nauza

  1. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza taa ya Raum

    Ni forehead, upande wa kulia. Used nje ya nchi, nilinunua kuweka kwenye gari lakini mambo yamenibana nahitaji pesa sasa. Nilinunua 150,000/= Ilala, nitajie ofa yako niisikilize. Location DAR. CALL: 0687603307
  2. JamiiForums Tanzania Nauza kin'amzi cha azam na dstv Mwanza

    Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu. Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  4. JamiiForums Tanzania Nauza maharage ya njano-Dar

    Nauza maharage ya njano, yapo Dar kwa bei ya 1650 kwa bei ya jumla. Ya yale gololi ndogo. Mawasiliano 0657561168
  5. JamiiForums Tanzania Nauza Asali kwa jumla

    Habari wandugu. Napenda kuwataarifu ya kwamba nauza Asali kwa Bei ya jumla. Ninauza Hadi madumu hamsini ya Lita ishirini. kwa atakayehitaji tuwasiliane. Bei ya dumu moja la Lita ishirini ni shilingi laki moja themanini 180,000 Tanzanian shillings. Asali yetu ni original haijachujwa Wala...
  6. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu samsung s8 plain

    Bei ni 320,000/= 64gb|4gb RAM In a very Good condition ▪︎Doted (ina kidoti kidogo kwa juu) ▪︎Haina mchubuko wala mkwaruzo ▪︎Nakupa wire na earphone ▪︎Sehemu yoyote unayoitaka tunaeza fanyia biashara(Hata kituo cha polisi) Contacts: call/sms/whatsapp0654030252
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja viwili Nkuhungu na Vikonje (Dodoma)

    Kiwanja cha kwanza kipo mnada mpya barabara ya Singida Road kina ukubwa wa 39*36 hiki kinataka milioni 22mil kimepimwa hati bado. ______ Update Njoo ulipie 15mil badala ya 22mil Picha yake Kiwanja cha pili kipo Vikonje baada ya kutoka Ihumwa barabara ya Chamwino kina ukubwa wa 40*40 hiki...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji wa kufuga

    Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana Mwanza, nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji nguruwe wa kufuga, mbegu bora kabisa. Karibuni sana 0719832015
  9. JamiiForums Tanzania Nauza Line za Uwakala zote 5

    Nauza Line za uwakala zote 5 Voda, Tigo, Halotel, Airtel, TTCL zote zina jina moja na documents zipo km lesseni na Tin. Nipo Songea 0717802341 Bei ya jumla 350,000/= tu... Nipigie tujadili
  10. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja viwili, kimoja kipo Mkuranga Pwani na kingine kipo Madale Dar es Salaam

    Mkuranga: kiwanja square metre 908 kipo km 6 kutoka kongowe eneo lilishajengeka sana bei: 6 million Ramani yake hii hapa kiwanja namba 114
  11. JamiiForums Tanzania Nauza gari mtsubishi m4.5

    Aina shida yoyote ile,njoo tuyajenge
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu Cha UJASUSI yanayoendelea kuhusu COVID 19

    Hello guys, Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox (Bei Ni tshs 5000 tu) ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19 Pata dondoo kidogo hapo SEHEMU YA KWANZA Taharuki kubwa ilitanda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nauza buti hizo brand CAT original bei elfu 70

    Boot safi na mpya label shingoni. Wahi sasa. Nipo Dar. Bei elfu 70. Changamkia. SOLD Shukrani mdau uliyekichukua. Pamoja sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Tecno Phantom 8 Iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana

    Hi Wapendwa nauza simu aina ya Tecno Phantom 8 Specification zake RAM-6GB Internal memory 64GB MaH-3500 Iko kwenye good condition sijawahi ipeleka kwa fundi na haina tatizo lolote lile imetumiwa na mm mwenyewe Mwanamke, kama mnavyojua Wanawake hua tuko vizuri kwenye utunzaji. Camera: Camera...
  15. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Biashara ya Hosting

    Kama Kichwa Cha habari Kinavyojieleza. Nina Biashara ya Hosting ambayo bado ni Changa, Nimeifanya Kwa Miaka miwili na Tayari. Ina wateja ambao wako Active 10, Na Wanalipia Kila mwaka (Wanalipia kuanzia 120,000 - 160,000/yr). Kutokana Na Kupata Kazi ambayo itanibana na Kushindwa kutoa support...
  16. JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  17. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza furniture

    Tumekuja na bidhaa bora na za bei rahisi tunapatikana tabata. Causal leser bench Kwa matumizi ya ofisini, chumbani, sebuleni, dinning. Bei 150,000 bila mito Mto mmoja 20,000 Zulia 15,000 0767 601018 Karibuni
  18. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kitanda niweze kujikimu

    Asanteni sana, nilipata msaada
  19. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja ili nipate mtaji

    Wadau naombeni msaada wenu. Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua. Kiwanja kimepimwa kina sqm 864 na kiko Gezaurole Kigamboni. Kiwanja kina hati hati safi isiyo na...
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kabati za zipu za nguo na viatu

    Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu Ni imara na zinapendezesha nyumba Yapo ya rangi mbalimbali Wateja wa dar unaletewa buree Unafungiwa pia buree Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi kwa gharama za mteja Milango 2 tsh 55,000 Milango 3 tsh 70,000 Milango 4 tsh 85,000 Mawasiliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…