natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta gari, fixed budget ya 5.5m

    Habari za muda huu wakuu, anayeuza moja ya magari yafuatayo. Run x, Spacio, Rav 4, Ist haijalishi number ya gari as long as ni zima. Tukutane PM. Napendelea awe mmliki na sio dalali. Asanteni
  2. JamiiForums Tanzania Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

    Inasikitisha sana wakuu
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Nimesomea Diploma ya Ualimu

    Wakuu habari za saizi! Mimi ni kijana wa kiume, mhitimu wa diploma ya ualimu lakini bado sijafanikiwa kupata kazi. Hivyo naomba kazi yoyote ya halali ya kuniwezesha kuendesha maisha yangu. Iwe niliyosomea au yoyote nitakayoweza kuifanya. Mimi naishi Dodoma. Kama kazi ikipatikana mikoa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kazi za shambani

    Vijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu. Eneo la kazi ni Iringa, nikipata vijana watatu wanatosha. Kazi kubwa ni kuhudumia mashamba ya maharage, kuanzia hatua ya kupanda, umwagiliaji, kuweka mbolea pamoja na kupiga dawa. Kazi ni ya msimu wa miezi miwili. Malazi, chakula na Afya...
  5. JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta chumba cha kupanga (double) maeneo ya Paloti, Arusha mjini

    Hello! Habari wandugu kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza. Bajeti yangu 60,000 to 70,000. Asante.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na Serikali yetu

    Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na serikali yetu Kwa majina naitwa JOHN E BENDERA Ni kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa. Ni mchezaji wa mpira pia, ligi daraja la pili Tanzania. Ndoto zangu kubwa niliziwekeza katika mpira, lakini naamini mnajua mpira wetu apa nchini, si lazima...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Nipo kanda ya kati dodoma Umr 27 yrs ☆kazi: mganga njaa, dei waka kiraka a.k.a multipurpose ☆sina nyumba ☆ sina gari ☆elimu la saba Natafta msichana wa kuoa kuanzia miaka 18 up to 30 Ajue anakuja kupambana wote mpka tutoboe If you're interested, karibu inbox tuyajenge
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa kutengeneza App na website

    Habari wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja. Ila kwa bahati mbaya mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya CODING na PROGRAMMING LANGUAGES, hivo nilikua...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu ndani ya Mwanza

    Habari wakuu, Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta muhudumu wa counter na Chef kwenye Bar

    Natafuta mhudumu wa counter wa jinsia ya kike,pia natafuta Chef mwenye uzoefu wa kuchoma nyama ya ngombe na samaki. Niandikie message 0782003685 usipige, nitapiga. Kazi iko Bukoba mjini.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Manager wa kuendesha bar

    Natafuta experienced manager wa kuendesha biashara ya Bar, location ni Bukoba Mjini. For serious person niandikie ujumbe ili nikupigie 0782003685, 0754216810
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mashati kama yale ya wafanyakazi wa DART

    ....
  13. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mizinga ya nyuki

    Habari wadau, Naomba kama kuna anayefahamu namna ninaweza kupata mizinga ya kufugia nyuki. Kwa ajili ya kuweka shambani kwangu. Ninahitaji michache kama mitano hivi. Mimi nipo Dar es Salaam Ila nataka kuiweka Mlandizi. Tafadhali Kwa anayejua wapi naweza kupata naomba msaada. Asanteni sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nijitolee kufundisha

    Habari ndugu zangu, Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu,natafuta shule yoyoyte , msingi au sekondari dar er salaam, nijitolee kufundisha. Msingi ni masomo yote. Sekondari ni geography, General studies au civics. Natanguliza shukrani
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya viwandani

    Habari za jioni wanajamvi, Nahitaji mchango wenu kwenye hili, Mimi ni mhitimu wa chuo kwenye course ya Bsc in industrial engineering management, natafuta kazi kitengo cha quality control. Ninamatumaini kutoka kwenu
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta jiko la gesi kwajili ya kuchomea chipsi yale ya kutengenezwa

    Habari! Natafuta hilo jiko ambaye anauza tunaweza fanya biashara. Pia kama kuna mtungi wa gesi hii mikubwa nao nahitaji. Mawasiliano 0743451357. Hata ukinisaidia connection jinsi ya kuyapata utakuwa umenisaidia. Ahsante
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri

    Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri, iwe haijawahi pata ajali, haijarudiwa rangi no D. Offer yangu ni milioni 7. Mawasiliano ni 0766049522.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea kama messenger nitume popote ntaenda

    Habari zenu wana jf Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula Kimakazi nipo dar njoo inbox
  19. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita

    Habarini wakuu, Elimu yangu ni form six Jinsia ni ke Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level Kufundisha primary /nursery Upishi pia naweza Kaunta Hata uhasibu naweza mahesabu Kazi yoyote halali naweza kufanya...
  20. JamiiForums Tanzania Nipo Arusha natafuta kazi yoyote

    Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba. Nilikuwa kwenye moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…