natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, ni mhitimu wa stashahada ya afisa tabibu (clinical officer)

    Iwe ni katika vituo vya kutolea huduma za afya (hospitali, vituo vya afya au zahanati), mashirika ya umma au binafsi au katika taasisi za elimu. Nipo tayari kuanza kazi mda wowote ule nitakaohitajika.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri

    Wakuu natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri. Ni urgent sana. Natanguliza shukrani
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, kibarua au ajira

    Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF. Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Peanut butter Mashine ya Kukodisha Kwa Dar

    Salaam Wadau.Kama Una Mashine ya kusaga Karanga kuwa rojorojo upo Dar, njoo tuzungumze biashara. Tunaweza kukupa mzigo kisha tukapatana utupe finished product au kila kitu kwako Sisi tunachukua rojorojo.Mashine iweze Kuchakata angalau Kilo 200 kwa Siku.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mentor wa kunifundisha UTT

    Please kama unawiwa urafiki wa faida wa kufundishana na kuelekezana kuhusu uwekezaji kwene mifuko na bondi kama UTT jitokeze. Ingependeza uwe unajua viytu kuliko nijuavyo mm. mi ndo naanza kujitafuta kwene huu uwekezaji
  6. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi

    Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao

    Ndugu zangu natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao na mdf bord.... Ni mzaliwa wa Tanga ila kwa sasa nipo Dodoma. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. kikubwa maelewano
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa kuwawajibisha benki ya CRDB kushughulikia kero yangu

    Mimi nalia na Hawa CRDB BANK. Mimi ni mfanyabiashara mdogo tu, nilichukua lipa ya CRDB nikaiweka ofsini kwangu, mteja wangu kanilipa kupitia hiyo lipa, pesa haikufika kwenye akaunti yangu na ilihali kwenye benki yake (NMB)inaonekana pesa imelipwa. Week ya tatu hii nafuatilia hakuna msaada...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufika Ulaya

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali, passport ninayo.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, fani ya mipango miji(Bsc. Housing and Infrastructure planning)

    Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam. Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi . Nitashukuru sana kwa msaada wako.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi/mchumba mwanamke

    .
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba, masters cha kisasa - Mwenge / Sinza / Mlimani City

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba masters, Mwenge / Mlimani City / Mlalakuwa

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo..

    Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo: Asiwe na urefu wa zaidi ya futi 6 au chini ya futi nee. Awe na rangi ya maji ya kinda, hata akiwa mweupe hakuna yaani. Asiwe na zaidi ya miaka 25. Awe na na umbo lisilolofautiana sana na lile la myigu. Mwisho awe anafaa kuwa mke. Ukiona andiko...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    2024 mpk 2025
  16. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke wa kuoa

    Habari wana JF, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu, Nipo hapa kutafuta mwanamke serious ambae atakuwa mke endapo tutaridhiana, sifa zangu ni zifuatazo; Umri: 30 Elimu: Degree Mahali ninapoishi: kaskazini mwa Tanzania Dini: Mkristo Kazi: muajiriwa serikalini Sina mtoto wala...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta washing machine 4.5kg ya laki moja

    Natumaini ni wazima wote nipo mbele yenu natafuta washing machine 4.5kg ya laki moja ambaye anayo ani pm tufanye biashara nipo Dar es salaam
  18. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo ya kufanya Uwakala wa Mitandao ya simu Kinondoni Dar es Salaam

    Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia. Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam Naomba aje inbox
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya uwakika ya nafaka ndani ya tanzania na nchi Jirani

    Habari za mapambano wanajamvi kama mada ilivyo hapo juuu. Nimekuwa nafanya biashara ya mazao (mahindi, maharage,mpunga,alizeti) kwa mda wa miaka zaidi mitatu yaaani mimi natafuta mzigo vijijini maeneo ya songwe na Rukwa napeleka soko la tunduma mataifani pia soko la mbalizi. Kuna baadhi ya mambo...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu

    Elimu: shahada ya uuguzi. Umri: 31 Jinsia: Me Location: Dar es salaam Nina uzoefu wa kutosha wa kuhudumu, naombeni kazi wakuu. Niko full licenced. Mawasiliano yangu. 0694029955 / 0718605934 Email;omaryabdallahram@gmail.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…