natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kilawo

    Natafuta Kazi kibarua nipo Songea vijijini

    Mimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
  2. Tommy 911

    Natafuta kazi ya quality control(mkemia) au lab technician

    Habarini wakuu. Mimi ni quality control lab technician nina bsc chemistry pia Nina uzoefu wa mwaka na miezi minne katika steel industry. Natafuta kazi viwandani,migodini kote nafit. Ukinisaidia kuna pesa ya maji. Asanteni
  3. M

    Natafuta kazi na ujuzi kwenye maswala ya kodi

    Kwa elimu nina Bachelor degree of science in taxation kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM darasa la 2025 nipo na ujuzi kwenye maswala ya kodi sehemu tofauti tofauti hivyo naomba kazi au kibarua Namba yangu ya simu ni 0778190736
  4. Mind stone

    2026 Natafuta kazi bado sijapata wakuu

    Nipo Arusha, Naombeni connection yeyote tafadhali 🙏🏽
  5. monotheist

    Natafuta kazi ya security officer/guard

    Natumaini hamjambo, nami pia sijambo nimefanya kazi ya security kwa miaka 5 maeneo mbalimbali ikiwemo serena hoteli mwaka 1, viwandani miaka miwili na airport terminal 3 mwaka 1, na nimefanya kazi hayo maeneo kupitia GARDAWORLD hivyo nina uzoefu wa kutosha kama kuna yeyote anaweza kunisaidia...
  6. Mind stone

    Natafuta kazi yoyote tu

    Mwenye kazi yeyote tupeane connection wakuu
  7. J

    Natafuta kazi ya stationery

    Habari, Mimi ni mdada natafuta kazi ya stationery. Nina miaka 26, nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kazi zote za Stationery na mauzo. Pia, nina ujuzi wa Graphic Design na nina ujuzi wa kutumia mashine ya Heat Press Sublimation kuprint mugs, chupa, na T-shirts. Naweza kutengeneza picha mbao na...
  8. Mind stone

    Wakuu bado natafuta kazi, na maelezo yangu ni hayo kwenye tangazo hapo chini

    Natafuta kazi na qualifications zangu zipo hapo kwenye picha ya Tangazo.
  9. S

    Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri

    Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management Naonngea kiingereza vizuri sana Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
  10. Avith almachius

    Natafuta kazi

    Nipo Dar es salaam natafuta KAZI yoyote ukiachana na professional yangu Nina Degree ya sociology and social work but nahitaji kazi yyte niweze kukidhi Mahitaji yangu unaweza kunipigia kwa namba 0777838901 NB NI SERIOUS ISSUE
  11. redpill evengalist

    Kijana Mwenye Shida ya Ajira, Nipo Tayari Kufanya Kazi Yoyote Halali

    Mimi ni kijana niliyemaliza elimu ya Kidato cha Sita (Form Six) na nina uwezo wa kufanya kazi mbalimbali kwa bidii na uaminifu. Niko tayari kwa kazi yoyote halali ikiwemo za ofisini, ulinzi, kilimo, ujenzi, biashara au kazi nyingine zinazohitaji mtu mwenye kujituma. Nina nidhamu, moyo wa...
  12. ShL

    Natafuta kazi nina Degree ya sheria

    Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria, Naamini hapa Jamii forums Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either inayofanana na Sheria au tofauti basi anisaidie Nipo Dar es salaam Simu: 0779724159
  13. P

    Natafuta kazi. Nina fani ya udereva

    Wakuu habar naitwa Alex Peter nipo Dar es Salam, umri wangu miaka 29. Natafuta kazi yoyote, nina fani ya udereva kipindi cha nyuma nilikuwa naendesha bolt na uber. Naomba mwenye kazi yoyote anisaidie Elimu yangu ni diploma ya public administration and management Mawasiliano yangu ni...
  14. Marxist Del Capitano

    Natafuta kazi ya Kibarua (Moshi)

    Habari, natumaini mpo salama Naishi Moshi Mjini, Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
  15. Pro_active personnel

    I risk for benefits natafuta kazi kwa stake hii

    Habari za muda huu wakuu Kwa changamoto za ajira apa nchini inabidi mdaa mengine ku risk kitu upate unachokihitaji Kila mtu ana ndoto ya kupata nafasi bora ya kazi… na mimi niko tayari kufanya kufanya kazi yoyote kwenye upande wa Quality | oil and Gas |weighbridge| field yoyote ya vipimo na...
  16. Y

    Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Habari zenu wanajamii. Penye wengi pana mengi, Naombeni mnisaidie mawazo au ushauri, nina degree (I graduated last year). Nimepambana kwenye ajira ila naona wakati wangu bado japo sija give up sichoki kuapply. Kwa hiyo nkaona its better kuendelea na Plan B, Sasa hapa kuna biashara nmeifanyia...
  17. Tommy 911

    Mkemia natafuta kazi nina experience ya miezi 10 kama quality controller

    Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada...
  18. M

    Natafuta kazi yoyote mimi kijana elimu yangu form six msaada jamani

    Natafuta kazi mimi kijana elimu yangu form six msaada jamani maisha yamenibana sana kazi yoyote
  19. B

    Natafuta kazi ya ualimu wa daycare

    Habari za wakati huu wapendwa, Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kufundisha kwenye shule ya English Medium, ambapo nilifanya kazi kwa upendo, uvumilivu...
  20. mzeesam

    Natafuta kazi

    Natafuta kama yoyote hata ya kiwandanj, waiter, barman, office assistant, no.0679222414 nipo dar
Back
Top Bottom