nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watoto wetu wa Siku hizi 'wamerogwa' au 'wamelaaniwa' na nani hasa kimalezi, kiuwajibikaji na kimaadili?

    Yaani kabisa (Mtoto) Mvulana au Msichana wa Darasa la Tano hadi la Saba anafuliwa Nguo zake, anaamshwa kwenda Shule, akila anaacha Vyombo mezani House Girl avitoe na anaamshwa Asubuhi kujiandaa kwenda Shule? Na kinachonishangaza na Kunisikitisha zaidi unakuta Wazazi Wao kipindi cha Utoto...
  2. JamiiForums Tanzania Mbivu na mbichi za Wagombea Uspika wa CCM kujulikana leo Januari 19, 2022

    Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi. Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania nani anaturoga? Kama hamtaki kila mtu ale urefu wa kamba yake, mnataka wale bila kamba?

    Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita, Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, "...
  4. JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

    Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu. Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja? Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu? Kama inawezekana familia moja...
  5. JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  6. JamiiForums Tanzania Bilal Rehani Waikela ni nani?

    MZEE BILAL REHANI WAIKELA AMELAZWA MOI GOROFA YA 2 CHUMBA NO 2 KITANDA NO. 5 Ndugu zangu leo asubuhi nimejaaliwa kwenda MOI kumjulia hali Mzee Waikela. Nimemkuta macho na namshukuru Allah kwa hili kwani ningemkuta kalala nisingethubutu kumwamsha ingebidi niondoke. Mzee wetu amepokelewa jana...
  7. JamiiForums Tanzania Nani mkali wa michano kati ya Mex Cortez na P Mawenge?

    Mi nampa Mex jamaa anajua anabadilika style nyingi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nani wa kusimama badala ya wapinzani wanapoumizwa na maamuzi ya viongozi wao?

    Leo nimekuja na swali mahususi kwa wapinzani lakini pia linaweza kuulizwa hata kwa CCM ikiwa nao wataanza kurithi tabia hii ya wapinzani ya kususa. Watu wana ndoto na mipango wanapojiunga na siasa na kwa siasa zetu zinafanyika kupitia vyama hivyo ninaweza kusema ndoto na mipango ya kisiasa ya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye jukumu la kurekodi yanayoendelea Mahakamani?

    Mara kadhaa nimesoma kuwa wakili walimuomba Jaji awasomee alichoandika. Hivi Mahakama haina stenographers ambao kazi yao ni kuweka kumbukumbu ya kinachoendelea? Kama hiyo inashindikana, kwa nini wasirekodi kwa kutumia voice au video recorder? Mimi naona kumtegemea Jaji sio sahihi. Yeye...
  10. JamiiForums Tanzania Chama anaenda kuchukua nafasi ya nani Simba?

    Ukiangalia kwa jinsi Simba ya sasa inavyocheza, mfalme wa zamani wa timu hiyo Chama ambaye atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, je ni nani atampisha Chama kwenye kikosi cha kwanza? Vipi nafasi ya Pape Sakho haipo shakani kweli?
  11. JamiiForums Tanzania Tausi wa Mrisho Mpoto ndio nani hapa nchini?

    Kwema Wakulungwa! Hii nchi mtu huwa mzalendo akiwa na njaa, fukara na apeche Alolo Ila akipata ulaji uzalendo huyeyuka Kama theluji. Hii imaanisha nini? Naomba kwa heshima na taadhima, Kwa wale wanafasihi Nguli waje waniambie Tausi wa Mrisho mpoto kwenye hii nchi ndio Nani? Alafu Mrisho...
  12. JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

    Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Rais Samia awe mwangalifu na hao waliomzunguka, wengi wao ni Wafitinishi (KUPE) walimdanganya Magufuli!

    Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka. Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Mwakilishi Bora Wa Muda Wote Wa Muziki Asilia Wa Tanzania...?

    Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika. Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC 'nyumba Ya Dhahabu' umetuletea Kazi za Vikundi anuai Msondo Sikinde Maquiz Ramadhani Lemmy Ongala...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tutulie na harakati zetu - ya nani spika hayatuhusu ndewe wala sikio ni lao hilo

    Naona wapiganaji maarufu huwa wanajikita katika mambo ya CCM, mpaka wafuasi tunapata khofu juu yao,inakuwaje hawa viongozi tunaowategemea wanaingilia mambo ya Chama Cha Mashetani (CCM), mpaka wanafikia kusema huyu anafaa huyu hafai, hivi inakuwaje? Huku uraiani tunashindwa kuwaelewa viongozi...
  16. JamiiForums Tanzania Tangu uzaliwe mpaka sasa 2022, ni wimbo gani bora kwako?

    Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi: Ni bila kuangalia _AINA YA MUZIKI _UJUMBE _MSANII ALIYEIMBA _HADHIRA ILIYOKUSUDIWA _UKUBWA WA MWANAMUZIKI _MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA LEBO, PROMOTA, MSANII, MEDIA *********** NI WIMBO GANI BORA KWAKO, TANGU UANZE KUSIKIiLiZA MUZIKI...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ni kina Nani makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu walioteuliwa leo 08/01/2022 Kama kweli uteuzi huu umefanyika maana sijabahatika kuwaona

    Kichwa Cha habari chahusika
  18. JamiiForums Tanzania Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

    Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi). Taarifa ya Katibu wa Bunge...
  19. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
  20. JamiiForums Tanzania Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    Kuna kina mama walikuwa sideways wakati ndugai akiongea...na walimsupport. Ndugai alisema hii ni sahihi sijui hii ni sawa. Kuna mmama mmoja akasema 'not at all. Hao nao hawana budi kuondoka naeee. Haki tena. Mwenye ile video aweke.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…