naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Naona si sawa Kwa Wananchi kulalamika posho za watumishi na Viongozi Gavoo

    Kwanini wananchi Huwa tunaumia bila sababu pale watumishi wa Serikali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa wanalipa posho. Mimi naona asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafanyabiashara , na wateja wengi wa biashara zetu ni watumishi, mkisema wasipewe posho hayo maduka , na biashara...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu mpya za kuhifadhi pesa za vikundi naona vm-koba kazi inataka kuwashinda

    Dalili ya Mvua ni Mawingu ndungu zangu, Hawa Mkoba online naona kama kazi inataka kuwashinda! Naomba tupeane Mbinu mpya ya kuhifadhi pesa za vikundi ambapo unaweza kuhifadhi kirahisi na kuipata kwa haraka muda wowote 24/7
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jambo hili linaumiza wanachuo wa Chuo Kikuu cha Sokoine kutakiwa kulipa ada ndani ya wiki 3 za kuanza masomo

  4. JamiiForums Tanzania Bangi na pombe Kali ni hatari nimerudi mtaani naona vijana wamezeeka ghafla

    Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naona mishahara na pensheni, vimetoka tangu jana, tumieni kwa uangalifu, payment day ya April itakuwa ndefu

    Ni angalizo tu, maana sikukuu huwa zinatutia kichaa! Tumieni kwa busara. Naona huku "Waja Leo Waondoka Leo" hekaheka hazipimiki! Sikukuu njema
  7. JamiiForums Tanzania Sina imani na huyu mwakilishi wa UN naona kama wanamtandao wameshatuzidi kete

    Huyu mwakilishi wa UN sina Imani kutokana na UN ilivyosasa ni kama kikundi fulani cha wahuni na wahuni wanaweza kukitumia pia kuwalizisha wananchi wa nchi ya kusadikika na wasichukue hatua yoyote.
  8. JamiiForums Tanzania Tangia nianze mazoezi na kupiga pamba Kali nguo zinanikaa naona mademu wananishobokea sana

    Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi...
  9. JamiiForums Tanzania Leo ndo nimeamini mmliwaua Hadi huyu Claudia MASSAWE nae mlimuua 29.10.2025

    Nilikuwa nikisikia kwa jirani ila Leo yamenifika, sikufanikiwa kumzika Claudia Mwana wa MASSAWE kutoka mkoa wakilimanjaro Binti pekee aliyetegemewa na Baba yake Mzee MASSAWE pale Rau. Hakika ni majonzi Binti ambae alikuwa tegemeo pekee la Mzee MASSAWE , Leo napita hapo nyumbani kusalimia...
  10. JamiiForums Tanzania NMB wajanja sana, naona wanamu kandia CRDB kidizaini katika hili tangazo

    Kumbuka crdb huwa inatambulika na rangi ya kijani😁
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

    Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Ni nani huwa anamwandikia Samia hotuba? Naona anaboronga tu

    Mpaka unajiuliza aliwezaje kuwa Makamu wa Rais. Sasa anasema ameanzisha Wizara ya Vijana kuliponya Taifa. Kuliponya na nini? Na hiyo Wizara inaponyaje? Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge? Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty? Bila shaka ndiye alisema na JF isifunguliwe. Na inashangaza JF...
  13. JamiiForums Tanzania Putin je anawatembelea hawa Rafiki zake? Maana naona wanapukutika tu

  14. JamiiForums Tanzania Naona Toyota Wameachia Toyota FJ Cruiser toleo la 2026 sio poa. Nguvu ya Off Road na Onroad

    Wanabodi nilikuwa napitapita huko mitandaoni nikaona Toyota wameachia rasmi chuma yao mbabe wa offroad na mshindani wa Hummer Toyota 2026 Mini Land Cruiser FJ, Hii chuma bwana ni chotara yenye urithi wa Land Cruiser na teknolojia ya kisasa...ukipata hii ni sawa na kupata Cruiser tu, mwana...
  15. JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

    Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
  16. JamiiForums Tanzania USA na ISRAEL ni nchi bora katika "ACTIONABLE INTELLIGENCE" , ingawa naishi kadumbwi chini chini ila naona fahari kuishabikia US/ISRAEL.

    Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau, Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi, uchina, uturuki, qatar na iran🤢🤮
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya kahawa,inavyonitoa kwenye umaskini niliokua nao taratibu.

    Natokea Arusha,Kahawa ni zao kubwa la biashara. Sababu nimekulia Dar,mwaka juzi kwa kuchoshwa na kunywa kahawa mbovu na chini ya kiwango nikaamua niwe naagiza green beans kutoka Arusha,nakaanga mwenyewe na kutumia pamoja na kugawa kwa familia.. kipindi hiko nafanya kazi sehemu kwahiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Kile kikao cha mali za watumishi naona kimeishia pale pale

    😄 Hivi mkuu wa kikosi kazi wa kujilimbikizia mali unataka kuwajibisha wanao jilimbikizia mali. Wote mnafaidi sasa ulitaka nani kutofaidi hii keki. Waziri mkuu hapa umechemka kama kuku wa kwenu kupikia mchemsho.
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  20. JamiiForums Tanzania Mimi Kama Gen- Z naona aibu kwa kilichotokea jana Tulikurupuka sanaa naomba Samia na Watanzania wote mtusamehe

    Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…