natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sangaima

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Habari wote mimi ni kijana wa Kiume miaka 28 Natafuta kazi yeyote ile yenye kulipa ninaujuzi katika sales, marketing, graphic design, tourism, management, negotiation na pia kingereza nazungumza vizur. Nina degree ya Uchumi ila kwenda Veta ngumu (pesa ya ada sina na nina wategemezi). Tafadhali...
  2. Gweny

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
  3. Yerusalemu30

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya masoko(marketing) au mauzo(sales)

    Mahali: Mwanza. Fani: Uhusiano wa Umma na Masoko Uzoefu: Mwaka 1
  4. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu

    Habari naitwa Mary natokea Shinyanga natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu iwe apa mkoano Shinyanga
  5. Jackson QUECA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi wana JamiiForums. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Mkazi wa Kigamboni. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani [ procurement, logistics and supply chain management] Kutokana na changamoto za kimaisha imenibidi kutafuta kazi na siyo kuajiliwa tenah, hivyo nilikuwa naomba kazi, mwenye...
  7. jonasasimwe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo
  8. Omary scotten

    JamiiForums Tanzania Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za viwandani, mgodini

    Natafuta kazi za viwandani ,mgodini au zingine zinazoendana na taaluma ya chemistry ni mhitimu wa Shahada ya sayansi katika chemistry na Biology ( Bachelor of science) popote nafanya kazi Tanzania au hata nje ya Tanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Accountant, Cashier au Customer Services

    Hello mimi ni binti wa miaka 23 nimehitimu chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka jana 2024 Bachelor of Commerce in Accounting. Mimi kama kijana nahitajii kazi ili niweze kutimiza ndoto zangu maana saizi nipo tu nyumbani roho inaniuma sana naombeni msaada wenu kwa atakayeguswa na hili. Asanteni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

    Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya sales

    Habari wakuu Mimi ni ke umri miaka 25, natafuta kazi yoyte halali ndani ya Dar, naishi Kigamboni, nina uzoefu na kazi ya uwakala na sales. Nina Nida, TIN na Certificate... Naomba msaada wenu jua ni kali mno🙏
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya cashier or customer service nipo jijini Dar es salaam

    Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  14. bky123

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habarini za muda huu, nina umri wa miaka 26, jinsia me, napatikana mwanza, nipa hapa kutafuta kazi, mimi ni clinical assistant (CA) Nina kila kitu, leseni hai na vyeti vya taaluma, nina experience ya kazi kwa muda wa miezi 8 nikiwa dispensary, natanguliza shukurani
  15. baggio23

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi mwenye connection yoyote ya kazi sehemu yoyote Tanzania

    Habarini ndugu zangu Nipo hapa natafuta kazi yoyote viwandani, ofsini au mashirika yani popote pale penye kazi halali ya kutumia nguvu au akili, niko kwenye hali ngumu sana ya kimaisha, niko kwenye kipindi kigumu sana na kielimu nina degree ya Geography na Environmental studies niliyomaliza...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Naitwa Jerald, nina miaka 26. Nipo Dar es salaam, natokea mkoa wa Mwanza. Natafuta kazi yoyote halali iwe ulinzi, dukani au usafi. Nina elimu ya kidato cha sita.
  17. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

    Jamani hali ngumu, Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection. Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali. Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au? Niko Dodoma mjini. Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye makampuni ya usafirishaji, bandarini na taasisi yoyote

    Habari zenu? Mimi ni kijana wa kitanzania (me) natafuta kazi kwenye makampuni ya usafirishaji, Bandarini na Taasisi yoyote Simu 0742548727
  19. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya sheria, natafuta kazi.

    Habari wana JF Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com kwaajili ya CV yangu. Asanteni sana!
  20. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya dukani

    Habarini ndugu zangu
Back
Top Bottom