S sycamore Member Mar 14, 2014 36 10 Apr 28, 2021 #1 Natafuta mhudumu wa counter wa jinsia ya kike,pia natafuta Chef mwenye uzoefu wa kuchoma nyama ya ngombe na samaki. Niandikie message 0782003685 usipige, nitapiga. Kazi iko Bukoba mjini.
Natafuta mhudumu wa counter wa jinsia ya kike,pia natafuta Chef mwenye uzoefu wa kuchoma nyama ya ngombe na samaki. Niandikie message 0782003685 usipige, nitapiga. Kazi iko Bukoba mjini.
F FUSO JF-Expert Member Nov 19, 2010 31,635 37,833 Apr 29, 2021 #4 Mkuu na sisi wa kiume tupo pia - mbona unabagua ama una ajenda ya siri.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Apr 12, 2012 21,839 38,728 May 4, 2021 #5 FUSO said: Mkuu na sisi wa kiume tupo pia - mbona unabagua ama una ajenda ya siri. Click to expand... Upo radhi kushikwashikwa masaburi?
FUSO said: Mkuu na sisi wa kiume tupo pia - mbona unabagua ama una ajenda ya siri. Click to expand... Upo radhi kushikwashikwa masaburi?