nchi

  1. JamiiForums Tanzania Nipe sababu ya msingi kuu ya kupinga kauli ya kuwa sisi waafrika nchi zetu sio "SHITHOLE COUNTRIES"

  2. JamiiForums Tanzania Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania inajifunza nini kutoka kwenye Nchi zilizowahi kufanya Maridhiano ya pamoja?

    Zipo Nchi nyingi Duniani zilizowahi kufanya maridhiano ya pamoja kwa njia zinazotofautiana zikitumia mbinu na mikakati tofauti ili kufanikisha amani na utulivu. Nchi hizo ni pamoja na: Rwanda– Baada ya mauaji makubwa ya kimbari mwaka 1994, Rwanda ilifanya juhudi za maridhiano ya kitaifa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwalimu anatufanya tutafakari zaidi vyanzo vya fedha vya Tajiri G ,Timu Y na mwenendo mzima wa ligi N ya Nchi ya T

    Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu . Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A . Kulingana na Kiongozi M ...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rekodi 3 zilzovunjika jumla TZ.

    1. Mtoto wa Raisi Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti) 2. Nchi tofauti. Tofauti za kitamaduni,kimazingira na kimalezi. Ni ngumu sana "Wazee wa kimila" kukupitisha kwenye "chujio la jadi" lakini jamaa amepenya...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  7. B

    JamiiForums Tanzania SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026

    Durban, South Africa SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026 Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) itaitisha Mkutano wake wa Kawaida wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali mnamo tarehe 17 Agosti 2026...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi wanafunzi mbona hawana exemption kwenye vitu kama nchi nyingine?

    Kwanini mfano Shirika la nyumba lisiweke nyumba kwa ajili ya wanafunzi mfano kwa Dar es Salaam? Mwanafunzi anapanga nyumba sawa na mfanyakazi au mfanyabiashara Kariakooo? Yaan Mwanafunzi anapanga karibu na danguro ? Hostel za magufuli zimeokoa maisha ya wanafunzi wengi kuongeza idadi ya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania "Ema The Boy" komalia hapo hapo. Hakuna kung'atuka, Waswahili wasituvurugie nchi yetu

    Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga" Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never. Komalia...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania Kuzisaidia nchi za Afrika kupata Uhuru nazo sasa zaisaidia Tanzania

    Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wakoloni weupe wangeendelea kubaki, hebu angalia mpango huu mkubwa wa reli wa kuiunganisha Tanganyika uliovurugwa na vita ya dunia

    Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika. Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi iliyotenda maovu mengi inapotubu kwa Mungu na kuacha maovu yake, Mungu anaghairi kuipiga fimbo na kuisamehe

    "Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao." (2 Mambo ya Nyakati 7:14. Hili ni ahadi maarufu sana). MJI WA NINAWI Ninawi, mji wenye watu...
  13. JamiiForums Tanzania Iran imeshambulia nchi zote isipokuwa Israel je wajua kwa nini?- Benjamin Netanyahu

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alitoa maoni katika ufunguzi wa mkutano wa serikali leo. Maelezo Muhimu: Hakika umegundua jambo la kuvutia: Iran inashambulia nchi zote katika eneo hilo, na hata nje ya eneo hilo, lakini kuna nchi moja ambayo haishambulii - Nchi ya Israeli Kwa sababu...
  14. JamiiForums Tanzania Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  15. JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Kazungu ni unyama unaoichafua nchi- Ado Shaibu

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amemwaga povu zito akilaani vikali utekaji, utesaji na ukatili aliofanyiwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kazungu Bakari, huku akitahadharisha kuwa wimbi hilo la kihalifu linaiweka nchi kwenye taswira mbaya mno kisheria na kimataifa. Kupitia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kama una hii pesa na una muda nakushauri nenda nchi hizi kafanye biashara hizi

    Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi , kuna fursa nyingi huko...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Acheni ujinga - nchi ilishakombolewa 9 Dec

    Ndiyo maana ,tuna -; 1. Baba wa Taifa. 2. Rais -amiri jeshi mkuu. 3. Mwenyekiti wa chama. 4. Mifumo kamili ya uendeshaji inayojitegemea (ndani ya nchi) 5.Raia kuwa huru (kujiendesha kibinafsi ili mradi kutokuvunja Sheria za nchi (zilizosimikwa) USHAURi WA BURE. Katafuteni Taifa ambalo...
  18. JamiiForums Tanzania Mifumo isiyoonekana inayojenga nchi

    Kwa kawaida Watu au waafrica tunapozungumzia maendeleo tunaongelea vitu kama Ajira,Miladi wawekezaji kutoka nje,mikubwa,Au kugundulika kwa rasilimali kama mafuta,dhahabu au gesi . Lakini kamwe hatuangali mifumo na nguzo hizi zinazotengeneza na kukuza uchumi. Nguzo ya kwanza : UAMINIFU Uaminifu...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama Samia ana nia ya kuunda tume ya kijaji alete Wakenya, alete Wa-South, alete Wafaransa alete wamerekani na waingereza

    Namshangaa Samia na matume yake. Tume ya CHANDE ilimwambia vijana walilipwa ili waandamane, walilipwa ili wachome nchi , hao vijana zaidi ya elfu 2 ameshawaua na yeye ndo alitoa amri watu wauwawe akidhani anakomoa CHADEMA. Leo anaagiza tume tena ikachunguze wale vijana aliyo waua kuwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania David Djumbe, msaidizi wa Tundu Lissu aongea mazito akiwa uhamishoni nje ya nchi 07 Agosti 2026

    07 Agosti 2026 Uhamishoni Nje ya Tanzania Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…