natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwema

    Wakuu (kinadada) najua imeandikwa sio vema kwa mwanamke au mwanaume kuishi peke yake maisha ya ukiwa ikiwa dunia Inawenza ambao mnaweza kushare kile kidogo mnachopata na kutengeneza paradiso ndogo hapa duniani hivyo basi nakuja mbele zenu kwenye jukwaa hili ambalo limejaa waungwana na watu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume. Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike, mengine tutayajenga

    KWEMA WANAJUKWAA. Naamini JamiiForums kuna genuine ladies wasio na mambo mengi, watulivu, wasikivu, wacheshi, wenye urafiki wa kweli. Ningependa ujitokeze unaewiwa kutaka tuwe marafiki, umri ni miaka 20 hadi 29. Mkazi wa popote nchini, elimu yoyote, kazi yoyote halali. Natanguliza shukrani...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

    .........
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Mshangazi ama Mshangazi hamumtaki Kijana wa Kimasai?

    Kwani Mshangazi una sifa Zipi ? Jamii ya leo inazidi kushuhudia mahusiano yasiyo ya kawaida: vijana wa kiume wakiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wakubwa kiumri — mara nyingi wakiwa sawa na mama au shangazi zao. Wengine huita "sugar love", wengine wanaita "upendo wa kipekee". Lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta dawa za kuongeza Uboho

    Wakuu kwema? Napata wapi dawa za kuongeza uboho? Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke(muislam) wa kuoa

    Natafuta mwanamke wa kuoa awe Muislam Awe anajistiri Manhaj salafi Miaka 19-23 Ajue kupika mapishi ya kawaida tu Ambae hajawahi kuchakatwa Umri wangu 25 Kipato kipo Cha kawaida (uhakika) Nyumbani Pwani Asili Kilimanjaro
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Kampuni (Contractor au Consultant Firm) ya Kufanyia Internship ya Quantity Surveyor

    Mimi ni Graduate in Quantity Surveying and Construction Economics at Ardhi University natafuta kampuni (contractor au consultant) ya kufanyia internship/ hata ajira itakua vizuri popote Tanzania. Msaada Plz wakuu🙏🙏
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunioa

    Habari wakuu Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa Sifa zangu Miaka 33 Kabila mchaga Dini Mkristo Sina mtoto Naishi Dsm Kazi Biashara SIfa za mwanaume Miaka 35 -45 Dini Mkristo Watoto wasizid 2 km atakua nao Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha Makazi popote...
  12. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT. Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua nikifanya kama intern kwa mwaka mmoja sasa kwenye kampuni za engineering na real estates kubwa tu hapa...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta uwaridi linalonukia vizuri kwa ajili ya kusherehekea wikiendi

    Wikiendi ndio inaanza hivyo wakuu. Na ili ipendeze na kufana vizuri zaidi, ni muhimu kuwepo na maua mbalimbali yanayovutia na kunukia vizuri. Nimeuza debe zangu mbili za mpunga, mfuko umejaa kiasi. Kwa wewe pisi kali unayehitaji mtoko kwa wikiendi hii, njoo tuyajenge; muhimu uwe na 'vibe' tu...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta App nzuri ya kupata demu wa kizungu

    Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Mitsubishi Minica iwe nzima au mbovu

    Wadau natafuta hii gari pichani iwe nzima au mbovu nachukua hata kama ipo juu ya mawe.
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba nzuri ya kupanga

    Natafuta Nyumba nzuri ya kupanga Arusha classic appartment 3 bedroom budget 500k maeneo ya njiro Arusha, URGENT
  17. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Wakuu habari zenu...Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 24 yupo tu nyumbani ( Magomeni hapa Dar es salaam) anatafuta kazi yoyote halali ya kumuingizia kipato ili aweze kujikimu kwa mambo madogo tafadhali naombeni msaada wenu apate kazi hata kuuza duka au ukonda wa magari ya mikoani nitashukuru...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu , Natafuta Shule ya kufundisha Zanzibar kwa secondary au primary

    Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza. Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba. Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile kwa upande wa secondary. Masomo ya social studies yote. History Civics Kiswahili English...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya hesabu (bolt na uber)

    Habari za asubuh wana JF Mimi ni dereva natafuta gari ya kufanyia kazi tax mtandao yani bolt vigezo vyote ninavyo kama leseni, Account za tax mtandao yani uber na bolt, naombeni kazi mimi naishi Kivule Matembele ya pili Dar es Salaam, Wilaya ya Ilala. Mawasiliano yangu ni 0758 -871 707 au...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ma box makubwa matupu , wapi wanauza mabox matupu?

    Habari wadau Wapi wanauza ma box ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…