nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kujua kingereza ni njia gani nzuri?

    Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea. Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo 1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa. 2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza 3. Napenda kutazama movie za kingereza...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt . Mpango: Nataka kuishi zaidi. Je, katishwa na nani?!

    Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango? Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?! Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango kutaka apumzike halichangizwi na masuala ya kazi?! ????
  3. JamiiForums Tanzania Nahhitaji mchumba mwanamke alie tayari anicheki tuyajenge huu mwaka nataka kuoa

  4. JamiiForums Tanzania Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  5. JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo ninunue mabasi ya mikoani

    Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology). Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni...
  6. JamiiForums Tanzania NATAKA KUAGIZA MZIGO CHINA,ILA NASHINDWA KUFANYA MALIPO

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo. natanguliza shukrani za dhati
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kununua presha kuka (pressure cooker) ya umeme, kampuni gani nzuri?

    Wakuu,nimepitia malalamiko mengi kuwa pressure cooker za umeme,zinasimbua sana. Kampuni gani ni nzuri,nasikia zinatumia umeme vizuri sana.. msaada wazoefu.
  8. JamiiForums Tanzania Kama unataka kuolewa na Bilionea, kama alivyoolewa mke wa Mwamposa, ruka hapa fastaa

    Mwaka 2025 usikae kihasara Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE? Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela We zubaa hapo, shauriako...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  10. JamiiForums Tanzania Nina million 23 nataka Gari

    Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji single mother

    NAMTAKA SINGO MAZA 1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi Niliowapa amana, hata hawakuienzi Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa 2 Aloumizwa ja mimi, huenda tukalandana Hatusikizi akwami, wawili tukipendana Tukuze wetu uchumi, mawazo kuliwazana...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

    Nyumba ya 5 bedrooms Master kubwa 1 Self 3 Single 1 Sitting room, dining & kitchen Study room Laundry Public toilet Store Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk. Inaweza gharimu kiasi gani?
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza jezi ya Madrid ila naona website haifunguki

    Wakuu nataka kuagiza jezi original ya Madrid ila Kila nikifungua website Yao haifunguki Hawa jamaa shida itakua nini naombeni anaejua maana Nataka kuagiza jezi tatu zote wakuu
  14. JamiiForums Tanzania Nina miaka 32, nataka niutumie mwaka wa 33 kurekebisha makosa yangu yote ya nyuma

    Aslaam, Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari. Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu. Asikuambie mtu hii kitu(hofu) ni ya kijinga saana, nakama hujaiugundua mapema inaweza kukumaliza mpka uzeeni...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar, Nahitajika kuwa na vitambulisho gani?. Naenda kutafuta kazi.

    Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
  16. JamiiForums Tanzania Habari ni jumbe nimepata kutoka google nataka kufafanuliwa kwa wataalam wa izi mambo

    Google You've closed your Google payments profile Hello from Google, You recently closed your Google payments profile. You'll still be responsible for outstanding balances. Most customers can delete additional payment information, including loyalty cards and contactless payment attempts, from My...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kuoa

    Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwajiriwa mpya katika jeshi Fulani Nina miezi 2 elimu degree ya upelelezi na Usalama ,Nafanya kazi kwenye taasisi ya jeshi Fulani natafuta Binti wa kuoa awe chini ya miaka 23 awe muislamu.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwekeza milioni 40 kwa miezi 3 , UTT, je inawezekana? Mfuko upi bora?

    Nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?
  19. JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo bank ninunue Dola ya marekani

    Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola. Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375 Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko. Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka ku-renew password akaunti ya Yahoo email

    Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…