nccr

The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Tundu Lissu ashauriwe ajiunge na NCCR Mageuzi

    Habari JF, Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala. Mlio karibu na Lissu mshaurini aungane na Mbatia NCCR Mageuzi, sisi wazalendo wa hili Taifa tutawaunga mkono. Nasema NCCR Mageuzi...
  2. Wenye akili wanaweza kuwa wafuasi wa - CDM, ACT, NCCR au CUF?

    Jf, members! Salaam! Nauliza iwapo watu wenye uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM iwapo wanaweza shangilia au kuwa wafuasi wa CDM, ACT, NCCR, au CUF. Nauliza hivi sbb hizi:- (a). CDM - mwenyekiti wao kawa Mungu watu, tangia aingie madarakani ni miaka lukuki na wafuasi wako kimya kbs...
  3. Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?

    WanaJf salaam! Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais. Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri...
  4. Wanaomkandia Hayati Magufuli ni watukufu au waovu? Ni mafisadi au wema? Ni wazembe au wavivu?

    WanaJF, Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia...
  5. Wanachofanya CHADEMA, NCCR, CUF, ACT, UDP nk ni kampeni

    WanaJf, Salaam! Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria. Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
  6. B

    NCCR Mageuzi wapinga vikali mkataba wa LATAFIMA kuzuia Uvuvi ziwa Tanganyika

    NCCR - MAGEUZI wapinga vikali mpango wa serikali ya Tanzania ulioridhia kuzuia uvuvi kwa miezi mitatu mitatu katika miaka ya 2023, 2024 na 2025 ambao miezi mitatu ya mwanzo itaanza mwezi Mei 2023 ziwa Tanganyika kupumzisha uvuvi kwa miezi mitatu kisha mpango huo kurudiwa mwaka 2024 na mwaka 2025...
  7. Kunguni wa CHADEMA, NCCR, ACT, na CUF wanamshambulia Tulia Ackson - CCM tusikubali kamwe

    WanaJF, SALAAM! Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia Serikali". Hapo kunguni wa CDM, NCCR, ACT, CUF wakaanza ku-riot na kusema kuwa Tulia Ackson hakupaswa...
  8. Kupotea kwa M/K Umoja wa vijana NCCR na ukimya wetu!

    Habar za Asubuh waungwana! Jana nilikuwa Club House usiku mpaka saa 00:58 huko! Nilikutana na taarifa ya Mwenyekiti wa umoja wa vijana NCCR Mageuzi kupetea katika mazingira yakutatanisha huko kwake Buguruni tangia tarehe January 24, 2023 usiku. Kijana huyu ni mmoja wa wafuasi wa karibu wa Mh...
  9. Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi

    Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kung’olewa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia. Mei 21, Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi iliitisha mkutano uliofanyika katika...
  10. Joseph Selasini achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi

    Mkutano Mkuu wa dharura wa chama cha NCCR-Mageuzi umemchagua Joseph Selasini kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho. Selasini amechaguliwa katika uchaguzi uliofanyika leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma. Katika uchaguzi huo, Selasini amepata kura 173 kati ya...
  11. NCCR Mageuzi wamuomba Rais Samia kumfukuza kazi Jaji Mutungi

    Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wakidai inashindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwamo kusuluhisha mgogoro unaoendelea ndani ya chama hicho. Chama hicho...
  12. R

    NCCR Mageuzi na CCM ndio vyama pekee vyenye Uwezo wa kupewa Nchi, Watanzania msidanganyike

    Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi . Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari...
  13. CCM: Hatujawahi kumtumia Mbatia amshawishi Selasini na Komu kujiunga nasi wala hatuna ushirikiano na NCCR Mageuzi

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI” Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
  14. Joseph Selasini: Mwaka 2020 Mbatia alitupeleka na Anthony Komu kwa Dkt. Bashiru Ally kufanya makubaliano na CCM

    Picha: Joseph Selasini Joseph Selasini: Kuna barua inaonekana kusambaa katika mitandao ya kijamii ikidaiwa kusaini wa na katiba kata wa Makiidi nyumbani kwetu, ikinihusisha mimi na uanachama wa CHADEMA. Niliondoka CHADEMA mwezi Juni 2020, na tangu nilipoondoka CHADEMA sikurejea tena" Joseph...
  15. M

    James Mbatia Kusimamishwa NCCR Mageuzi, Mrema anasemaje? Mbatia alihusika kumtoa Mrema NCCR, isije ikawa anavuna alichopanda!

    Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa Mrema pale NCCR Mageuzi akishirikiana na wenzake!! Alichokifanya kinamrudia. Namshauri aende kuomba...
  16. M

    Double Standard bila soni: Mbatia kutojihusisha na NCCR hadi itakapoamuliwa vinginevyo, Wabunge 19 kujihusisha hadi itakapoamuliwa vinginevyo

    Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani), Lakini tukija upande wa wabunge wa Covid 19, wenyewe wataendelea KUJIHUSISHA na siasa ndani ya CHADEMA...
  17. Picha: Mwenezi NCCR Mageuzi akiwa na jiwe mkononi huku akiwafurusha mamluki wa Sisty Nyahoza

    Huyu ndio anajua kupambania chama.
  18. Ilianzia CUF, sasa NCCR. CHADEMA wajiandae

    MGOGORO WA NCCR CHADEMA WACHUKUE TAHADHARI Mgogoro wa CUF ulianza kwa mwenyekiti aliyejiuzulu kutaka kurudi katika kiti chake Tukio halikuwa la kawaida katika siasa za Tanzania lakini limetokea. CUF walifanya mambo kwa mazoea wakidhani isingewezekana kisiasa au Kisheria. Msajili wa vyama...
  19. Shuhudia vijana wa Mbatia wakitembeza kichapo

    Vijana wa Mbatia wapo vizuri kabisa.
  20. NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

    Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza. ======= Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…