natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la ubuyu

    wakuu baada ya watu kuwa na maswali mengi juu ya bei,basi naomba tuwekane sana,ipo hivi debe moja ni 5000,na gunia ni 35,000,but ukizingatia sehem ninayoifata kdg kuna ka umbali so gunia lita cost 38,000,.ubuyu ni ule mweupe raw material kabsa,upo wa kutosha even kwa matumiz ya kiwandani,so kama...
  2. JamiiForums Tanzania Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam. Umri = 31 Elimu = Form four Uraia = Mtanzania Uzoefu = Miaka minne Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni mwenye connection na internship anisaidie

    Habari za wakati huu........ mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliz bsc chemistry hivyo naombeni mwenye connection na internship anisaidie au kazi yoyote . Asanten
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta banda la chuma la kununua mwanza au kukodi?? sharti bei iwe kitonga!

    Mwanza igoma Sharti bei iwe chini sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Kichwa cha habari cha husika hapo juu. 1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah. 2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia. 3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sports academy

    Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka. Sasa nimeona ni vizuri kumuunga mkono kuliko kumlazimisha abadili muelekeo. Kama Kuna mtu anazifahamu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa

    Habari. Umri wangu ni miaka37 natafuta mwanamke wakuoa. Kazi nimejiajiri. Mwanamke ni mtakaye. Awe na umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe tayari kuishi popote,Asiwe mrefu Sana,,mwenye upendo wakweli,Dini yeyote. Karibu sana iwapo upo serious tu maana muda ukuta.
  8. JamiiForums Tanzania Muhitimu wa shahada ya sheria natafuta kazi yoyote

    Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo i/ legal research and writing skills, ii/...
  9. JamiiForums Tanzania Serious: Natafuta mke mmoja tu

    Habarini Mabinti na wale wenye dada zao. Nafasi ni moja tu, anatafutwa binti mzuri wa muonekano na tabia yaani Mtu mwenye Utu na Utulivu. Umri: 18-23 (Asiye mshangazi bila Kitambi) Elimu: Si muhimu. Dini: Si muhimu. Kabila: Si muhimu. Kazi: Si muhimu ila asiwe mvivu mvivu. Bikra: Si lazima ila...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hali ni mbaya

    Natafuta kazi yeyote iliopo ndani ya jiji la Dar es salaam naombeni msaada wa kazi hali ni mbaya
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Kama heading ilivo natufata mchumba umri wowote nahitaji mwanamke wa kwenda nae motoni
  13. JamiiForums Tanzania DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

    Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana. Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003 NB...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

    Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio, Anaimba aie ieeee aeee eha Apolo apolo aeee eha Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha Sijui kaimba nani
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ,awe na sifa ya kike haswa na awe anaishi dar .

    Umri wangu 32 Dini muislamu. makazi dar natafuta mchumba awe anaishi dar ,awe na sifa ya kike Umri usizidi 35.
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anatafuta mke yupo serious

    Kanitumia hivi HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana . Awe anaishi dar , awe anafanya kazi Awe yupo tayari kuwa mke. Ila asiwe mchaga. Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo Ni mpenda kanisa . Mrefu...
  17. JamiiForums Tanzania Ntafuta mke mwema asizidi miaka 33

    Ok
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nawakubali sana hawa members wa jf, Mzee wa kupambania, Natafuta ajira, Extrovert, Equation x, mzabzab, DeepPond, Robert mtibeli, Analyse na Umughaka

    Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayetoa huduma za kisheria

    Tunahitaji kucertify documents Pia tunahitaji Body resolution na Partnership bid Mawasiliano yetu 0687746471
  20. JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva mzoefu, natafuta Bajaji

    Habari wakuu, Bila kuwachosha sana niende kwenye mada. Mm ni dereva Mzoefu ninatafuta Bajaj iwe ya mkataba au hesabu popote ndani ya Dar es salaam. Contacts. 749662314 Nawaslisha. Wasalaam
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…