natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Sociology

    Hello wadau, Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi. Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie. Asante
  2. JamiiForums Tanzania Jamani Miss natafuta

    Jamani huyu mrembo wangu kapotelea wapi? Hata kwenye simu cimpati kabisa Miss Natafuta popote Ulipo.. You are missed
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta meza na viti (desk)

    Fenicha zimepatikana
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta tender ya ku supply mayai ya kisasa

    Wakuu habari. Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla. Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale. Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji.. Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta connection ya kazi stendi ya Kahama

    Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea Msaada wana jamiiforums
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ambayo ni ya zamani ila haijachoka au kutumika sana

    Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta msimamizi wa shughuli zote za shamba

    Habari zenu wana Jukwaa, kijana wenu nina uhitaji wa msimamizi wa shughuli zote za shamba, kuanzia kilimo mpaka usalama wa shamba. Shamba liko Mkuranga, Kimanzichana eneo lina Ekari 6, kilimo kikuu kitakuwa ni mboga mboga (Bustani). Bajeti yangu ni 120,000 kwa mwezi pamoja na Unga kiroba kimoja...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta vitabu hivi

    Habari, Ninaomba mtu mwenye hivi vitabu aweke hapa kwenye uzi huu. Nitashukuru sana. NB Nilishapost sana kwenye zile threads za vitabu lakini watu hawaoni hivo sikufanikiwa kuvipata ndio kusudi la kufungua uzi huu. Majina kwa kingereza 1. Thus the bell rings kaandika Honore ngbanda 2. Inside...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali yenye kukidhi mahitaji

    Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970 Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa operation mwenye uzoefu wa kazi za usafirishaji

    Habari tena wadau. Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye uzoefu katika usafirishaji.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume, nina umri wa miaka 25

    Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu.. Kuhusu Mimi; nina umri wa miaka 25 naishi Dar ni mjasiriamali sina mtoto/watoto Elimu ni certificate. Anayehitajika ni mtu ambaye kutokana na kuwasiliana tukaendana mtazamo, na nia ikawa moja .
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mwanamke

    Nipo mbele yenu natafuta mwanamke ambaye yupo single ili tuweze kuwa wapenzi na hapo badae nimuoe nimechoka kuwa bachelor kwa muda mrefu nipo serious kwa mwanamke au mdada ambaye yupo tayari PM ipo wazi.
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwanamke

    Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry Natafuta mwanamke wa kuoa , Naishi mabibo Umri wa mwanamke usizidi miaka 22
  16. JamiiForums Tanzania Mimi ni Domo zege natafuta mchumba wa kike

    Habari Wana jamii forum, Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kigamboni

    Habari Zenu. Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10. sharti kiwe na hati ya wizara. Mwenye nacho anichek pm
  18. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  19. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya peanut butter

    Habari wanajamvi, nipo katika harakati za kutafuta masoko ya peanut butter natengeneza peanut butter za organic (isiyo na mchanganyiko wowote) ya chumvi na ya asali shida ni masoko napatikana Mbeya kwa namba 0613070778 msaada wa kuniunganisha na wauzaji
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kutengeneza bembea za kisasa kwa michezo ya watoto

    Habari zenu wakuu. Natafuta fundi ambaye anaweza kutengeneza bembea za kisasa Kwa michezo ya watoto. Location. Morogoro mjini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…