nauza

  1. JamiiForums Tanzania Nauza mchuzi wa WINE(MVINYO) kwa bulk purchase only

    Habari wana jukwaa, Mimi ni mkulima na mfanya biashara mdogo wa zao la zabibu na mzalishaji pia wa wine..Nina habari njema kwa wale wanao hitaji kununua Mchuzi wa Wine(Mvinyo) halisi wa Dodoma wenye umri wa miezi mitano (5) sasa ..kwa kiwango cha kuanzia lita 500 na kuendelea kwani nauza kwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania wakuu nauza machine excavator mchina kashusha bei kinoma

    kwa mnaoyaka kununua machine kama excavator brand ya sdlg pia na matela ya malori na tipa karibun wakuu bei maelewano
  3. JamiiForums Tanzania Nauza laptop 300k

    Nauza laptop aina ya Mac book kwa tsh. 300k. Kindly DM. Price is fixed.
  4. JamiiForums Tanzania Nauza kitanda inch 6×6 kirefu ni sofa bed nyeupe kikubwa 280,000

    Kwa mwenye uhitaji anipigie 0684101707, nimeweka picha hapo haijakamilika sina picha nyingi maana nilikifungua pindi tu nimejifungua, kitanda kina hali nzuri,
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nauza mashuka classic polycotton

    Habarini za saiz watu wangu wa nguvu nawaletea shuka 2 foronya 4 polycotton size ni 7*8 kwa bei Nzuri kabsa ya 25,000 kwa mawasiliano 0612630936 popote Tanzania inakufikia karibuni sanaa
  6. JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza Hisense Smart TV 65 inch

    Dungu jipya Hisense smart tv 65 inch naliuza kwa laki 7 punguzo lipo ukija na laki 6 fresh Carleen ephen_ min -me Mr Q Cookie dosho12 Fake P
  7. JamiiForums Tanzania Nauza Spare za Bajaji na Pikipiki Jumla kwa bei ya Jumla, natoa ushauri pia

    Hello Jf Spare zote za Bajaji na pikipiki kama ↔️ tyre Rim Bush Bearings Plugs Engine mount Block Piston and Rings Valve Cylinder head Brake shoe Master brake Rubber Brake Shock ups cable gear clutch plates na center yake Maker etc Pia tunauza lubricants na oil za jumla.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nauza Engine K12 B

    Salam wadau. Nauza engine ya K12B,displacement 1290. Engine ni nzima kabisa ina mailage ya 90,000 kms Kwa maulizo zaidi tafadhali dm.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Samsung A05, bei 170K

    Habari wakuu nauza Simu Samsung A05 bado mpya. Ram 4gb, Storage 64gb, bei yake 170K
  10. JamiiForums Tanzania Nauza vioo na housing za Laptop

    Kama laptop yako imevunjika kioo au imevunjika housing, ilete tubadilishe. Tunapatikana Ilala – Dar es Salaam. Simu: 0767953873
  11. JamiiForums Tanzania Nauza Stock Management System ya kusimamia Mauzo na manunuzi katika biashara yako kwa 300, 000 TU

    .
  12. JamiiForums Tanzania Nauza pure breed GS

    Breed: German shepherd's long coat top quality puppy.. Location:Iringa Price: 2 million Age: 2 month Call: 0716161683
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Laptop Lenovo Thinkpad X1 carbon

    Lenovo ThinkPad X1 Carbon Tablet Gen 3 ✅ PROCESSOR Intel Core i5-8350U processor ⁠8th Generation "Whiskey Lake" ⁠Quad-core CPU ⁠Base clock of 1.7 GHz and max turbo up to 3.6 GHz. Intel UHD Graphics 620 integrated graphics ✅MEMORY AND STORAGE 8Gb of DDR4 Ram ⁠256Gb of Fast Storage (SSD)...
  14. JamiiForums Tanzania Nauza na kubadilisha Housing na vioo vya Laptop

    Kama Laptop yako imevunjika kioo au Housing imechoka njoo tubadilishe. Ilala - Dsm 0767953873
  15. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja viwili Usagara Mwanza

    Nipigie kama unataka kununua hivi viwanja hapa MWANZA. DETAILS: MKOA : MWANZA WILAYA : MISUNGWI ENEO : USAGARA KIWANJA NAMBA : 171 na 173 VIMEPIMWA : NDIO ANGALIA PICHA BEI : NAMBA 171 NI MILLIONI 20 NAMBA 173 NI MILLIONI 20 BEI INAPUNGUA PIA UKIJA NA MAZUNGUMZO...
  16. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

    .
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki Yamaha 300k

    Wakuu nauza pikipiki yangu kwa 300k tu, nimepata dharura na mfukoni siko vizuri. Pikipiki ni Yamaha tatizo lake ni kabuleta tu, njoo uichukue kwa hiyo bei mwenyewe nimeridhia kwa moyo mkunjufu. CONTACT: 0659 918 194
  18. JamiiForums Tanzania Nauza website ya Utalii bei chee

    Karibu nikuhudumie 200k pamoja na hosting kwa miezi 3 na domain ya .com Pia natengeneza websites, mobile apps and system mbalimbali
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nauza hivi vitu

    Habari za MDA huu. Nauza hivi vitu haraka ndugu zangu Nauza FULL COMPUTER SETUP HP CORE I5 IKIWA NA RAM 8GB,NA DISK GB 500 KIOO CHAKE NI CHA HP INCH 24.BEI INAENDA FULL 420000. NAUZA DISK TERABYTES 12 HEALTH 100 TEMP 100 BEI YAKE 370000 NDANI KUNA MOVIES NA SERIES OLD AND LATEST FULL 1080 HD...
  20. JamiiForums Tanzania Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

    Habari wana jukwaa, nauza Sweet na dry Red Wines kutokea Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, Lita 3 na Lita 5...Lita 1 ni Sh.7000/=, Lita 3 ni Sh. 18,000/= na Lita 5 ni Sh.27,000/= (Bei hizi ni za reja reja)....Karibuni sana na Mikoani tunasafirisha pia kwa uaminifu mkubwa sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…