Wewe kichwa maji unaiabisha avatar uliyoiweka!Inatumia Diesel au Petrol?
Bar kipindi hiki mtagombana tu
Kama boss ni mtu anayeelewa hali halisi, iliyopo kwa sasa wanaweza kwenda sawa, lakini kama ni boss aliyewahi kufanya biashara hiyo enzi za jk, anataka kurudi sasa ulingoni lazima wauane na sio kugombana!!mwendazake ameua vipato vya watu sana!!Bar kipindi hiki mtagombana tu
We kama.huwezi kusimamia biashara yakonusifungue hela zako ziache zikae benkiNatafuta experienced manager wa kuendesha biashara ya Bar, location ni Bukoba Mjini. For serious person niandikie ujumbe ili nikupigie 0782003685, 0754216810
Kheee.We kama.huwezi kusimamia biashara yakonusifungue hela zako ziache zikae benki
Wala haiaibishi bali vichwa na akili zao zinafafa, "utarudi na mavi yako nyumbani".Wewe kichwa maji unaiabisha avatar uliyoiweka!
Kwa vile wewe upo hapo kwa Shemeji yako muda wote umekunja nne subuleni sioWe kama.huwezi kusimamia biashara yakonusifungue hela zako ziache zikae benki