nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Putin na Kim Jong Un wakibishana nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari

    Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nani alitakiwa kupelekwa kamati ya Maadili kati ya Ndugu Mpina na Waziri Bashe?

    Salaam, Shalom!! Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili? Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania? Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya...
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 ya uhuru Bado tunatumia katiba ile ile ya mkoloni. Tumlaumu nani? Nyerere au waliomfuatia?

    Viongozi wengi wa waAfrika ambao Nyie mliwaita freedom fighters wengi walipigania uhuru kwa manufaa yao na familia pengine na koo zao Mimi Nina hakika na hilo hususani kwa hapa Africa mashariki labda kidogo Patrice lumumba na wengine wengi ila kwa Africa mashariki wengi walipigania kwa maslahi...
  4. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Kati ya muonekano wako na miaka yako nani amezeeka?

    HOW OLD ARE YOU? (UNA MIAKA MINGAPI?) Katika somo hili fupi tunajifunza jinsi ya kuuliza umri wa mtu Tuanze ...... Kuuliza umri wa mtu huwa tunasema: How old are you? Tamka ‘HAU OULD A YUU? – Una miaka mingapi? Kwenye kujibu huwa tunasema I’m ………… (unataja miaka yako) ikifuatiwa na maneno...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Huyu?

    Ni nani huyu hapo chini? Ikiwa unamfahamu tafadhali nitajie jina lake. Hakuna leo anaemjua Iddi Tulio. Picha ya Mzee Iddi Tulio nimeitafuta kwa miaka mingi na nikakata tamaa ya kuipata. Msamaria mwema ameniletea leo. Allah amjaze kheri nyingi. Hivyo hapo chini ndivyo nilivyomweleza Mzee...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

    Hello ! Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako. Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu. Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
  7. Ileje

    JamiiForums Tanzania Ni nani Rais wa heshima wa Simba?

    Katika hali isiyo ya kawaida na isiyo ya kikatiba Mwenyekiti wa Simba upande wa Mwekezaji anajiuzulu na kumteua Rais wa heshima wa Simba Mo kuwa Mwenyekiti upande wa Mwekezaji! Hii kitu hakijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia na hivyo ajabu lingine la dunia! Ina maana kumbe Mo ni Mwekezaji...
  8. 1

    JamiiForums Tanzania Nitafsirieni hii code

    Nani kaelewa hii code ya hawa watu.
  9. mkolechi

    JamiiForums Tanzania Nani anataka Fursa hii

    Unakaribishwa Niko Mbeya
  10. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Nani humu ana ujasiri wa kufanya hivi

    One blow only and there goes the terrorist
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Dar es Salaam nani kawaloga?

    Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au mwendokasi) hujavaa nguo yoyote ya ndani (iwe ni underwear or tight) na wakati huo huo ukitambua kwamba kuna...
  12. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Nani kapata mwenzi huku na wameoana?

    TUambiane jamani tujue
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili salam ya shikamoo?

    Mwaka 2010, nilienda na rafiki yangu nyumbani kwao Usukumani. Nilishangaa nilipoamkiwa "shikamoo" na dada yake ambaye alionekana wazi anaweza akawa mkubwa kwangu. Ndivyo alivyoniamkia na ndivyo alivyomsalimia pia rafiki yangu ambaye ni ndugu yake wa damu. Japo niliitikia, lakini ilikuwa kwa...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Adam Sandler vs Ben Stiller: Nani ni mfalme wa Comedy Movies

    BEN STILLER Miongoni ya Movies zake: 1: Night at the museum 2: Along came Polly 3: Meet the Fockers 4: Tropic Thunder 5: Zoolander ADAM SANDLER Miongoni ya movies zake: 1: Anger Management 2: Grown ups 3: Zohan 4: Just go with it 5: Blended
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
  16. let the caged bird sings

    JamiiForums Tanzania Ni nani kati ya hawa wanne anadanganya?

    Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila. Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio. Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya. Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?
  17. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya watanzania. Miongoni mwa watu hao basi ni hawa watu wawili ambao wamewahi ishitua Tanzania na kugusa mioyo ya...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Polisi wakikutwa wao hawajitaji majina, ila raia wanatajwa majina hata bila udhibitisho, sasa je, RTO wa Iringa anaitwa nani?

    Wanyonge wanaomba majina, mkoa gani na je , mbona huwa hamuwataji? Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, amesema baada ya ukaguzi, wahusika walichukuliwa hatua za kinidhamu kwa kushtakiwa, Askari 8 wamefukuzwa kazi na kufutwa Jeshini na wengine kesi zao zipo hatua za mwisho. WADAU...
  19. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Nani anamuelewa Dkt. Charles Msonde?

    Dkt. Charles Msonde ni Naibu Katibu mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Elimu. Kabla ya kushikilia nafasi hiyo Dkt. Msonde alikuwa katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani . Tangu aondoke NECTA na kwenda kushika nafasi aliyonayo Dkt. Msonde ni Kama amechanganyikiwa. Amekuwa akizunguka kwenye...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Unajua mimi ni nani?

    "Kuwa Makini kijana nitakupotezaa"
Back
Top Bottom