Mimi nimkristo all in all kunakipindi na kipindi muazini akiazini na hamu ya kwenda kujumuika nao nakusali . Na asilimia kubwa wanaume wa kislaam wananipendaga , sana. Wengi hutamka ndoa . Wakristo asilimia 10 ndio wanajilazimisha,.
Mie mwenyewe sana napenda kuvaa mahijab yale yakung'aa na...