Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia, mashindano haya yanaandaliwa kwa ushirikiano wa nchi tatu: Marekani, Canada, na Mexico.
Idadi ya timu...
Najua na natambua jinsi mambo haya yalivyo tayari. Nilishajiandaa kitambo
Sihitaji changamoto zaidi.. Eeh mola wangu nisaidie🙏🏿
Nipe jioni laini, tamu kama chokoleti.
Nipe usiku tulivu na usingizi mnono kama wa mtoto
Nipe ndoto nzuri ili usiku wangu uonekane umevaliwa kama pamba ama sufi...
Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia,
Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo!
Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu.
Maisha yameniumiza mno.😞
ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa...
Anonymous
Thread
maisha
moyo
mungu
natamani
sana
tamaa
ugonjwa
ugonjwa wa moyo
Ndugu watanzania, nimewaza, hapa natamani TUPATIKANE WATU arobaini tuunganishe mitaji ya Mil 5 ili kuitimiza Mil 200 then tuwekeze kupitia Vodacom M-wekeza, huku tukitarajia kupata faida ya zaidi ya asilimia 13 kwa mwaka. Ambapo tujihakikishie kupata zaidi ya Mil 26 kwa mwaka na kwa mwezi 2.1M...
Habari Tanzania !
Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo.
Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako.
Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”
Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,
Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena
Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU
Vipi...
Kuna mengi yanaendelea sana katika nchi hii, kuna kipindi natamani nitoke niwatetee CCM lakini kuna sauti inaniiambia kabla ujafanya hivyo kwanza jiulize kuhusu hivi vitu
Diwani Haji manara
Diwani, Dogo njanja,
Mayor Sheta
BUngeni, Baba Levo
Bungeni, Babu Tale
Bungeni Msukuma
Na kubwa lao...
Habari Tanzania !
Nimejiwazia hapa, hawa JKT kwa ubora wa huduma zao, umakini na uwezo wa nguvu kazi nawaomba mamlaka hapa Tanzania wawape maeneo yenye rasilimali za kuchakata Saruji watuletee Saruji safi na bora, bei nafuu na yenye uwezo mzuri na iitwe (JKT Cement) .
Jeshi la Kujenga Taifa...
Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana.
Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa...
" Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi
Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa nchini, naamini anaelewa hasa matukio yanayoendelea lakini bado anashobokea uwepo wa nguvu ya chama...
VIJANA wenzangu Kuna mambo yanaendelea na yametokea na yanavunja moyo Sana Tena Sana katika nchi yetu Kama isemavyo Vijana ni TAIFA la kesho Nataman Sana niwe miongoni watakaoibadilisha kwa kulipigania In any means.
Ila nashindwa kwasababu Sina mtu atakaekuja na kusimulia baba alifanya ichi na...
Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje
Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi ameniambia tu niwe natumia kinga.
Sasa nishamfanyia visanga kibao tu ila hata ameniambia nikihama niende...
Natamani yafuatayo
Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu,
Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu
Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje
Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi
Kunje ngombale-mwilu awe waziri wa kilimo
Ongeza wako.
Nafikiri kimya kimya na kichokonozi japo mazwazwa...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, Kama ule mpira waliocheza Simba siku ya tamasha lao ndo mpira wao kwa msimu huu, naomba kesho tufungwe ili kocha Fadlu afukuzwe mapema.
Timu haieleweki inacheza vitu gani, Hadi unajiulza, "Sasa huko pre season walienda kufanya Nini?? Mazoezini wanafannya...
Wakuu haya mambo yasikie kwa wenzenu tu aisee hawa wanawake wa huku abroad ni kisanga jamani aaaah hii 50/50 mtihani jamni unaweza kukufilihisi hivi hivi na wanawake wa huku majuu wapo na wewe kwa ajili ya mali tu hasa wakijua ni mwafrika na kama mwafrika umeendelea na umetajirika kwahiyo...
Ukiangalia barabara ilivyo kuanzia kimara hadi mbezi zile njia nane na service road inapendeza na inarahisisha saana serikali ingepanua kama hapo mbezi to moro town pale chalinze inapigwa exchange moja ya maana hamna maingiliano ya wanaokwenda kaskazin ingekua poa saana
Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!
Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!" Kwa mbali, siasa inaonekana ni nafasi ya heshima, ushawishi na fursa. Ni njia ya kuwahudumia watu...
Hivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza...
Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu.
Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...