binafsi. Wote tulikuwa tunasubili Kila siku matamko yake tu as if nchi haikuwa na binge tena Wala sheria. Nchi ilikuwa imepatwa. Sasa lazima awe reference ya viongoxi...
  15. JamiiForums Tanzania Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yasema uagizaji wa Sukari nje ya nchi mwisho 2025

    Bodi ya Sukari nchini Tanzania imesema jitihada zinazofanyika za upanuzi na uanzishaji wa viwanda vya uzalishaji wa sukari, vitawezesha kufikia tani 756,000 ifikapo mwaka 2025 hivyo kuondokana na uagizaji wa sukari kawaida. Hayo yamesemwa leo Jumanne Oktoba 25, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa bodi...
  17. JamiiForums Tanzania Winter is Coming: WaUkrainia nje ya nchi waombwa kutorejea kipindi cha baridi sababu ya shida ya Nishati

    Mrussi Kumbe alipita kwenye mshono kwa hesabu kali. Muda Si mrefu wanaingia baridini na hali ni mbaya sana katika kukabiliana na janga hilo. Nadhani uwanja wa vita utakuwa kama setup ya mwisho ya Game of Thrones. Winter is coming!! Soma: Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk has asked her...
  18. JamiiForums Tanzania January Makamba akigombea Urais nitamnadi mpinzani wake nchi nzima, Naendelea kutunza ushahidi halisi

    Naona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia Someone is hunting it for real by hooks and crooks! Mi ni miongoni mwa watu wanaokataa jambo lolote la kujinga haijarishi nani analifanya na yuko Chama gani, Kuna ma tycoon nyuma ya Jamaa mwingine Jana kaanza...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima sare za shule za msingi kufanana nchi nzima?

    Tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! Ni nini hiki kisichobadilika? Kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika?
  20. JamiiForums Tanzania Iran ni nchi ya maajabu sana

    Wakuu vipi, kwema. Wakuu Iran ni mmoja kati ya nchi ambazo ziliwekewa vikwazo vikali na nchi za magharibi toka mnamo mwa miaka ya 70s huko hadi leo hii na siku zijazo. Vikwazo hivyo ni vya kiuchumi, kijeshi nk, tena vimekuwa vikiongezwa siku hadi siku. Tofauti na ilivyo kwa nchi nyingine kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…