nchi za africa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za Africa akiwepo Samia.walipa Mabillion ya Pesa Kampuni ya Udalali ili kuonana na Donald Trump

    Ujinga wa viongozi wa Africa ... https://www.instagram.com/p/DcOXDOTihBv/?img_index=2&igsi=MTgyY3NmdDhoenlrdA==
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi za africa zina subiria kilicho kosea sio kuwai kinachoendelea kukosea.

    Ukiangalia nchi zote za afrika zilisubiria kosa kwanza likafikia tamati ndio waanze kulitatua. Ukilinganisha na wenzetu kukionekana kuna dalili ya makosa uwahi haraka kulitatua ,Ndio maana kila siku kompyuta na vifaa vyetu zinaomba mabadiliko ya kufanyiwa mabadiliko. Serikali za afrika nyingi...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika zimeshindwa kutumia uchawi kufanikiwa kombe la dunia?

    Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo, Hii inathibitisha uchawi ni porojo tu, ni kama Nyuki wa mashineni.
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi za africa na uarabuni ndizo nguli wa dini duniani ila ndizo zinazoongoza kwa umasikini na vita?

    Tulidhania nyie mlio loyal wa dini na mafundisho yake mtakuwa na unyenyekevu na kusaidiana ila ndio mnaongoza kuuana na kunyang'anyana.
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna adhabu ya kifo kwa mafisadi nchi za Afrika?

    Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kama tusipoanza kuzijenga nchi za Africa sasahivi, sijui lini tutaanza kujenga

    Ukiwa unasema Tanzania tuko slow kimaendeleo wanakuja machawa wa Samia wanakuambia kama huridhiki basi hama nchi. WTF! Hivi kwa nini machawa wa Samia mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu na Samia wenu? Watu wanataka tubadilike tuwe serious, sio kuhama nchi Nadhani sasahivi mnaona dunia...
  7. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo kosa la wanasiasa wengi na vyama vya siasa na hasa nchi za africa. Ukosefu wa itikadi

    Kosa kubwa sana la vyama vyetu hivi ni ukosefu wa hoja au itikadi inayotofautisha baina ya chama kimoja na Kingine. Mirengo ya vyama haviko wazi sana mbele ya wananchi. Nilifuatilia uchaguzi wa Marekani kwa karibu sana. Kiukweli ilikuwa ni rahisi sana kutofautisha Democrat ( Progressive...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nitoe wito kwa bank ya dunia na wadau wote wa musuala ya mikopo kwa nchi za Africa ikiwemo Tanzania kuangalia nchi za kuzikopesha sio kwa zenye wezi

    Wadau wote wa mikopo na wale wa misaada wanapaswa kuongeza vigezo kwenye utaratibu wa utoaji wa mikopo kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Wadau hawa na benki nyingi zimekuwa zikitoa mikopo kwa kuangalia vigezo vidogo ikiwemo kusudi la mikopo bila kuangalia hali ya upotevu wa pesa kwenye nchi...
  9. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Nchi za Africa kw High income, Upper Middle income, lower middle income na low income

    Nchi za Africa kw High income, Upper Middle income, lower middle income na low income
  10. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

    Ukiangalia waarabu majority identity yao ni Uislam na inawaunganisha. Ukiangalia wazungu, majority ni Christianity, ni kiunganishi cha umoja wao. Wa China wana imani zao ambazo ndio kitambulisho chao. Wahindi majority wanaunganishwa na imani zao. Je ni ipi identity ya Muafrica? Ni ipi imani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni hatuna gani nchi za Afrika zitakuchua kupambana na kujikinga dhidi ya athari ya Marekani?

    Kutokana na ujio wa Rais mpya wa marekani "Donald Trump" kusitisha utoaji wa misaada katika nchi za Africa, kauli/Sheria iyo imeonekana kuathiri sana sector ya afya ambayo ilikua ikilalia sana upande wa marekani Ili kuendesha programu mbalimbali. Kutokana na kusitishwa Kwa misaada hiyo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nchi za Africa ili ziendelee, futa dini zote wote tuwe wapagani. Sisitiza kazi tu.

    Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa. Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Umasikini ambao upo nchi za Africa ni umaskini bandia na sio umasikini unaotokana na Mazingira au umasikini halisi

    Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira. Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo . Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizofanikiwa kurusha satelite zao katika anga mbalimbali

    Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano. Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT Soma Pia: Afrika...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Marekani haipendi kuona nguvu ya “Dunia ya Kusini” inaongezeka?

    Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa 2024 ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing, na kupitisha "Azimio la Beijing" na "Mpango wa Utekelezaji (2025-2027)". Wakati jumuiya ya kimataifa, ukiwemo Umoja wa Mataifa, ikipongeza kujumuika tena kwa familia za China...
  16. mnunity

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanayoangusha nchi nyingi za Afrika

    1. Less talent are in high position(ikimaanisha watu wenye uwezo mdogo wa kuwaza mambo makubwa kwa ushirikiano ndo wameshikilia nafasi nyeti) 2. Those who contribute a little are given a higher reward( ikimaanisha watu wanafanya kidogo ila wanataka waonekane kuwa bila wao tusingefika kokote ila...
Back
Top Bottom