natafuta mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Natafuta mwanamke

    Habari, nipo Arusha natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 28 hadi 37 tuishi na tuzae mtoto, sichagui Kabila wala dini. Asiwe mlevi, mvivu. Alie serious anifuate inbox
  2. elixer of life

    Natafuta mwanamke

    Hi… Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding :mbunifu wa kutafuta kipato :Asizidi 34+ Dini yoyote Kazi yangu na vipaji pm
  3. Zee la madawa

    Natafuta mwanamke wa kuoa aliyekuwepo morogoro au mpanda ili niweze kuhama

    Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko nahisi nitakufa masikini kwa kujitakia!Tafadhalini ajitokeze PM iko wazi......
  4. A

    Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye uhitaji kweli

    Habari wakuu. Nahitaji mwanamke wa kuoa ambae yupo tayari kwa mahusiano na kuolewa. Umri wake uwe kuanzia miaka 20 mpaka 30 akiwa na mtoto sawa hakuna shida. Sifa zangu Umri 30
  5. mpambanaji orijino

    Natafuta mwanamke wa kuoa, awe yupo tayari kuwa katika mahusiano

    Habari ya uzima wenu wana JF? Natumaini mu wazima. Mimi ni mkazi wa Dar, ni muajiriwa na pia nina biashara zangu za kunipa senti mbili tatu. Umri wangu ni miaka 29 na ni mzaliwa wa mkoani Mwanza. Dini yangu ni mkristu. Nakuja mbele zenu, nkiwasilisha ombi la kuweza kupata mwanamke ambae...
  6. Stunnaman008

    Natafuta mwanamke

    Mimi nikijana wa 33yrs natafuta mwanamke wa kumuowa
  7. D

    Nahitaji mchumba wa kike anaejielewa, umri wangu 25 nimejiajiri. Hata akiwa ananizidi umri sio mbaya, awe anajielewa tu

    Awe anajielewa, muonekano wa kawaida tu ila ukiwa mzuri wa sura itapendeza zaidi.
Back
Top Bottom