nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Foreign Service Officer ni nani na ana majukumu gani katika nchi!?

    Wananzengo Napenda kujua kwa kina Foreign Service Officer ana majukumu gani na kazi hii fursa gani na changamoto zipi!?
  2. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Oscar Oscar kwenye hili?

    Oscar Oscar amekuwa ni mtu wa kupost vichekesho kwenye page yake lakini kwa hapa amedhamiria. Hakuna vichekesho, kuna ujumbe anaufikisha sehemu. Na hii sio kawaida yake, je nani amemtuma Oscar Oscar? Je, ni kweli kuna figisu Yanga anafanyiwa? Kama kweli leteni ushahidi
  3. JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye uwezo wa kutoa jibu la swali hili? Mimi nimechemka

    Kwanza salam zangu za leo ziwafikie popote mlipo member wenzang. Kuna best friend wangu alikuwa anauliza swali hili hapo chini 👇 Kati ya: 1] Mchina 2] Mwaarabu 3] Muhindi Ni race ipi ambayo ukifanya nayo kazi haiwezi kukusumbua kwa upande wa malipo na haki zako zingine za msingi? Maana jamaa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe kule Yanga ana mamlaka makubwa hivi? Anaamua nani asajiliwe au asisajiliwe

    Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa kiasi hicho huko utopoloni ya kuamua nani asajiliwe na nani asisajiliwe, aiseee asante Barbara...
  5. JamiiForums Tanzania Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

    Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo. Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani wa kulaumiwa kwa msukosuko wa chakula barani Afrika?

    Mkuu wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa USAID Bibi Samathan Power alisema kwamba "uvamizi" wa Russia nchini Ukraine umesababisha msukosuko wa chakula katika Pembe ya Afrika, na hatua ya China ya kuhodhi chakula imezidisha msukosuko huo. Kutokana na athari za mabadiliko ya hali...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanyakyusa na Wasukuma nani kawaambie Lugha zenu ni Dili?

    Rais Samia yupo Mkoa wa Mbeya kikazi kwa siku nne leo ni siku ya tatu. Yupo Rais pale na ujumbe wake. Pili tukio liko LIVE watanzania wote wanaliangalia na kufuatilia. Hasa wabunge ni washamba zaidi ni Spika tu ndiye mwelewa. Kwanini wanaongea kilugha wanapandikiza kitu gani? Kwamba lugha...
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

    Haya njooni tuchambue, nani ameua zaidi?
  9. JamiiForums Tanzania Situation kama hii haijawahi kukukuta kweli wewe?

    Kuna muda unakuwa una waza kwamba hivi tangia nimezaliwa nimeshakutana na wanawake wangipi mpaka umri ulio nao sasa hivi.. na ukisema uanze kuhesabu na vidole walahi unajikuta unarudia round kibao za vidole unahesabu tuu wanawake.... sasa jiulize kwa mwanamke akiisema ameshakutana na wanawake...
  10. JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa ni nani?

    Nasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii. Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nani Rais bora Tanzania?

    Habari wanajamvi . Naleta mada tajwa hapo juu tujadili pamoja kwa hoja. Nikianza na Raisi wa awamu ya kwanza huyu alikuwa muhimu sana kwa kuwa tanzania ndo ilikuwa inajenga msingi. Ukiangalia kiufundi msingi wa Tanzania ulijengwa kwa tope na kupakwa rangi. Nasema hivo kwa sababu baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Namuona Kamishna Salum Hamduni mbali zaidi

    Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa. Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nani mkweli kati ya Rais Samia na Waziri Bashungwa?

    Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo. Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana...
  14. JamiiForums Tanzania Anayelogwa ni nani?

    Kuna hii dhana ya watu kutumia ulozi ili kufanikiwa kibiashara, kupandishwa vyeo, kuteuliwa n.k Na wengine wanaenda kwenye madhehebu, yenye uelekeo huo; utumiaji maji, chumvi, mafuta, kutoa sadaka kubwa n.k Ingawa haya mambo ufanyika gizani; ila kwa sisi jamii, tunakuja kuona matokeo tu; mara...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kulipwa au kutokulipwa perdiem, nani tumuamini kati ya John Heche na Kitila Mkumbo aliyekanusha madai ya Heche?

    Habari Wakuu! Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu analipwa perdiem awapo Bungeni. Hata hivyo, Siku ya leo Mhe. Kitila Mkumbo amejitokeza kuchangia mada...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Fatma Mwasa na Halima Dendego taswira halisi ya 'unamjua nani'

    Uteuzi wa wamama hawa wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao. Inachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Nani amwambie Millardayo

    Nani amwambie huyu dogo ukurasa wake muonekano mpya hauvutii,hauna habari za maana tena
  18. JamiiForums Tanzania Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?

    Inawezekana una ndoto nyingi sana, za kumiliki makampuni, viwanda, au biashara mbalimbali n.k. Lakini unajitahidi kupambana kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako, lakini mambo yanakwama na kugonga ukuta. Wapo wanaosema kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kukusababishia kutimiza ndoto zako. Na...
  19. JamiiForums Tanzania Kuielewa jezi hii ya YANGA angalia jezi ya Timu ya hii Italia (Torino)

    Watu wengi wameshangaa kuona majina ya malegend wa Yanga akina Hamis Kinye kwenye third kit ya YANGA lakini hili siyo jambo la ajabu kwani hata Klabu hii ya Italia imewahi kufanya Torino's New Away Jersey Features The Names Of Club Legends And It's Absolutely Stunning By Mikey Traynor Jul...
  20. JamiiForums Tanzania Kama walimu wanalipwa mishaara kupitia NMB, benki yenu ni nani ataikuza?

    Salaam Wakuu, Moja kati ya mambo yanayonishangaza ni kuwa Chama cha Walimu Tanzania CWT walianzisha bank yao inayoitwa Mwalimu Commercial Bank ila ajabu no kuwa hadi Leo mishaara ya walimu bado inapitia NMB na mikopo pia wanakopa kupitia NMB. Napenda kuwaambia CWT kuwa wasitegemee maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…