Habari Wana JamiiForums
Nilikuwa natafuta kazi japo nipate hata intern kusukuma maisha Elimu yangu ni Shahada ya manunuzi (Bachelor Degree in procurement and supply chain management)
Pia nina Diploma in procurement and supply chain management
Napatikana Mwanza Ila nipo tayar kufanya kazi...
Elimu yangu ni form four
Umri miaka 33 (me)
Kazi yoyote ya halali popote
Sifa ya ziada
Najua kucheza na kompyuta kiasi fulani ingawa sina vyeti (sijasomea rasmi)
Nina cheti cha ualimu Shule za msingi
LEO ULIJUE HILI
Tofauti Sahihi (Kibiashara):
1. New Phone (Mpya Kabisa)
Haijawahi kutumika.
Imefungwa (sealed) moja kwa moja kutoka kiwandani.
Inakuja na warranty ya kiwandani.
Hii ndiyo aina ya juu zaidi na bei kubwa zaidi.
2. Refurbished (Referb)
Simu iliyowahi kutumika (labda ilikuwa...
Anatafutwa Fundi wa Forester ili asaidie katika kuondoa changamoto hizi mbili:-
i. Gari linawaka AC ikifika muda AC inakata ila baadaye inaanza tena. Nadhani hapa kuna error ambayo mwenye diagnostic Kit anaweza saidia
ii. Gari lina camera ila uki - reverse Dashboard hai respond.
Nitashukuru kwa...
Habari zenu Wana Jamii forum? Natumanini mko salama kabisaà.
Mimi ni kijana wa kiume, nipo Dar Es Salaam, Ubungo. NATAFUTA band ya mziki ya kujiunga nayo katika shughuli za mziki. Yeyote anaeweza kuniconnect na kikundi chochote kinachofanya mziki wa live ntashukuru Sana.
Experience yangu ni...
wakuu.habari za jioni samahani Kwa wakazi wa dsm naombeni mnisaidie office za world vision nimeangakia kwenye web inaonekana Iko mikocheni karbu na makumbusho bahati mbaya nimefika juzi naambiwa wamehama na hawajui wamehamia wapi na email hawajibu simu Yao pi ni zile za mezani...
Habari wana jf , mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nipo kahama mjini elimu yangu ni kidato cha nne , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya . namba yangu ni 0715308721
Habari wakuu
Naomba niulizie stering rack, ya suzuki swift ,maana stering imekuwa ngumu.(Stering ya umeme ,siyo ya hydraulic).
Niko Kibaha maili moja
Piga 0713 039 875
Habari wanaJF,
Salam nyingi kutoka Morogoro Tanzania. Nimemaliza siku salama, na natumaini mambo yenu yanaenda
Nina series of softwares nlizotengeneza kwa ajili ya kurahisisha kazi kwq wateja wangu na wateja wao.
Hizi ni pamoja na
1. Mfumo wa supplies. Kuna jamaa mmoja mwenye butcher...
Habari wana JFM
Mimi nikijana wa kitanzania,niko na uhitaji wa kazi yeyote iliyo halali.
Lakini pia nimesomea shahada ya Information Technology ,mwenye connection na kazi naomba anisaidie .
Napatikana singida Tanzania.
Email: samwelnduro@gmail.com
Phone:0744968695
Ndugu zangu nahitaji kazi nipo KIBAHA MAILI MOJA, Kazi nazoweza kufanya ni
1.Ulinzi
2. Kuhudumia wateja eneo lolote la biashara au bar
3. kazi zote za nguvu hata viwandani
4. kazi za hotelini
Kama una kazi nipigie 0681050265 Asante. 🙏
Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
Habari wanaJF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni bachelor degree in Logistics and Transport Management, naomba nafasi ya kazi yoyote ile itakayosaidia kuendesha maisha