Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA.
Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli...