natafuta ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya uandishi na utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili Pia , nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Mtusaidie jamani maana...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Jina: Rich Mashauri Mahali: Dar es salaam Elimu: Muhitimu Bachelor of accounting with information technology (BAIT) chuo cha IFM Miaka: 23 Gender: Male Ujuzi: IT skills, accounting ethics na ujuzi katika maswala ya biashara na tax principals Majukumu kwa sasa: Najiendeleza na masomo ya CPA...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nawakubali sana hawa members wa jf, Mzee wa kupambania, Natafuta ajira, Extrovert, Equation x, mzabzab, DeepPond, Robert mtibeli, Analyse na Umughaka

    Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
  4. chiziwafursa

    JamiiForums Tanzania Unenepeshaji wa ng'ombe ni fursa

    1. Unenepeshaji wa ng'ombe Kipindi cha kiangazi (ukame) ng'ombe huwa zimedhoofika na kusababisha ng'ombe kuuzwa kwa bei ya hasara. Kwa mfano, ukiwa na ng'ombe 5 ambao umewapata kwa 200,000 Jumla ya pesa iliotumika 200,000×5=1,000,000 Makadirio ya matunzo kwa miezi 3 ni 150,000 kwa ng' ombe...
Back
Top Bottom