nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM anakwenda kuamua tena nani agombee ubunge kama alivyofanya Hayati Magufuli kipindi kilichopita. Ukimkosoa Mwenyekiti umeumia

    Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja. In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea mwenyeti, na kwa mantiki hiyo tunaelekea kipindi ambacho malengo yako kisiasa utafikia pale tu...
  2. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kujaza pengo la Ndugai?

    Nafikiri mpaka sasa Watanzania wengi watakuwa wamepata habari kuhusu tukio la spika wa bunge kujiuzuru. Swali litakalofuata ni, nani anafaa kuziba pengo lake? Mimi binafsi nafikiri Mussa Azzan Zungu ni mtu sahihi wa kujaza nafasi hiyo ya spika wa bunge. Sababu ya kwanza ni kwamba Mh. Zungu ana...
  3. JamiiForums Tanzania Greatest Afcon XI, nani kasahaulika?

    Mtandao wa GiveMeSport wametoa kikosi bora cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Afcon mbalimbali. Je unaungana nao au unapingana nao? Kama unapingana nao, tuambie ni mchezaji gani amekosekana kikosini?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nani anafuata Katiba ya Tanzania ??? Naiona ipo ipo tu lakini kiuhalisia hakuna,labda walala hoi wanyonge,

    Kaondolewa yule wa Mahesabu akachomekwa mwengine ilifuatwa Katiba ? Sasa hata huyu Ndugai anaweza kuondolewa bila ya kufuatwa Katiba, Kwa Sasa Raisi ndio Mkuu wa Nchi hivyo any time anaweza kumtimua mtu .
  5. JamiiForums Tanzania Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

    Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake! Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Mtego Aliojitegea Rais Samia, nani atauvunjilia?

    Si mtego mgumu...lakini ni mtego mkali... CCM kwa miaka yote imejitahidi sana kukwepesha na wakati mwingine kuahirisha milongas ya mihimili. Kuanzia wakati wa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere na mjadala wa Uafrika na Uraia wa Tanzania hadi huu wa mkopo na Tozo wa Rais Samia. Migongano...
  7. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyempa Rais pongezi na tahadhari ya kupingwa na kijani

    Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole. Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni kijani mwenzako Je mtu huyo ni nani aliyempa Rais taarifa hii ambayo kwa sasa inajidhihiri? Ni...
  8. JamiiForums Tanzania Uongo wa Serikali juu ya Miradi ya kitaifa Nani ashugulikiwe

    Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto Miaka miwili nyuma tuliambiwa kipande Cha reli dar to Moro kuzinduliwa Novemba 2019. Leo 2022. Miaka 3 baadae hakuna kitu Kama...
  9. JamiiForums Tanzania Matapeli wa Simu wanazidi, licha ya simu kusajiliwa! Nani alaumiwe, Makampuni ya simu, TCRA, Polisi au Raia?

    Wakuu hizi sms Mzee flani ni mganga maarufu, atakupa utajiri wa freemason, mara utajiri wa ndagu nk. sasa zimetawala sana, na hizi zingine za umeshinda milioni 700000000, piga Simu 0000 ili upate zawadi zako. Au unapigiwa simu na litapeli likisema Kuna Hela imetumwa kwako kimakosa. Simu zote...
  10. JamiiForums Tanzania Wabunge wameufyata kuhusu bosi wao? Wako upande wa nani?

    Hii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa. Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na serikali yake ungetegemea wabunge hawa waufuate kiasi hiki? Wanaogopa wakimgusa bosi wao wakirudi...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ni nani wa kumtoa Ndugai kwenye kiti chake? Piga chini miradi yote ya 10pc bungeni, mbwai na iwe mbwai

    Kati ya watu nawaaminia ni mh Jobu, aliwahi charaza mtu peupe pe, Na aina ya watu hawa usiwachezee kabisa kwa Kila wanachokiamini tena hasa ukianzisha vagi nao! Jobu, anasimamia mhimili unaojitegemea, na moja ya sifa za mhimili huo ni kuishauri na kuikosoa serikali, Kwa hali yoyote na kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hayo magari yalikuwa ya nani na kwanini baada ya ufichuzi ule aliyekuwa Katibu wa chama kile aliandika barua ya kujiuzulu?!

    Hayo magari yalikuwa ya nani?! Kwa nini TRA ilitishwa kwamba ni ya ofisi ya Rais ilhali anuani haikuwa siyo?! Kwa nini Kamishna wa TRA wakati ule aligwaya kuchukua hatua?! Kwa nini Ikulu ya 2015 haikuchua hatua za kuyakana magari yale kwa kuingizwa nchini kwa ulaghai ni ya Ofisi ya Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Nani ni mteja wako? Mbinu za kumtambua mteja wa biashara yako

    Mfano umepanga Kukutana na mtu ambaye humjui sura kwa jambo la msingi Stend ya Mabus ya Magufuli,Mbezi. Baada ya kupanga kuwa mtakutana pale, ghafla ukapoteza simu na namba yake huijui. Kwakua tayari mlikuwa mmepanga kuonana unaamua kwenda tu. Baada ya kufika, unakuta kuna watu wengi...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya Spika Ndugai, Balile na Gavana Luoga nani mkweli kuhusu deni la taifa?

    Kuna mkanganyiko mkubwa nchini katika utoaji taarifa za deni la taifa. Kuna usemi kuwa miluzi mingi huchanganya mwelekeo wa Mbwa. Ndugai ni Spika, Balile ni Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Luoga ni Gavana, sasa nani ana taarifa sahihi za kutufanya tumuamini? Ndugai amesema deni la taifa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Nani zaidi kati ya Bendi 'Nitakopa sana' tu na Bendi 'Madeni yatauza nchi' yetu?

    Ukiona tu walioko Juu Wanapishana ( hasa kwa Kauli zao ) jua Kwanza Dhambi Kuu ya Unafiki dhidi ya aliyelala 'mazima' Ziwani inaanza Kuwatesa lakini pia ni dalili tosha kuwa sasa 'Wanawindana' na huenda ama Wakasalitiana au hata tu Kuumizana kwa Kumalizana. Natabiri tu Msiba nchini 2022 au 2024.
  16. JamiiForums Tanzania CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

    Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
  17. JamiiForums Tanzania Very soon tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya

    Kwa speed hii wanayokwenda nayo, nashawishika kuamini kuwa Bado siku chache sana tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya..... Wenye chama Chao watajitokeza mapema tu, hakika vita vya panzi furaha kwa kunguru. Wacha wararuane....
  18. JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu mmojawapo kati yao alikuwa Rais wa Tanzania je unamkumbuka ni nani?

    HEBU TUJIKUMBUSHE
  19. JamiiForums Tanzania Prime Chuji Vs Prime Feitoto: Unamchagua nani kwenye kikosi chako?

    Me naenda na Chuji, najua ataniofa machaguo mengi ndani ya kikosi changu, kwanzia kukaba, kuchezesha timu na hata kuamua mechi iisheje! Wewe unamchagua nani?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Godfrey Mwakikagile nani anamfahamu huyu jamaa anaonekana ameandika vitabu vingi sana na Mtanzania

    Mwakikagile's books are used in various academic disciplines up to the post-graduate level including doctoral studies. He has also been invited to give lectures at different colleges and universities. And as a public intellectual, he has also been sought for interviews by BBC, PBS and Voice of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…