Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili.
18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF
World Health...
Wizara ya Biashara na Mamlaka ya Forodha nchini China hivi majuzi zilitangaza kudhibiti mauzo ya nje ya bidhaa za Gallium na Germanium kuanzia tarehe mosi Agosti. Baada ya kusikia habari hii, Wizara ya Biashara ya Marekani ilitoa malalamiko mara moja, huku baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Hii nchi inavituko sana kila uchwao,naomba nirudie tena hii kauli, ya kwamba "Unapotaka kuolewa au kuoa hakikisha unaoa au kuolewa na mtu mwenye akili timamu, usipofanya hivyo matokeo yake mnaibebesha nchi watu wapumbavu ingawaje shule wamekwenda"...
Mfumo Mbovu wa Elimu Tanzania:
Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa taifa. Hata hivyo, katika karne hii ya teknolojia na maendeleo ya haraka, ni muhimu kutathmini na kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya dunia ya kisasa. Katika kesi ya Tanzania, mfumo wa elimu...
Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na...
Umoja wa kimataifa, UN imepitisha azimio lililopigwa na nchi za Marekani na Umoja wa ulaya la kuzuia uchochezi na ubaguzi wa kidini hasa uchomaji wa Quran.
Azimio hilo limekuja baada ya mwezi uliopita raia wa Iraq kuchoma Quran nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm Sweden na kuchomea...
Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano.
Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.
Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa...
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa
Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
Hawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba...
Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila...
Ukienda kwenye nchi yeyote kipimo cha haraka haraka ili ujue viongozi wao wana akili ya kuona mbali angalia mipango miji
Mfano kama umeenda western countries, china, japan, au gulf countries kwa mara ya kwanza kabisa kitu ambacho kitavutia macho yako ni jinsi miji yao ilivyopangiliwa na kila...
Wakati mwingine nahisi kukasirika! Hivi ni kweli viongozi wetu wanachukizwa na umaskini uliopo nchini?
Angalia posho wanazolipana! Zinaendana na hali ya kiuchumi ya nchi?
Angalia magari ya anasa wanayoyanunua kwa ajili ya matumizi ya watumishi wa Serikali! Wangeyanunuua kama wangetakiwa...
Mkataba staili ya MANGUNGO unawasuta!! Dhamiri zinawasuta!! Wanakula lakini hawashibi!! wanacheka lakini hawana furaha!!! KISA: Watanzania wamewagundua walivyoridhia mkataba wa kuuza bandari zetu kwa bei ya bure tena kinyume kabisa na sheria zetu zilizopo!!
Sasa wanajipanga kurekebisha sheria...
Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga...
Hii ni orodha ya nchi sita zenye pato kubwa katika Afrika na nchi maskini sana katika Afrika.
https://a-z-animals.com/blog/richest-countries-in-africa-today-ranked/
Did you know that the highest state Gross Domestic Product (GDP) in the United States measures greater than the highest country...
Habari!
Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga?
Je, ni wananchi ndio Wajinga au viongozi ndiyo wajinga?
Leo ni miaka 62 tangu tumpoke Mwingereza Tanganyika lakini jiji kubwa la Dar es Salaam bado kuna mitaa hakuna maji safi na salama.
Leo hii barabara za kuunganisha wilaya na mikoa yake nyingi ni za...
Mzanibari pamoja na makando kando yake ila akiingia huwa kuna unafuu katika demokrwasia (hatujawai kuwa na demokrasia kamili)
Tunapotoka kwenye awamu za uminyaji wa demokrasia basi mzanzibari akiingia ndio tunapata nafuu ya demokrasia kuanzia uhuru wa kutoa maoni, Vyama vya upinzani hupewa...
Kutokana na hali na upepo wa kisiasa, natumaini kwa wabunge wa Tanganyika huu ni Muda muafaka wa kupeleka hoja ya kubadili katiba na kuanzisha serikali ya Tanganyika na kuanzisha vifungu vya kulinda maliasili za watanganyika . That said, Rais JM Kikwete apewe muda wa kuongoza serikali ya...